John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,164
- 16,232
Kwanza deki nyumba ndo uanze huu ujingatuache tupo kwa mjomba😂😂😂
Kwanza deki nyumba ndo uanze huu ujingatuache tupo kwa mjomba😂😂😂
ujinga unao wew kichwani kwakoKwanza deki nyumba ndo uanze huu ujinga
shem huku umefika mbali bwana hata kama ni matani,, hapa siku supportniliambiwa ShesRise_1 ni pisi ya melo na jana kamtakia birthday 🤔
win-one kwa jinsi trend inavyoenda ni dhahiri kuwa anayefuata kuandikiwa waraka ni ww 😂😂😂😂ujinga unao wew kichwani kwako
Deki nyumbaujinga unao wew kichwani kwako
mimi tena? haiwezi tokea na ikitokea nitamchalaza viboko huyo kijana ili akili imchangamke😎win-one kwa jinsi trend inavyoenda ni dhahiri kuwa anayefuata kuandikiwa waraka ni ww 😂😂😂😂
Alaf kuna wale wadada wengine watatu. Na ukisema suuu nawataja.
sitakiDeki nyumba
Mkuu mbona kama unatafuta tule ban member wote wa Jf 🫣niliambiwa ShesRise_1 ni pisi ya melo na jana kamtakia birthday 🤔
Nichalaze kabisa maana nimeshahifadhi Uzi kwenye notesmimi tena? haiwezi tokea na ikitokea nitamchalaza viboko huyo kijana ili akili imchangamke😎
naomba wataje nishasema SUUU"👌😂😂
niliambiwa ShesRise_1 ni pisi ya melo na jana kamtakia birthday 🤔
Nipo kwenye maandalizi ya kushusha waraka juu yako,mimi tena? haiwezi tokea na ikitokea nitamchalaza viboko huyo kijana ili akili imchangamke😎
naomba wataje nishasema SUUU"👌😂😂
ngoja nikutafutie mianzi niweke store siku ukitoa sauti tu naruka na wew😂😂😂Nichalaze kabisa maana nimeshahifadhi Uzi kwenye notes
khaaaa kumbe mie nilikua sijasoma vizur, nikajua hao ulowatag😄😄😄Nipo kwenye maandalizi ya kushusha waraka juu yako,
Naomba unipe ushirikiano tafadhali,
cc binti kiziwi Lamomy Binti wa zamani Evelyn Salt
Nilikuwa naangalia habari za uchumi,siasa na michezo ajabu nakutana na gazeti la mitongozo huyu ukute hata hajalala!.Sasa wewe unafanya nini humu?
Au wewe unafanyia kazi humu?
😀😀