Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 638
- 607
Naleta kwenu lalamiko langu kama ifuatavyo:
Mnamo tarehe 4. 12. 2025 majira ya saa 1:40 usiku nilifika kituo cha mabus Mbezi Magufuri terminal kutuma bahasha kwenda ofisi ya Tanesco Dodoma, nilipokelewa na mhudumu wenu na kupewa ref ya mzigo no SSB 961 AKZ baada ya kufanya malipo, jambo la kushangaza na kusikitisha hadi sasa tarehe 15 Dec bahasha haijafika na haijulikani ilipo, nimejitahidi kufuatilia bila majibu, jambo la kusikitisha ni wahudumu wenu hapo Dodoma hawana kauli nzuri, hawapokei simu, ukibahatika kupiga wanakublock.
Je huo ndio utendaji wenu wa kazi?
Dodoma wanasema niitafute mwenyewe je, mnataka nifanye ukaguzi kwenye mabus yenu?
Nilikuwa mteja wenu mzuri sana, kwa kusafirisha mizigo na kama abiria lakini kwa hili na kauli za watendaji wenu yatosha.
No za simu na majina ya wote nilikuwa nawaliana nao kuhusu udhembe na upotevu wa document yangu ninazo hata huyo wa Dodoma mwenye kauli chafu