Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Salam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Kwa mara ya kwanza kanisa letu linapitia ugumu kutokana na mtindo wako wa mkono wa chuma na ubinafsi wa maoni na fikra.

Baba askofu kanisa ni chombo "laini" (delicate) hivyo kuwa makini kwani waumini wana mitazamo yao na mararajio kutoka katika kanisa lao.

Usiturudishe tuliko toka hasa sisi waumini wa DMP kwani ilituchukua takribani miaka kadhaa ya mgogoro enzi za Jerry Mngwamba hadi kumpata Dr.Malasusa ambaye kwa kiwango kikubwa katuunganisha wana DMP.

Zama hizo za akina Jerry Mngwamba wewe ulikuwa bado upo Uswaaa,Machame.Tunajua huna cha kupoteza zaidi ya kupigania maslahi yako kuwafurasha rafiki zako.

Kuna mambo mengi binafsi unayafanya na kuamua na kisha kujificha kwenye kivuli cha baraza la maaskofu.

Hakika muda unafika na hayo yote unayoyafanya kulibomoa kanisa yatakurudia kwa mtindo wa karma.

Wito wangu kwako ni ujirekebishe kwani muda bado.Siku zote hila mbaya haidumu kwani hudhihirika.Pia jitahidi kuficha hisia zako kisiasa kutokana na nafasi yako kwani utadharaulika na utajuta.

Askofu Shoo lolote ovu dhidi ya Malasusa na DMP halitafanikiwa na mtaumbuka kama wajenzi wa mnara wa babeli.DMP ni kioo cha KKKT hivyo hatutaruhusu wahuni kutaka kuibadilisha DMP kama genge lao kupiga soga.

Mungu ndiye mtetezi wa DMP dhidi ya wote wenye nia ya kutuvuruga na kuibadilisha iwe Chama cha siasa.

Tunamkabidhi MUNGU ole kwao wenye nia ovu.

Hizi ni personal attacks, huo ulikua ni uamuz wa maaskofu wote
 
Magufuli ana Amrisha Askari wauwawe Mamia kwa mania ya wananchi anasema anawasapoti wakiwauwa kwa visu wakubwa Yong a ama bunduki anawapa sapoti amewaambia waamuwe watakavyo wanasapoti yake video ya maagizo ipo dunia nzima shame
Dogo hii ni barua kwa Shoo
 
Salam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Kwa mara ya kwanza kanisa letu linapitia ugumu kutokana na mtindo wako wa mkono wa chuma na ubinafsi wa maoni na fikra.

Baba askofu kanisa ni chombo "laini" (delicate) hivyo kuwa makini kwani waumini wana mitazamo yao na mararajio kutoka katika kanisa lao.

Usiturudishe tuliko toka hasa sisi waumini wa DMP kwani ilituchukua takribani miaka kadhaa ya mgogoro enzi za Jerry Mngwamba hadi kumpata Dr.Malasusa ambaye kwa kiwango kikubwa katuunganisha wana DMP.

Zama hizo za akina Jerry Mngwamba wewe ulikuwa bado upo Uswaaa,Machame.Tunajua huna cha kupoteza zaidi ya kupigania maslahi yako kuwafurasha rafiki zako.

Kuna mambo mengi binafsi unayafanya na kuamua na kisha kujificha kwenye kivuli cha baraza la maaskofu.

Hakika muda unafika na hayo yote unayoyafanya kulibomoa kanisa yatakurudia kwa mtindo wa karma.

Wito wangu kwako ni ujirekebishe kwani muda bado.Siku zote hila mbaya haidumu kwani hudhihirika.Pia jitahidi kuficha hisia zako kisiasa kutokana na nafasi yako kwani utadharaulika na utajuta.

Askofu Shoo lolote ovu dhidi ya Malasusa na DMP halitafanikiwa na mtaumbuka kama wajenzi wa mnara wa babeli.DMP ni kioo cha KKKT hivyo hatutaruhusu wahuni kutaka kuibadilisha DMP kama genge lao kupiga soga.

Mungu ndiye mtetezi wa DMP dhidi ya wote wenye nia ya kutuvuruga na kuibadilisha iwe Chama cha siasa.

Tunamkabidhi MUNGU ole kwao wenye nia ovu.

Hii ni barua ya wazi au povu la wazi?
Naamuru pepo lililo ndani yako lishindwe kwa Jina la Yesu.
 
Kwani mwenyekiti ndo anaamua au baraza? Acha usilete ushabiki wa kisiasa kanisani wewe.....sisiwaumini tunaunga mkono kwa msaliti kuwekwa pembeni........kwendraaaaa..
 
Photo from bndilahomba.jpg
 
Kwani mwenyekiti ndo anaamua au baraza? Acha usilete ushabiki wa kisiasa kanisani wewe.....sisiwaumini tunaunga mkono kwa msaliti kuwekwa pembeni........kwendraaaaa..
 
Hivi KKKT wote ni CHAGADEMA? Kwa maana hiyo kama Mimi ni Muumini Wa KKKT na ni mwanachama Wa CCM ninatakiwa kutengwa au? Halafu hawa KKKT si ndiyo walioandika waraka kwamba kuna uminywaji Wa Democrasia? Democrasia KKKT iko wapi kama Mimi nipo CCM ninatakiwa nitengwe kanisani. Shem on you Askofu Show show show show Shit.
 
Shoo atakuwa kawadanganya waumini wake kuwa Martin Luther alikuwa ni Mkibosho mbona waumini wa huko hawamhoji?!!
 
Mzee shoo bado inamuuma Mh Lowasa kukosa urais, yaani kwa sasa anajulikana ni mwana siasa za upinzani na siyo askofu tena
Hakuna mtu aliyewahi shindana na wapakwa mafuta wa bwana wakawa salama. Ile tasnia tuwaachie wenyeywe na haya ni mambo ya Kiroho tusijiingize kila mahali tukafikiri tutakuwa salama. kama hilo la Lowassa una uhakika nalo basi thibitisha ni wapi na lini Shoo alitamka kitu tusijitafutie dhambi bure jamani; sometime kunyamaza na kupisha mjadala ni hekima pia sio lazima uchangie kila kitu
 
Tukifukuza tumefukuza, na haruhusiwi kuingia kanisa lolote la KKT, labda la manabii. Kwahiyo kama mtoa mada ulikuwa unakula kwa mrija wa huyo tuliemfukuza, tafuta means, adhawaizi yu wili dai
 
Huu ni waraka wa wazi kwa Askofu Shoo ni matumaini yangu atabadilika
Kwenye liserikali lenu ina maana huwa kila mtu anakubaliana na kile kinachoamuliwa na baraza la mawaziri? Mbona hatuwaoni mkikaidi?

Malasusa kakosea kwa kwenda kinyume na makubaliano ya baraza la maaskofu, hii ni fact. Wewe ina maana hujui maana ya collective responsibility? Dr mzima hakuweza kuona huko mbele maamuzi yake yataleta impact gani? Sasa kanisa linaenda kugawanyika kwa upumbavu wenu wa kisiasa. Unamwambia askofu Shoo aache siasa wakati nyie mmeingiza siasa ili kulifarakanisha kanisa? Matunda yake mtaona. Hata nyie na genge lenu ipo karma yenu.
 
Siku zote hii serikali haipendi kuambiwa ukweli.

Ukweli utabaki pale pale kuwa Katiba mpya ndio kipaumbele zaidi kuliko matamko ya mtu mmoja ambayo yananyanyasa wananchi aa kawaida tena masikini.

Hongereni Maaskofu kwa ule waraka.

Sisi tunazidi kuusambaza na kuusoma makanisani kila jumapili.
 
Back
Top Bottom