Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Ni hatari sana kwa viongozi wa juu wa kiroho kuwafosi waumini waishabikie Chadema.
LeO nimegonga like nyingi mno, naona UFIPA LINE bado wanasherehekea bao,
Wakija humu patachimbika
 
Tatizo ni nini? Kama ni waraka agizo la baraza la maaakofu lilikuwa usomwe kote sasa kuzuia ni kulisaliti baraza.
 
Wewe mwenyewe uliyeleta uzi huu, unamtizamo wako wa kichama vile vile, maandishi yako yamejaa hisia za kivyama badala ya hisia za kichungaji/kiomini mnyoofu! Ni vema uelewe maandishi yako yameonesha uwezo wako wa kufikiri na upande uliouegemea, ninakushauri usijilinganishe uwezo wako na ule wa Askofu Shoo, wwe na Askofu huyu mko mbali mbali km mbingu na Ardhi. Tizama, Maaskofu wanaotambua kosa lao, wako wanaikiri na kuitubu dhambi yao, hebu itubu dhambi yako hii pia acha Uboya!
 
Waraka ulikuwa wa maaskofu wote na walitia sahihi kuridhia, iweje akina Mwalasusa waanze kwenda kinyume na maazimio ya pamoja baada ya kuitwa na wanasiasa? Kama hakukubaliana na mtazamo wa wengine kwa nini aliweka sahihi?
Lini umemsikia kupinga?
 
Wewe mwenyewe uliyeleta uzi huu, unamtizamo wako wa kichama vile vile, maandishi yako yamejaa hisia za kivyama badala ya hisia za kichungaji/kiomini mnyoofu! Ni vema uelewe maandishi yako yameonesha uwezo wako wa kufikiri na upande uliouegemea, ninakushauri usijilinganishe uwezo wako na ule wa Askofu Shoo, wwe na Askofu huyu mko mbali mbali km mbingu na Ardhi. Tizama, Maaskofu wanaotambua kosa lao, wako wanaikiri na kuitubu dhambi yao, hebu itubu dhambi yako hii pia acha Uboya!
Barua ya wazi kwa Askofu Shoo
 
Salam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Kwa mara ya kwanza kanisa letu linapitia ugumu kutokana na mtindo wako wa mkono wa chuma na ubinafsi wa maoni na fikra.

Baba askofu kanisa ni chombo "laini" (delicate) hivyo kuwa makini kwani waumini wana mitazamo yao na mararajio kutoka katika kanisa lao.

Usiturudishe tuliko toka hasa sisi waumini wa DMP kwani ilituchukua takribani miaka kadhaa ya mgogoro enzi za Jerry Mngwamba hadi kumpata Dr.Malasusa ambaye kwa kiwango kikubwa katuunganisha wana DMP.

Zama hizo za akina Jerry Mngwamba wewe ulikuwa bado upo Uswaaa,Machame.Tunajua huna cha kupoteza zaidi ya kupigania maslahi yako kuwafurasha rafiki zako.

Kuna mambo mengi binafsi unayafanya na kuamua na kisha kujificha kwenye kivuli cha baraza la maaskofu.

Hakika muda unafika na hayo yote unayoyafanya kulibomoa kanisa yatakurudia kwa mtindo wa karma.

Wito wangu kwako ni ujirekebishe kwani muda bado.Siku zote hila mbaya haidumu kwani hudhihirika.Pia jitahidi kuficha hisia zako kisiasa kutokana na nafasi yako kwani utadharaulika na utajuta.

Askofu Shoo lolote ovu dhidi ya Malasusa na DMP halitafanikiwa na mtaumbuka kama wajenzi wa mnara wa babeli.DMP ni kioo cha KKKT hivyo hatutaruhusu wahuni kutaka kuibadilisha DMP kama genge lao kupiga soga.

Mungu ndiye mtetezi wa DMP dhidi ya wote wenye nia ya kutuvuruga na kuibadilisha iwe Chama cha siasa.

Tunamkabidhi MUNGU ole kwao wenye nia ovu.
Umejitahidi kuandika na kuficha hisia zako kama mwana ccm uwe na heshma hata kwa viongozi wako wa dini kama kweli we ni mkkkt kama Mimi. Malasusa bado anakiburi cha kujihisi bado ni mkuu wa kkkt kitendo alichokifanya ni kama kalidharaulisha kanisa. Maamuzi hayakufikiwa na askofu mkuu tu ya ule waraka bali walikuwa ni maaskofu wote. Jua DMP ilikuwepo na itakuwepo hata Malasusa akitoka kanisa linaongozwa na Mungu sio mwanadamu. Kingine heshimu mpakwa mafuta wa Mungu maana hata mfalme Daudi alipoambiwa amuuwe Saul alikataa akasema siwezi kumuua mpakwa mafuta wa bwana japo Saul tayari alikuwa kakataliwa na Mungu
 
Mi sina shida na kujua tabia ya Askofu Shoo na wala historia yake; swali langu ni hili, je, alicho fanya Alex Malasusa kimaadili ya uongozi alikua sahihi au laa!? Kosa la askofu Shoo haliwezi kuhalalisha askofu Malasusa nae akosee
 
Back
Top Bottom