misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,847
- 14,673
Inavyoonekana mkuuUle mpunga wa Lowassa haukumtosha?!!

Hatari sana basi!Inavyoonekana mkuu
Na sisi waumini tusiounga mkono huo waraka tunatengwa?Inawezekana sijui ninaloandika...mimi ni mkatoliki wakati Pengo akisema hajui walaka ulioandikwa na balaza la TEC mimi nikiwa katika jimbo lake nikisali ktk parokia tofauti walaka ulikuwa ukisomwa na kupatikana maduka ya parokia na kila juma pili mapadre wakisisitiza walaka huo usome na waumini hapa hapa dar ndani ya jimbo lililo chini ya Pengo..!!
Kama tec ingekuwa na uwezo wa kumfukuza askofu yeyote nina hakika leo pengo asikuwa askofu hata kardinal na nina kuhakikishia habari hizi zilimfikia papa ambaye ni mteuzi wake na majibu mtayapata..!!
Kanisa haliwezi kuamua kitu kwa pamoja akajitikeza muumini akapinga na likamuacha. Inamaana wewe si miongoni mwao...
Naendelea kusema tusikaze vichwa vyetu..tuwe dynamic
Na wewe mkandahar mume wako Nani? Mbowe?"Kamanda" punguza jazba kisha jenga hoja na si hasira na matusi
Hana lolote yule ni kamanda mtiifuNamfahamu Baba Askofu Dr. F. Shoo toka 2014 ni mtu mwenye kusema ukweli, asie na hofu kwa binadamu wenzake (watesi). Punde tutamuelewa.
Ni dhambi/kosa kuwa kamanda?Hana lolote yule ni kamanda mtiifu
Usihamishe magoli toka Kutengwa kwa Malasusa baada ya yeye kujikabidhi kwa DAB akaona kuendeshwa kwenye magari ya Ving'ora ni bora kuliko kanisa. Wewe wala huwa kili shi DMP bali unawakilisha Chama. Kwa taarifa yako sisi wana KKT wa DMP wengi tunaunga mkono waraka wa Maaskofu pamoja na adhabu kwa Malasusa msaliti. Wewe ni kibaraka kama DAB na tunakujua hivyo tafadhali sana njoo kwa mwamvuli wa Chama kama kawaida sio DMPSalam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.
Kwa mara ya kwanza kanisa letu linapitia ugumu kutokana na mtindo wako wa mkono wa chuma na ubinafsi wa maoni na fikra.
Baba askofu kanisa ni chombo "laini" (delicate) hivyo kuwa makini kwani waumini wana mitazamo yao na mararajio kutoka katika kanisa lao.
Usiturudishe tuliko toka hasa sisi waumini wa DMP kwani ilituchukua takribani miaka kadhaa ya mgogoro enzi za Jerry Mngwamba hadi kumpata Dr.Malasusa ambaye kwa kiwango kikubwa katuunganisha wana DMP.
Zama hizo za akina Jerry Mngwamba wewe ulikuwa bado upo Uswaaa,Machame.Tunajua huna cha kupoteza zaidi ya kupigania maslahi yako kuwafurasha rafiki zako.
Kuna mambo mengi binafsi unayafanya na kuamua na kisha kujificha kwenye kivuli cha baraza la maaskofu.
Hakika muda unafika na hayo yote unayoyafanya kulibomoa kanisa yatakurudia kwa mtindo wa karma.
Wito wangu kwako ni ujirekebishe kwani muda bado.Siku zote hila mbaya haidumu kwani hudhihirika.Pia jitahidi kuficha hisia zako kisiasa kutokana na nafasi yako kwani utadharaulika na utajuta.
Askofu Shoo lolote ovu dhidi ya Malasusa na DMP halitafanikiwa na mtaumbuka kama wajenzi wa mnara wa babeli.DMP ni kioo cha KKKT hivyo hatutaruhusu wahuni kutaka kuibadilisha DMP kama genge lao kupiga soga.
Mungu ndiye mtetezi wa DMP dhidi ya wote wenye nia ya kutuvuruga na kuibadilisha iwe Chama cha siasa.
Tunamkabidhi MUNGU ole kwao wenye nia ovu.
Wala haina mjadala, hana akili hiyoHalfu hii hajaandika wakudadavuwa bali kapewa aliweke hapo. Akili yake haina uwezo hu.
Malasusa huyu mwizi wa wake za watu au malasusa yupi??Malasusa kuupuuza ule waraka umelipa kanisa heshima kubwa machoni mwa watanzania.
Huyu Shoo ana visa na aliyekuwa bosi wake Askofu Malasusa,yeye ni kichuguu tu kwa Malasusa, wanayodai kuyapinga kwenye waraka wao ndio hayo hayo wayomfanyia Malasusa na wengine.Salam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.
Kwa mara ya kwanza kanisa letu linapitia ugumu kutokana na mtindo wako wa mkono wa chuma na ubinafsi wa maoni na fikra.
Baba askofu kanisa ni chombo "laini" (delicate) hivyo kuwa makini kwani waumini wana mitazamo yao na mararajio kutoka katika kanisa lao.
Usiturudishe tuliko toka hasa sisi waumini wa DMP kwani ilituchukua takribani miaka kadhaa ya mgogoro enzi za Jerry Mngwamba hadi kumpata Dr.Malasusa ambaye kwa kiwango kikubwa katuunganisha wana DMP.
Zama hizo za akina Jerry Mngwamba wewe ulikuwa bado upo Uswaaa,Machame.Tunajua huna cha kupoteza zaidi ya kupigania maslahi yako kuwafurasha rafiki zako.
Kuna mambo mengi binafsi unayafanya na kuamua na kisha kujificha kwenye kivuli cha baraza la maaskofu.
Hakika muda unafika na hayo yote unayoyafanya kulibomoa kanisa yatakurudia kwa mtindo wa karma.
Wito wangu kwako ni ujirekebishe kwani muda bado.Siku zote hila mbaya haidumu kwani hudhihirika.Pia jitahidi kuficha hisia zako kisiasa kutokana na nafasi yako kwani utadharaulika na utajuta.
Askofu Shoo lolote ovu dhidi ya Malasusa na DMP halitafanikiwa na mtaumbuka kama wajenzi wa mnara wa babeli.DMP ni kioo cha KKKT hivyo hatutaruhusu wahuni kutaka kuibadilisha DMP kama genge lao kupiga soga.
Mungu ndiye mtetezi wa DMP dhidi ya wote wenye nia ya kutuvuruga na kuibadilisha iwe Chama cha siasa.
Tunamkabidhi MUNGU ole kwao wenye nia ovu.
Salam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Nimeandika kwa Shoo sababu yeye ndiye Mwenyekiti wa Maaskofu KKKT hivyo kwa dhamana hiyo abadilike
Muuaji wa watanzania ni bashite na sisonje maana ndo wenye kila aina ya silaha na majeshi"Kamanda" maandamano yenye ni ya kuua watanzania 200/300 ni mpango wa Mbowe pale Kinondoni