Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Siku zote hii serikali haipendi kuambiwa ukweli.

Ukweli utabaki pale pale kuwa Katiba mpya ndio kipaumbele zaidi kuliko matamko ya mtu mmoja ambayo yananyanyasa wananchi aa kawaida tena masikini.

Hongereni Maaskofu kwa uke waraka.

Sisi tunazidi kuusambaza na kuusoma makanisani kila jumapili.
Kuna sehemu haijaeleweka
 
Siku zote hii serikali haipendi kuambiwa ukweli.

Ukweli utabaki pale pale kuwa Katiba mpya ndio kipaumbele zaidi kuliko matamko ya mtu mmoja ambayo yananyanyasa wananchi aa kawaida tena masikini.

Hongereni Maaskofu kwa ule waraka.

Sisi tunazidi kuusambaza na kuusoma makanisani kila jumapili.
Huu ni ukweli kwa Askofu Shoo
 
Mwacheni Shoo,kila mtu na himaya yake.Time will tell.Tuwaombee viongozi wote kila kitu kinatokea kwa sababu Hakuna kitu amabacho Ni bahati mbaya(kwa mtazamo wangu kiimani).Yesu aliposalitiwa na mwananafunzi au wanafunzi wake Ni ili andiko litimie baadaye watu waligundua Ni kwa sababu.So hata anachofanya Malasusa ni kwa sababu tumshukuru Mungu huwezi kujua mipango yake kwa Shoo au Malasusa.Mungu atupe uvumilivu wa hali ya juu,Mimi naona kitu tofauti kabisa na watu wanachofikiria na tusipoangalia KKKT itayumba na itakuwa controlled na serikali Kama tutaruhusu badala ya kufuata Katiba na miongozo ya Kanisa.Malasusa na Shoo Ni sehemu tu na yanayoendelea kwenye kanisa Hilo na msishangae soon hata viongozi was kanisa wakawa wanachaguliwa na muhimili was serikali.
 
Wakudadavuwa: Yule mama wa asili ya Kongo swahiba wa huyo unayemtetea siku hizi yuko wapi? Mzee mzima na heshima zake anamsikiliza Bashite!
 
Mzee shoo bado inamuuma Mh Lowasa kukosa urais, yaani kwa sasa anajulikana ni mwana siasa za upinzani na siyo askofu tena
hivi askofu gani huyo anaeshindwa kutambua kwamba ambalo halijaandikwa mbinguni hata duniani haliwezi kutokea?hayo mafundisho na maandishi katika biblia wanasoma na kuelewa kweli au wamekaa hapo kwa maslahi yao binafsi.

walutheri mkataeni huyo ni mtu hatari kwenu historia isije ikajirudia.
 
Najua uchaguzi wa Askofu wa DMP utawahusisha akina Bashite na watamweka mtu wao ili Kanisa nalo walifanya tawi lao kama UVCCM vile. Malasusa labda kaamua kulisaliti kanisa kwa vipande 30 vya pesa. Nani ajuaye? Ona ameanza kuunda kikundi cha kumtetea. Yeye alipokuwa Mkuu wa KKKT wenzake walimpa ushirikiano wote ila yeye ana kampeni za kumkwamisha mwenzake. Mtakumbuka kipindi cha Malasusa yale matamko ya kanisa yalikuwa makali kweli kweli. Huruma kwa serikali imeanza baada ya kujenga uswahiba na Bashite.
 
Salam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Kwa mara ya kwanza kanisa letu linapitia ugumu kutokana na mtindo wako wa mkono wa chuma na ubinafsi wa maoni na fikra.

Baba askofu kanisa ni chombo "laini" (delicate) hivyo kuwa makini kwani waumini wana mitazamo yao na mararajio kutoka katika kanisa lao.

Usiturudishe tuliko toka hasa sisi waumini wa DMP kwani ilituchukua takribani miaka kadhaa ya mgogoro enzi za Jerry Mngwamba hadi kumpata Dr.Malasusa ambaye kwa kiwango kikubwa katuunganisha wana DMP.

Zama hizo za akina Jerry Mngwamba wewe ulikuwa bado upo Uswaaa,Machame.Tunajua huna cha kupoteza zaidi ya kupigania maslahi yako kuwafurasha rafiki zako.

Kuna mambo mengi binafsi unayafanya na kuamua na kisha kujificha kwenye kivuli cha baraza la maaskofu.

Hakika muda unafika na hayo yote unayoyafanya kulibomoa kanisa yatakurudia kwa mtindo wa karma.

Wito wangu kwako ni ujirekebishe kwani muda bado.Siku zote hila mbaya haidumu kwani hudhihirika.Pia jitahidi kuficha hisia zako kisiasa kutokana na nafasi yako kwani utadharaulika na utajuta.

Askofu Shoo lolote ovu dhidi ya Malasusa na DMP halitafanikiwa na mtaumbuka kama wajenzi wa mnara wa babeli.DMP ni kioo cha KKKT hivyo hatutaruhusu wahuni kutaka kuibadilisha DMP kama genge lao kupiga soga.

Mungu ndiye mtetezi wa DMP dhidi ya wote wenye nia ya kutuvuruga na kuibadilisha iwe Chama cha siasa.

Tunamkabidhi MUNGU ole kwao wenye nia ovu.
Kwa baadhi ya kauli ulizotumia nahisi mambo kazaa, 1unatumiwa,2huna maadili 3wewe ndiye unataka kulifanya kanisa sehemu ya siasa,, na huyo aliyekutuma mwambie kkkt ni kanisa linaloongozwa na katiba, hivyo kanisa ni mhimu kuliko huyo unayemtetea.
 
Salam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Kwa mara ya kwanza kanisa letu linapitia ugumu kutokana na mtindo wako wa mkono wa chuma na ubinafsi wa maoni na fikra.

Baba askofu kanisa ni chombo "laini" (delicate) hivyo kuwa makini kwani waumini wana mitazamo yao na mararajio kutoka katika kanisa lao.

Usiturudishe tuliko toka hasa sisi waumini wa DMP kwani ilituchukua takribani miaka kadhaa ya mgogoro enzi za Jerry Mngwamba hadi kumpata Dr.Malasusa ambaye kwa kiwango kikubwa katuunganisha wana DMP.

Zama hizo za akina Jerry Mngwamba wewe ulikuwa bado upo Uswaaa,Machame.Tunajua huna cha kupoteza zaidi ya kupigania maslahi yako kuwafurasha rafiki zako.

Kuna mambo mengi binafsi unayafanya na kuamua na kisha kujificha kwenye kivuli cha baraza la maaskofu.

Hakika muda unafika na hayo yote unayoyafanya kulibomoa kanisa yatakurudia kwa mtindo wa karma.

Wito wangu kwako ni bishujirekebishe kwani muda bado.Siku zote hila mbaya haidumu kwani hudhihirika.Pia jitahidi kuficha hisia zako kisiasa kutokana na nafasi yako kwani utadharaulika na utajuta.

Askofu Shoo lolote ovu dhidi ya Malasusa na DMP halitafanikiwa na mtaumbuka kama wajenzi wa mnara wa babeli.DMP ni kioo cha KKKT hivyo hatutaruhusu wahuni kutaka kuibadilisha DMP kama genge lao kupiga soga.

Mungu ndiye mtetezi wa DMP dhidi ya wote wenye nia ya kutuvuruga na kuibadilisha iwe Chama cha siasa.

Tunamkabidhi MUNGU ole kwao wenye nia ovu.
Rubbish kabisa
Ndio nyie mnaotumiwa na wanasiasa wa chama cha Risasi za moto dhidi ya wananchi.
Ulutheri wetu hauna maana kama tutapuuza mateso na manyanyaso ya wanayopata wananchi iwe kisiasa, kiuchumi ama chochote kile.
 
ACHEN SIASA ZA KIPUZI.HUYO MALASUSA NI HOME NAMFAHAM TANGU AKIWA MCHUNGAJI HVYO KUSALITI WARAKA WA KANISA KWA USHAWISHI WA BASHITE AMEMKOSEA MUNGU NA ANAOWATUMIKIA.HUYU HATUFAI KABISA NI YUDA
waanzishaji na wachangiaji wanatoka kundi moja la kibashite bashite. Hawatafanikiwa kwa kuwa KKKT ina waamini wanajitambua.
 
Huyu atakuwa ni mwana ccm ambae inamuuma kuona Dk Shoo havumilii ujinga wa watawala.Anapitia kumshambulia kupitia mlango wa "uumini". Binafsi nampongeza Askofu kwa kusemea wanyonge,sisi waumini tunaoonewa tupo nyuma yake.
 
Mimi nashangaa sana kama kuna mlutheri na wengine anayempinga Askofu Shoo
....
kwa wale tuliopita ktk mafundisho ya kipaimara mtakumbuka kitabu cha "tembea na kristo"
Mtakumbuka kuna sura tulifundishwa "Kutetea wasiotendewa haki: askofu mkuu janani luwum" alivyosimama kwa haki kuhusu ukatili waliotendewa wale waliimkosoa Iddi Amin
Ijapokuwa alishafariki kwa kuteswa na kuuliwa yeye pamoja na wale waliomuunga mkono 16.2.1977 lakini hata leo atakumbukwa kwa ujasiri wake.
Leo mnafumbia macho kuhalalisha makemeo ya uovu ni siasa kesho yatakapowafika mtabakia na majuto yasiyowasaidia
 
pg hyo
1525084840884.jpg
 
Salam katika jina la bwana wetu Yesu Kristo.

Kwa mara ya kwanza kanisa letu linapitia ugumu kutokana na mtindo wako wa mkono wa chuma na ubinafsi wa maoni na fikra.

Baba askofu kanisa ni chombo "laini" (delicate) hivyo kuwa makini kwani waumini wana mitazamo yao na mararajio kutoka katika kanisa lao.

Usiturudishe tuliko toka hasa sisi waumini wa DMP kwani ilituchukua takribani miaka kadhaa ya mgogoro enzi za Jerry Mngwamba hadi kumpata Dr.Malasusa ambaye kwa kiwango kikubwa katuunganisha wana DMP.

Zama hizo za akina Jerry Mngwamba wewe ulikuwa bado upo Uswaaa,Machame.Tunajua huna cha kupoteza zaidi ya kupigania maslahi yako kuwafurasha rafiki zako.

Kuna mambo mengi binafsi unayafanya na kuamua na kisha kujificha kwenye kivuli cha baraza la maaskofu.

Hakika muda unafika na hayo yote unayoyafanya kulibomoa kanisa yatakurudia kwa mtindo wa karma.

Wito wangu kwako ni ujirekebishe kwani muda bado.Siku zote hila mbaya haidumu kwani hudhihirika.Pia jitahidi kuficha hisia zako kisiasa kutokana na nafasi yako kwani utadharaulika na utajuta.

Askofu Shoo lolote ovu dhidi ya Malasusa na DMP halitafanikiwa na mtaumbuka kama wajenzi wa mnara wa babeli.DMP ni kioo cha KKKT hivyo hatutaruhusu wahuni kutaka kuibadilisha DMP kama genge lao kupiga soga.

Mungu ndiye mtetezi wa DMP dhidi ya wote wenye nia ya kutuvuruga na kuibadilisha iwe Chama cha siasa.

Tunamkabidhi MUNGU ole kwao wenye nia ovu.

Mbali na yote yanayotokea ndani ya KKKT, kwa mbali pia kuna chembechembe za ukabila, ukanda, zinasumbua taasisi hii
 
Nimeandika kwa Shoo sababu yeye ndiye Mwenyekiti wa Maaskofu KKKT hivyo kwa dhamana hiyo abadilike
Waraka ulikuwa wa maaskofu wote na walitia sahihi kuridhia, iweje akina Mwalasusa waanze kwenda kinyume na maazimio ya pamoja baada ya kuitwa na wanasiasa? Kama hakukubaliana na mtazamo wa wengine kwa nini aliweka sahihi?
 
Back
Top Bottom