Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

Hebu niwaulize ninyi mnaopinga msimamo wa KKKT kwenye Waraka na yote yarikanayo; Je, mnaweza kutueeleza kwa hoja upotovu au ubaya wa ule Waraka?

Vv
 
Usijifanye huoni comment yangu! Narudia, nimekuuliza kuwa naomba utuambie katika waraka ule ni kitu gani hatari (siasa) mnayosema kuwa ni hatari kwa Taifa kiasi kwamba muipige Vita namna hii?

Na Kama siasa ni hatari iweje Kuna vyama vya siasa na vinatambulika kisheria nchini?

Naomba unijibu
Barua hii ni kwa Shoo asiivuruge DMP.Zingatia mada yumo humu anasoma ujumbe umefika
 
Acha upumbavu wewe askofu shoo nimemfaham toka akiwa mchungaji pale marangu Yupo vizuri sana anajielewa anafanya mambo yake kisomi na anamisimamo yenye tija Kwa kanisa hana tofauti na raisi wangu Mwenye uwezo Wa kuthubutu
 
Kuna haja yakuondoa uvivu wa kusoma kabla hujakurupuka na kuandika Uzi...nenda kapitie waraka uje uelezee apa ubaya wake
 
Waumini hatukubaliani na Shoo anamalengo binafsi na Malasusa alikuwa na nanafasi kubaliza mambo haya kwenye vikao vya ndani vya kanisa anavyofanya anagawa Kanisa
 
Hiyo waraka wako upeleke pale Lumumba ambapo upo kwenye payroll yao......

Hivi hawa watumishi wa Mungu kuueleza ukweli kuwa nchi yetu haiendi sawa ndiyo kunakofanya muwaandame kiasi hicho??
Unaposema nchi haiendi sawa, usihisi ni wananchi wote mambo hayawaendi sawa nchini, ndio tatizo lenu jingine upinzani, mna udikteta sana, ila you don't look at it, but very quick to blame others. Hao maaskofu wamebugi big time no matter how you defend them, wamefanania na Magufuli alivyomtenda Nape kisa bashite. Yani wameonyesha venye wapo same na wanayempinga.
 
Ule ulikuwa ni waraka wa kamanda askofu haukuwa mtizamo wa kanisa wala haukuongozwa na roho mtakatifu.
 
Hahahahahaa Miccm inajifanya ni experts wa kila kitu.... Shoo ni habari nyingine.
 
Ni hatari sana kwa viongozi wa juu wa kiroho kuwafosi waumini waishabikie Chadema.

Wewe ni sifuri kabisa. Jiulize, wewe ni mshirika wa KKKT? Msizoee kujikuna kwa mkono wa mwenzenu. Mpo humu JF kuvuruga threads za wengine tu. Anzisheni zenu. Mbona hamsemi huyo Malasusa alivyojichanganya kwa kujiingiza ssm? Nadhani mwanasiasa wa kwanza hapa ni huyo Malasusa na nadhani maombi yenu Mungu atamjibu soon.
Mleta thread unapoisema DMP kuwa imepona, ni kwa sababu tu huchunguzi maisha ya bata. Ukimchunguza sana hutamla.
Badala ya kujinafasi humu JF hebu tuingie maombi kwa mwenye hiyo kazi awaondoe hao wanaoleta mpasuko
 
Back
Top Bottom