Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,277
Upuuzi haueleweki kamwe.Ukisoma vema utaelewa.Punguza jazba
Upuuzi haueleweki kamwe.Ukisoma vema utaelewa.Punguza jazba
Akishasoma barua hii lazima abadilikeKamanda Shoo atubu!
"Kamanda" jielekeze kwenye hojaUpuuzi haueleweki kamwe.
WordInawezekana sijui ninaloandika...mimi ni mkatoliki wakati Pengo akisema hajui walaka ulioandikwa na balaza la TEC mimi nikiwa katika jimbo lake nikisali ktk parokia tofauti walaka ulikuwa ukisomwa na kupatikana maduka ya parokia na kila juma pili mapadre wakisisitiza walaka huo usome na waumini hapa hapa dar ndani ya jimbo lililo chini ya Pengo..!!
Kama tec ingekuwa na uwezo wa kumfukuza askofu yeyote nina hakika leo pengo asikuwa askofu hata kardinal na nina kuhakikishia habari hizi zilimfikia papa ambaye ni mteuzi wake na majibu mtayapata..!!
Kanisa haliwezi kuamua kitu kwa pamoja akajitikeza muumini akapinga na likamuacha. Inamaana wewe si miongoni mwao...
Naendelea kusema tusikaze vichwa vyetu..tuwe dynamic
Na aukane ule waraka wa Chadema uliojaa mapepo.Akishasoma barua hii lazima abadilike
Kama ambavyo ccm imefanikiwa kua na kijiwe RC na Bakwata lakini imeshindwa kufanya KKKT kijiwe chakeKKKT inataka kugeuzwa kijiwe cha wakerektwa na Chadema.
Usijifanye huoni comment yangu! Narudia, nimekuuliza kuwa naomba utuambie katika waraka ule ni kitu gani hatari (siasa) mnayosema kuwa ni hatari kwa Taifa kiasi kwamba muipige Vita namna hii?"Kamanda" jielekeze kwenye hoja
Ni kweli malasusa amevunja ndo mbili moja ninaufahamu kabisa tabata pale daslam.Analalamikiwa sana eneo hili kwa mda mrefu
Ule waraka ulikuwa umeongozwa na mapepo.Usijifanye huoni comment yangu! Narudia, nimekuuliza kuwa naomba utuambie katika waraka ule ni kitu gani hatari
Wakati mwingine jifunze kukaa kimya. Ukikaa kimya hata kama ni mpumbavu utaonekana mwerevuUle waraka ulikuwa umeongozwa na mapepo.
Cc:wakudadavuaUsijifanye huoni comment yangu! Narudia, nimekuuliza kuwa naomba utuambie katika waraka ule ni kitu gani hatari (siasa) mnayosema kuwa ni hatari kwa Taifa kiasi kwamba muipige Vita namna hii?
Na Kama siasa ni hatari iweje Kuna vyama vya siasa na vinatambulika kisheria nchini?
Naomba unijibu
Hii dhambi ya kutajana makabila mnayo nyie CCM , mbona we we ni msukuma lakini sikuwa na haja ya kutaja kabila lako hadharani? Usukuma wako na mabosi wako haunisaidii chochote ndio maana sikuwa na haja ya kukutaja. Halafu mimi si mmachame kwa taarifa yako natokea Lindi ni mmwera.Sawa "kamanda"...kwani wewe umesema ni mpwa wa Askofu Shoo mmachame..wewe si mmachame?
Kwa hiyo waraka ungeachwa ili umwage damu?!!Wakati mwingine jifunze kukaa kimya. Ukikaa kimya hata kama ni mpumbavu utaonekana mwerevu
Kwa hiyo waraka ungeachwa ili umwage damu?!!
Naomba unijibuUsijifanye huoni comment yangu! Narudia, nimekuuliza kuwa naomba utuambie katika waraka ule ni kitu gani hatari (siasa) mnayosema kuwa ni hatari kwa Taifa kiasi kwamba muipige Vita namna hii?
Na Kama siasa ni hatari iweje Kuna vyama vya siasa na vinatambulika kisheria nchini?
Naomba unijibu
Ndugu yangu hapa tunazungumzia KKKT, ambayo Askofu ana nguvu ya kumtenga Askofu mwenzie tena wa jimbo jingine!! Usilinganishe na RC ambao the highest hirachy yenye power ya kumtenga padri tu ni Papa na mpaka kesi ifike huko kunakuwa juhudi kubwa ya kuzuia msigano.Wewe kama ni muumini wa dhehebu fulan nina hakika kuna vitu hampendezwi ktk dhehebu lenu...mliwahi kutoa mapendekezo mkasikilizwa...!!!?
Taratibu za kiimani si kama za serikali....ukiona dini uliyopo haiendani matarajio yako ambayo mengi yako kwenye misingi ya imani hiyo ni bora utoke...!!
Kwetu wakatoliki ili jambo linalo husu mfumo wa kanisa hata kama waumini tuna duku duku juu ya jambo hilo lazima liamuliwe na papa au kwa mtaguso mkuu..!!
Sasa ni juu yako uendelee kuamini kwa utaratibu uliopo au utafute sehemu nyingine ya kuabudu itakayo kupendeza..!!
Tusikaze vichwa