Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema

Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema

Kama mbakwaji ni hili guberi. Mhhhhh. Nimegairi. Hata kama lema alimlala basi ilikuwa kitu imesukwa akijibembeleza ili kupata ushaidi.

mwanamke wa hovyo kwa kila kitu, nadhani huko aliko kuna mchanganya haswaaa kurudi mndenyi napo tabu basi inabidi tu ajilipue, utakuta kazidiwa na "ishu" mana sidhani kama kuna mwanaume na akili zake timamu anaweza kuwa na huyu mwanamke.
 
Polisi wa Uingereza ni weledi, hawawezi kuandika barua Kama hiyo na wala hawatendi hivyo. Kwa bahati mbaya majukwaa haya yamevamiwa na siasa za kitoto.
 
Dah, Mkuu, umenikumbusha taarifa hii hapa chini.
Wadau, katika pitapita yangu, nimekutana na mazungumzo ya vijana wa mtaani walioangalia video ikimuonesha Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini akifanya mapenzi kinyume cha maumbile na wanaume wenzake. wamesema kuwa video hiyo ni bonafide genuine na Mkuu Pasco pengine angetusaidia kwa hili kama na yeye ameiona. Hiyo video tayari ipo mikononi mwa Lema na yeye mwenyewe amekanusha na kuiita kuwa ni ya kutengeneza. Pia amekanusha kuwa Video hiyo haijatengenezwa na Nchemba na tayari amewasiliana na uongozi wa bunge uone jinsi utakavyoshughulikia suala hilo. Kwa mtu yeyote aliyefanikiwa kuiona video hiyo naomba atupe ukweli ili sisi wadau ndio tupime. Kama kweli Lema ameshiriki vitendo hivyo, ni aibu kwake, familia yake, chama chake na taifa kwa ujumla



1.jpg

Mbunge wa Arusha mjini Godbles amekanusha na kukemea vikali baadhi ya watu wanaomdhalilisha kwenye mitandao ya kijamii kwa kutengeneza na kusambaza picha chafu ambazo zinaonesha udhalilishaji mkubwa kwa mbunge na hata kwa mtu wa kawaida.

Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake jijini Arusha mbunge Lema amesema picha hizo za aibu zimetengezwa na kusambazwa na mtu ama watu wenye lengo la kumdhalilisha na tayari amekwishaanza hatua ya kuchukua hatua za kufikisha suala hilo kwenye uongozi wa bunge akiwemo Spika Anne Makinda, naibu spika Job Ndugai pamoja na katibu wa bunge.

Amesema ameamua kutoa taarifa hiyo kwenye vyombo vya habari kwa sababu vitu vikishawekwa kwenye mitandao ya kijamii siyo siri tena hivyo anategemea bunge litaona wajibu na ni jinsi gani heshima ya mbunge imeshushwa na kudhalilisha kwa maksudi bila kujali utu na heshima ya mbunge.





Mbunge Lema amefafanua kwamba picha hizo hazijatengenezwa na mbunge wa Iramba Muhigulu Nchemba kama baadhi ya watu walivyomfikishia taarifa kwani akiwa bungeni mjini Dodoma alizungumza na Nchemba na kubaini kwamba alikuwa hajaziona picha hizo hivyo hakuwa anajua lolote juu ya suala hilo.
Hapo kwenye Red mkuu...m2 akifanya mapenzi na mwanaume mwenzie sidhani km inahitaji kuelezea kwamba ni kinyume na maumbile coz its obvious!
On the other hand si niliskia Malibelali ni CUF?? Inakuwaje tena CDM nao wameingia kwenye gemu?
 
hii ni barua ya polisi wa uingereza waliyoandikia polisi ya tanzania wakimtafuta lema akamatwe kwa kosa la ubakaji.

View attachment 121028

maelezo ya ziada ambayo uingereza walihitaji kutoka polisi ya Tanzania, ni haya hapa chini.

Ushahidi wa mbunge Godbless Lema kumbaka flora lyimo wazidi kubainika


Taarifa za kweli kuhusu mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kumbaka mwanadada Flora Lyimo tarehe 8.8.2012 nchini Uingereza wakati wa ufunguzi wa tawi la chadema nchini humo umezidi kubainika.

Tarehe 2 -3, january 2013 akiwa tanzania, Flora aliwasilisha barua ya polisi wa uingereza kwa polisi kituo cha Moshi mkoani kilimanjaro na kufunguliwa jalada no.MOS/RB/17127/12.

Aidha tarehe 13/12/2012 Afisa upelelezi DC William Hughes wa kitengo cha uhalifu jeshi la polisi la uingereza kituo cha 4-6 shepherdess walk N17LF alifika ubalozi wa Tanzania nchini uingereza ili kujua pamoja na mambo mengine,
-Taarifa sahihi za GODBLESS LEMA
-Anuani yake
-Barua pepe

Ushauri kutoka mamlaka za Tanzania juu ya mikakati mizuri ya kushughulikia kesi hiyo ambayo inamuhusisha kiongozi wa chama kikubwa cha siasa na
-Wasifu wake.

Mbali na tukio hilo kuripotiwa ubalozini, vyanzo mbalimbali vya habari ikiwa ni pamoja na Gazeti la changamoto la tanzania toleo namba 348 la tarehe 18- 24 desemba 2012 lilichapisha taarifa ya tukio hilo kwenye ukurasa wake wa mbele.kwa kichwa cha habari "POLISI UINGEREZA WAMSAKA LEMA", Pia blog ya global publishers ya nchini tanzania katika report zake za tarehe 14 mei 2013 iliandika habari hiyo kwa kichwa cha habari "MREMBO;MBUNGE AMENIBAKA" Ambapo mrembo huyo (flora) alieleza alivyochaniwa na kufanyiwa kitendo hicho. alieleza kuwa lema alikuwa amemsindikiza mpaka nyumbani na walipofika LEMA aliomba aonyeshwe sehemu ya kujisaidia haja ndogo ndipo alipomvamia Flora na kumchania nguo na kutekeleza azma yake hiyo ovu.

Flora amekuwa akionekana katika shughuli mbalimbali za kijamii lakini ana wasiwasi kuwa anaweza kufanyiwa unyama na LEMA wakati akiwa Tanzania kwa sababu anasema anamfahamu lema pia kuwa ana asili ya ujambazi.

kiambatisho ni barua ya polisi wa kimataifa interpol kumweleza kuwa uchunguzi wa kesi yake unaendelea.

Huu ni 'wehu wa KKOO''...KUCHAPISHA BARUA na kusambaza....!

Mbona hakuna mtuhumiwa aliyetajwa!...na kama angekuwa mtuhumiwa alifanya ubakaji, sio maana ya neno 'assault' kama ilivyo katika waraka huo feki wa kkoo...! Na pia kiingereza kulichoandikwa hapo sio kiingereza cha muingereza, na pia kama ingekuwa upelelezi wa kisa hauwezi kuwa unahitajika kwa kumwandikia polisi (PC) binafsi katika e-mail binafsi maana hilo ni swala la kiofisi na wazungu hawana jinsi yoyote wanayotembea na 'ofisi mfukoni' kama polisi wa bongo wanaoweza kukupa namba yake ya simu ili kumuulizia maendeleo ya upelelezi...HII NI FEKI 100%+....!

Kwa analysis nyepesi tu...huu ni 'wehu' na hakuna Interpol wala mkono wa polisi wa uingereza aliyeandika uozu huu bali jamaa wa buku-7 wanaoshirikiana na Vijana vilaza wa Ofisi za Wana-Magamba Nkrumah...! Mmeshashindwa...!
 
Huyo investigator inaonekana alitokea kw akina "My broda" Nigeria na kupata uraia wa UK thru NATURALIZATION na kisha kubadilisha jina maana hata hicho kiinglishi kinakula kona kuelekea Mabibo. Anyway, alikuwa anajaribu kuonyesha kuwa kapiga tambo katika kutumia lugha za wenzetu. Safari bado ni ndefu katika kuinyoosha.
 
hii nchi ingekua daladala ningeshuka zangu mapema kabla cjafika mwsho wa safarii....habari haina mashiko kabsaa!
 
huyo mwanamke anaelalamika kubakwa kapimwa akili kuwa yupo timamu maana kila siku tunamuona anaweka picha zake akiwa maziwa nje mitandaoni
 
Huyo investigator inaonekana alitokea kw akina "My broda" Nigeria na kupata uraia wa UK thru NATURALIZATION na kisha kubadilisha jina maana hata hicho kiinglishi kinakula kona kuelekea Mabibo. Anyway, alikuwa anajaribu kuonyesha kuwa kapiga tambo katika kutumia lugha za wenzetu. Safari bado ni ndefu katika kuinyoosha.

Aiseeee!!!
 
Ngoja me nilale zangu mie ila asubuhi ndo nitacoment kitu kwenye huu uzi..
 
Ha ha ,yule malaya mwenye picha za uchi,eti Model wa kitanzania naye amebakwa?

Buku saba mnataka kuzika issue ya Alhaji Kapuya!
 
Yaani mie kwa huyu bint hata d.u.d.u halisimami

Hilo ni guberii kubuhu...yaelekea limeshapewa ulevi wa noti za 'unga' na meno ya tembo ambazo kwa Magamba na ma-TISS haina tatizo kwa jinsi wanavyoangamiza uchumi, uhai na rasilimali za nchi. Guberi hilo linawafaa akina Kapuyeeeaaaa....na Mi-CCM iliyorojeka na kulewa bwiii kwa kula na kuuza 'sembe' wizi wa nyara na ufisadi, yanaishia kumezea mate hata watoto wa chekechea, na bila shaka inamezea mate hata mifugo na wanyamapori...! Kwiiisha kazi, hakuna kitu hapo!
 
Back
Top Bottom