Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema

Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema


Hapa Lema katajwa wapi? Utakuta lilikopwa na wateja wake halafu anatumia fursa ya barua hiyo na kuandaa video ili kumchafua Mbunge wa heshima!!! Aise, kama ulibakwa mbona hakupiga kelele? Ana vipimo vya Daktari ili DNA ipate kuthibitisha? Mtatumika weee lakini hamtafika mbali!!! Lema ni mbunge wa watanzania wenye uchungu na Tanzania si nyie wabeba mabox mnaokula hela za kuuza papuchi na kufanya modeling ya kudhalilisha maungo yenu. Aibu sana!!! Lema acha wakupeleke mahakamani na watashindwa maana najua wanafikiri kwa akili za chawa!!! Baada ya hapa unawafungulia kesi ya madai. Hata kwa sasa usikae kimya Mh. tafadhali sana fungua kesi ya madai uwadondoshe chini hawa magamba.
 
Kingereza chenyewe kibovu mno!Nahisi aliyeiandika ni form 6 tena aliyekosa selection ya kwenda UDOM!Mwingereza gani aandike madudu kama haya ya no grammar wala verb agreement?

Toa up u uzi wako hapa!
ww hujui kiingereza ndio mana hujaelewa kilichoandikwa, umezoea kikwenu, kimekuharibu
 


Some women earn their bread the hard way!


FLORA%2BAND%2BP....22%252709%25272012%2B015.JPG
 

Hadi anatia kinyaa. Hivi hao Polisi wa Uingereza wana akili kweli, halafu nani mwenye akili timamu anaweza kumdandia mwanamke kama huyu. Nyie wanaume mbona mnatia aibu? Huko Uingereza anafanya kazi ya kujiuza? Je walioenda kutembelea katika danguro lake ni Nchemba na Lema tu? Sasa kwanini Lema anakaliwa kooni au hakumlipa hela za kulipia ushuru wa Uingereza maana kama Polisi wana akili timamu hawangefuatilia mambo haya nadhani wanachotaka hapo ni ile hela ya TRA ya Uingereza Lema hajalipa. Barua hii yawezekana anayedaiwa haswa ni Mwigulu Nchemba maana wamepiga picha pamoja inaonyesha alitembelea danguro la huyu dada.

godbless jonathan lema, mbunge wa arusha mjini kupitia chadema
 
hii ni barua ya polisi wa uingereza waliyoandikia polisi ya tanzania wakimtafuta lema akamatwe kwa kosa la ubakaji.

View attachment 121028

maelezo ya ziada ambayo uingereza walihitaji kutoka polisi ya Tanzania, ni haya hapa chini.

Ushahidi wa mbunge Godbless Lema kumbaka flora lyimo wazidi kubainika


Taarifa za kweli kuhusu mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kumbaka mwanadada Flora Lyimo tarehe 8.8.2012 nchini Uingereza wakati wa ufunguzi wa tawi la chadema nchini humo umezidi kubainika.

Tarehe 2 -3, january 2013 akiwa tanzania, Flora aliwasilisha barua ya polisi wa uingereza kwa polisi kituo cha Moshi mkoani kilimanjaro na kufunguliwa jalada no.MOS/RB/17127/12.

Aidha tarehe 13/12/2012 Afisa upelelezi DC William Hughes wa kitengo cha uhalifu jeshi la polisi la uingereza kituo cha 4-6 shepherdess walk N17LF alifika ubalozi wa Tanzania nchini uingereza ili kujua pamoja na mambo mengine,
-Taarifa sahihi za GODBLESS LEMA
-Anuani yake
-Barua pepe

Ushauri kutoka mamlaka za Tanzania juu ya mikakati mizuri ya kushughulikia kesi hiyo ambayo inamuhusisha kiongozi wa chama kikubwa cha siasa na
-Wasifu wake.

Mbali na tukio hilo kuripotiwa ubalozini, vyanzo mbalimbali vya habari ikiwa ni pamoja na Gazeti la changamoto la tanzania toleo namba 348 la tarehe 18- 24 desemba 2012 lilichapisha taarifa ya tukio hilo kwenye ukurasa wake wa mbele.kwa kichwa cha habari "POLISI UINGEREZA WAMSAKA LEMA", Pia blog ya global publishers ya nchini tanzania katika report zake za tarehe 14 mei 2013 iliandika habari hiyo kwa kichwa cha habari "MREMBO;MBUNGE AMENIBAKA" Ambapo mrembo huyo (flora) alieleza alivyochaniwa na kufanyiwa kitendo hicho. alieleza kuwa lema alikuwa amemsindikiza mpaka nyumbani na walipofika LEMA aliomba aonyeshwe sehemu ya kujisaidia haja ndogo ndipo alipomvamia Flora na kumchania nguo na kutekeleza azma yake hiyo ovu.

Flora amekuwa akionekana katika shughuli mbalimbali za kijamii lakini ana wasiwasi kuwa anaweza kufanyiwa unyama na LEMA wakati akiwa Tanzania kwa sababu anasema anamfahamu lema pia kuwa ana asili ya ujambazi.

kiambatisho ni barua ya polisi wa kimataifa interpol kumweleza kuwa uchunguzi wa kesi yake unaendelea.

Wabongo bana, mmeshazoea polisi zenu za ooh mara hatuna hela ya mafuta, kapige photocopy, sijui hela ya taxi kwenda kumkamata mshtakiwa basi mnafikiri dunia nzima ndiyo inaendeshwa hivyo. Toka lini Polisi kwa polisi wakawasiliana kwa kukupa barua uliyeshtaki eti uipeleke kituo kingine tena nje ya nchi?????? Mleta barua na thread wote mnaonekana ni jinsi gani mlivyo na upeo mdogo wa kutengeneza mambo. Lakini sema kwa sababu ka nchi ketu bado kanaendeshwa kimajungu majungu basi hii eti nayo ni news.
 
ww hujui kiingereza ndio mana hujaelewa kilichoandikwa, umezoea kikwenu, kimekuharibu

Professional hawezi kuandika kiingereza kibovu kama hiki!Barua hii haijatoka kitengo cha serious Crime ndani ya polisi wa UK!Huyu utaifakwanza ni mhuni tu
 
Last edited by a moderator:

Hadi anatia kinyaa. Hivi hao Polisi wa Uingereza wana akili kweli, halafu nani mwenye akili timamu anaweza kumdandia mwanamke kama huyu. Nyie wanaume mbona mnatia aibu? Huko Uingereza anafanya kazi ya kujiuza? Je walioenda kutembelea katika danguro lake ni Nchemba na Lema tu? Sasa kwanini Lema anakaliwa kooni au hakumlipa hela za kulipia ushuru wa Uingereza maana kama Polisi wana akili timamu hawangefuatilia mambo haya nadhani wanachotaka hapo ni ile hela ya TRA ya Uingereza Lema hajalipa. Barua hii yawezekana anayedaiwa haswa ni Mwigulu Nchemba maana wamepiga picha pamoja inaonyesha alitembelea danguro la huyu dada.
Mkuu huko majuu, UK, kila biashara jasa ya aina hiyo ni halal.
Alimradi unaitambua Union Jack na unalipa halali ya Malkia!
 
Nimesoma barua hiyo, sijaona popote anapotajwa Mhe. Lema, WALA SIJAONA suala la ubakaji linapotajwa, zaidi inatajwa shambulio(assault). kama hujui maana ya neno watafute wanasheria wakuelimishe maana naona vingine vinapotoshwa. Kama kungekuwa na suala la ubakaji lingetajwa rape au makosa yanayokaribiana.

jf inaanza kuharibiwa na watu wasio na kazi
unatetea uhalifu kwa hoja dhaifu namna hii, kumbuka hapa ni international polisi request, sio lazima ikuandikie kila kitu hadharani. mengine akikamatwa atahojiwa, mind you mtuhumiwa ni mh.mbunge
 
ww hujui kiingereza ndio mana hujaelewa kilichoandikwa, umezoea kikwenu, kimekuharibu

Jamani mbona mambo ya barua tumefundishwa darasa la Tano.. ni wapi umeona hii barua inakwenda Tanzania?? Hii barua imeandikwa 1 Dec. 2012 karibia mwaka sasa.. na inakwenda kwa Flora Lyimo.. jamani vitu vyakuangalia na macho halafu tunashindwa..
 
Aliyeandika barua hii ni unprofessional Police maana hajataja jina la mtuhumiwa, sasa nyie mnaokuja na jina la Lema na kudai uthibitisho ni hii barua mbona mnajitia kitanzi?
 
Hahahahahaa....huyu mbutananga ---- sana...
Mtu mwenyewe kama hili.....

Mbutaaaa...
Hili dudu baya bana.
 
Aliyeandika barua hii ni unprofessional Police maana hajataja jina la mtuhumiwa, sasa nyie mnaokuja na jina la Lema na kudai uthibitisho ni hii barua mbona mnajitia kitanzi?
acha uzuzu, polisi inajali sana privacy ya mtu, mambo mengine yanahojiwa ana kwa ana kati ya mtuhumiwa na mlalamikaji kikubwa kwanza atiwe nguvuni
 
Duuh, Hili la kumla mtu Tigo halijaisha, kumbe pia ulikuwa mbakaji?? Hatariiiiiiiiii, acha lile la Ujambazi na kupora. Eti alafu ni Mbunge, Nonsence!!

Watu wa CDM, kipi alichonacho Lema kizuri kwa chama chenu?? Aibu sana hii. Mke wake mvumilivu sana.

Naskia mama mkwe wake Lema kamuambia aachane na siasa!!
 
Back
Top Bottom