Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema

Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema

Dah, Mkuu, umenikumbusha taarifa hii hapa chini.
Wadau, katika pitapita yangu, nimekutana na mazungumzo ya vijana wa mtaani walioangalia video ikimuonesha Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini akifanya mapenzi kinyume cha maumbile na wanaume wenzake. wamesema kuwa video hiyo ni bonafide genuine na Mkuu Pasco pengine angetusaidia kwa hili kama na yeye ameiona. Hiyo video tayari ipo mikononi mwa Lema na yeye mwenyewe amekanusha na kuiita kuwa ni ya kutengeneza. Pia amekanusha kuwa Video hiyo haijatengenezwa na Nchemba na tayari amewasiliana na uongozi wa bunge uone jinsi utakavyoshughulikia suala hilo. Kwa mtu yeyote aliyefanikiwa kuiona video hiyo naomba atupe ukweli ili sisi wadau ndio tupime. Kama kweli Lema ameshiriki vitendo hivyo, ni aibu kwake, familia yake, chama chake na taifa kwa ujumla

1.jpg

Mbunge wa Arusha mjini Godbles amekanusha na kukemea vikali baadhi ya watu wanaomdhalilisha kwenye mitandao ya kijamii kwa kutengeneza na kusambaza picha chafu ambazo zinaonesha udhalilishaji mkubwa kwa mbunge na hata kwa mtu wa kawaida.

Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake jijini Arusha mbunge Lema amesema picha hizo za aibu zimetengezwa na kusambazwa na mtu ama watu wenye lengo la kumdhalilisha na tayari amekwishaanza hatua ya kuchukua hatua za kufikisha suala hilo kwenye uongozi wa bunge akiwemo Spika Anne Makinda, naibu spika Job Ndugai pamoja na katibu wa bunge.

Amesema ameamua kutoa taarifa hiyo kwenye vyombo vya habari kwa sababu vitu vikishawekwa kwenye mitandao ya kijamii siyo siri tena hivyo anategemea bunge litaona wajibu na ni jinsi gani heshima ya mbunge imeshushwa na kudhalilisha kwa maksudi bila kujali utu na heshima ya mbunge.

Mbunge Lema amefafanua kwamba picha hizo hazijatengenezwa na mbunge wa Iramba Muhigulu Nchemba kama baadhi ya watu walivyomfikishia taarifa kwani akiwa bungeni mjini Dodoma alizungumza na Nchemba na kubaini kwamba alikuwa hajaziona picha hizo hivyo hakuwa anajua lolote juu ya suala hilo.

Hela ya usaliti inafanya kazi...
 
fanyia kazi hiyo barua achana na fikra potofu. lema anatafutwa kwa ubakaji

Sidhani kama hata unaelewa jinsi gani shtaka la kubaka lilivyo serious Ulaya,Canada na USA!Ungejua hata robo tu ambayo ingeripotiwaje hapa kwenye media kama MBUNGE wa TANZANIA angebaka basi ungefunga mdomo wako!

Lkn kukueleza wewe jinsi makachero wa kitengo cha ubakaji hapa wanaichukuliaje kesi kama aliyehisiwa kafanya uhalifu ni public figurem ni sawa na kumpigia kuku muziki!

By the way unamjua hata huyo dada Mbuta Nanga unayemshabikia kama alibakwa?Nenda facebook yake chemba muombe picha za utupu wake anakutumia right away!Huyu labda yy ndiye alimbaka Lema
 
huyu aliyeweka barua hii hajui kabisa kiingereza afadhari na mimi niliesoma gumbaru. Barua imeandikwa kwa Lyimo na sio polisi wa Tanzania ikimueleza maendeleo ya uchunguzi wa shauri lake la shambulio(assault na sio kubaka -rapping). Jamani kume Elimu yetu iliharibika toka zamani !!!! LOH TUMEKWISHA WATANZANIA. Ndo maana Wakenya wanatucheka kuwa Tanzania hakuna musomi labda awe amesoma Kenya AU Uganda !!!!!?
 
ndio aliyemchanganya lema kwa taarifa yako

ni mwenyeji wa katibu mwenezi ccm akiwaga huko UK hufikia kwa huyu kigoli,maana ziara zake huwa siii za kichama ni binafsi tukuwekee picha alizopiga naye hivi karibuni?
 
Hayo ni matunda ya ziara ya siasa za chuki,ila wanaofanya matendo ya kuchafuana wajue kuwa upande Wa pili ukijibu ndio mwanzo Wa uvunjifu Wa Amani,watanzania acheni siasa za chuki,hatutafika salama.
 
[h=1]Sababu za watoto kushindwa kusoma, kuandika na kuhesabu shuleni[/h]
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
bookmark
ico_print.png
Print Email
Email this article to a friend

Friend's Email Address
Your Email
Message

[TD="align: right"] Submit Cancel [/TD]

Rating

wanafunzi.jpg
Mazingira duni ya kujifunzia kama ilivyo katika darasa hili la shule moja ya msingi katika Kijiji cha Lula Kawala, mkoani Rukwa, yanatajwa kuwa chanzo cha wanafunzi kushindwa kujifunza ipasavyo stadi za kusoma, kuhesabu na kuandika. Picha ya Maktaba . hii ndiyo imemwathili muweka thread.
 
Lema ni jambazi, ameua sana watu na kuwapora magari Arusha, Mwenyezimungu analipa hapa hapa duniani!

unajifanya unamjua sana lema kuliko hata wapiga kura wake wanaomfahamu na kuishi naye hapo arusha? njaa mbaya sana ona invyodhalirisha utu wako kwa kuja na umbea
 
barua ya kumsaka lema uwe nayo wewe badala ya said mwema ? Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
 
Kingereza chenyewe kibovu mno!Nahisi aliyeiandika ni form 6 tena aliyekosa selection ya kwenda UDOM!Mwingereza gani aandike madudu kama haya ya no grammar wala verb agreement?

Toa up u uzi wako hapa!

" ...an assault that occurred at you home address." ? assault cannot occur at home address rather on home premises " the Investigation will continue to progress in your absence overseas." ?
 
hii ni barua ya polisi wa uingereza waliyoandikia polisi ya tanzania wakimtafuta lema akamatwe kwa kosa la ubakaji.

View attachment 121028B

maelezo ya ziada ambayo uingereza walihitaji kutoka polisi ya Tanzania, ni haya hapa chini.

Ushahidi wa mbunge Godbless Lema kumbaka flora lyimo wazidi kubainika

Taarifa za kweli kuhusu mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kumbaka mwanadada Flora Lyimo tarehe 8.8.2012 nchini Uingereza wakati wa ufunguzi wa tawi la chadema nchini humo umezidi kubainika.

Tarehe 2 -3, january 2013 akiwa tanzania, Flora aliwasilisha barua ya polisi wa uingereza kwa polisi kituo cha Moshi mkoani kilimanjaro na kufunguliwa jalada no.MOS/RB/17127/12.

Aidha tarehe 13/12/2012 Afisa upelelezi DC William Hughes wa kitengo cha uhalifu jeshi la polisi la uingereza kituo cha 4-6 shepherdess walk N17LF alifika ubalozi wa Tanzania nchini uingereza ili kujua pamoja na mambo mengine,
-Taarifa sahihi za GODBLESS LEMA
-Anuani yake
-Barua pepe

Ushauri kutoka mamlaka za Tanzania juu ya mikakati mizuri ya kushughulikia kesi hiyo ambayo inamuhusisha kiongozi wa chama kikubwa cha siasa na
-Wasifu wake.

Mbali na tukio hilo kuripotiwa ubalozini, vyanzo mbalimbali vya habari ikiwa ni pamoja na Gazeti la changamoto la tanzania toleo namba 348 la tarehe 18- 24 desemba 2012 lilichapisha taarifa ya tukio hilo kwenye ukurasa wake wa mbele.kwa kichwa cha habari "POLISI UINGEREZA WAMSAKA LEMA", Pia blog ya global publishers ya nchini tanzania katika report zake za tarehe 14 mei 2013 iliandika habari hiyo kwa kichwa cha habari "MREMBO;MBUNGE AMENIBAKA" Ambapo mrembo huyo (flora) alieleza alivyochaniwa na kufanyiwa kitendo hicho. alieleza kuwa lema alikuwa amemsindikiza mpaka nyumbani na walipofika LEMA aliomba aonyeshwe sehemu ya kujisaidia haja ndogo ndipo alipomvamia Flora na kumchania nguo na kutekeleza azma yake hiyo ovu.

Flora amekuwa akionekana katika shughuli mbalimbali za kijamii lakini ana wasiwasi kuwa anaweza kufanyiwa unyama na LEMA wakati akiwa Tanzania kwa sababu anasema anamfahamu lema pia kuwa ana asili ya ujambazi.

kiambatisho ni barua ya polisi wa kimataifa interpol kumweleza kuwa uchunguzi wa kesi yake unaendelea.

Barua haisemi hivyo. Hapo kinachoelezwa ni uchunguzi kufuatia malalamiko ya huyo Flora. Kama yana ukweli au la subiri hao jamaa wamalize kazi yao. Nchi za wenzetu watu hawabimbikiwi tu kesi hovyo hovyo kama kwetu
 
hii ni barua ya polisi wa uingereza waliyoandikia polisi ya tanzania wakimtafuta lema akamatwe kwa kosa la ubakaji.

View attachment 121028

maelezo ya ziada ambayo uingereza walihitaji kutoka polisi ya Tanzania, ni haya hapa chini.

Ushahidi wa mbunge Godbless Lema kumbaka flora lyimo wazidi kubainika

Taarifa za kweli kuhusu mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kumbaka mwanadada Flora Lyimo tarehe 8.8.2012 nchini Uingereza wakati wa ufunguzi wa tawi la chadema nchini humo umezidi kubainika.

Tarehe 2 -3, january 2013 akiwa tanzania, Flora aliwasilisha barua ya polisi wa uingereza kwa polisi kituo cha Moshi mkoani kilimanjaro na kufunguliwa jalada no.MOS/RB/17127/12.

Aidha tarehe 13/12/2012 Afisa upelelezi DC William Hughes wa kitengo cha uhalifu jeshi la polisi la uingereza kituo cha 4-6 shepherdess walk N17LF alifika ubalozi wa Tanzania nchini uingereza ili kujua pamoja na mambo mengine,
-Taarifa sahihi za GODBLESS LEMA
-Anuani yake
-Barua pepe

Ushauri kutoka mamlaka za Tanzania juu ya mikakati mizuri ya kushughulikia kesi hiyo ambayo inamuhusisha kiongozi wa chama kikubwa cha siasa na
-Wasifu wake.

Mbali na tukio hilo kuripotiwa ubalozini, vyanzo mbalimbali vya habari ikiwa ni pamoja na Gazeti la changamoto la tanzania toleo namba 348 la tarehe 18- 24 desemba 2012 lilichapisha taarifa ya tukio hilo kwenye ukurasa wake wa mbele.kwa kichwa cha habari "POLISI UINGEREZA WAMSAKA LEMA", Pia blog ya global publishers ya nchini tanzania katika report zake za tarehe 14 mei 2013 iliandika habari hiyo kwa kichwa cha habari "MREMBO;MBUNGE AMENIBAKA" Ambapo mrembo huyo (flora) alieleza alivyochaniwa na kufanyiwa kitendo hicho. alieleza kuwa lema alikuwa amemsindikiza mpaka nyumbani na walipofika LEMA aliomba aonyeshwe sehemu ya kujisaidia haja ndogo ndipo alipomvamia Flora na kumchania nguo na kutekeleza azma yake hiyo ovu.

Flora amekuwa akionekana katika shughuli mbalimbali za kijamii lakini ana wasiwasi kuwa anaweza kufanyiwa unyama na LEMA wakati akiwa Tanzania kwa sababu anasema anamfahamu lema pia kuwa ana asili ya ujambazi.

kiambatisho ni barua ya polisi wa kimataifa interpol kumweleza kuwa uchunguzi wa kesi yake unaendelea.

Nimesoma barua hiyo, sijaona popote anapotajwa Mhe. Lema, WALA SIJAONA suala la ubakaji linapotajwa, zaidi inatajwa shambulio(assault). kama hujui maana ya neno watafute wanasheria wakuelimishe maana naona vingine vinapotoshwa. Kama kungekuwa na suala la ubakaji lingetajwa rape au makosa yanayokaribiana.

jf inaanza kuharibiwa na watu wasio na kazi
 
Back
Top Bottom