Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema

Barua ya polisi wa Uingereza kumtafuta Lema

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
14,193
Reaction score
2,815
hii ni barua ya polisi wa uingereza waliyoandikia polisi ya tanzania wakimtafuta lema akamatwe kwa kosa la ubakaji.

View attachment 121028

maelezo ya ziada ambayo uingereza walihitaji kutoka polisi ya Tanzania, ni haya hapa chini.

Ushahidi wa mbunge Godbless Lema kumbaka flora lyimo wazidi kubainika


Taarifa za kweli kuhusu mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kumbaka mwanadada Flora Lyimo tarehe 8.8.2012 nchini Uingereza wakati wa ufunguzi wa tawi la chadema nchini humo umezidi kubainika.

Tarehe 2 -3, january 2013 akiwa tanzania, Flora aliwasilisha barua ya polisi wa uingereza kwa polisi kituo cha Moshi mkoani kilimanjaro na kufunguliwa jalada no.MOS/RB/17127/12.

Aidha tarehe 13/12/2012 Afisa upelelezi DC William Hughes wa kitengo cha uhalifu jeshi la polisi la uingereza kituo cha 4-6 shepherdess walk N17LF alifika ubalozi wa Tanzania nchini uingereza ili kujua pamoja na mambo mengine,
-Taarifa sahihi za GODBLESS LEMA
-Anuani yake
-Barua pepe

Ushauri kutoka mamlaka za Tanzania juu ya mikakati mizuri ya kushughulikia kesi hiyo ambayo inamuhusisha kiongozi wa chama kikubwa cha siasa na
-Wasifu wake.

Mbali na tukio hilo kuripotiwa ubalozini, vyanzo mbalimbali vya habari ikiwa ni pamoja na Gazeti la changamoto la tanzania toleo namba 348 la tarehe 18- 24 desemba 2012 lilichapisha taarifa ya tukio hilo kwenye ukurasa wake wa mbele.kwa kichwa cha habari "POLISI UINGEREZA WAMSAKA LEMA", Pia blog ya global publishers ya nchini tanzania katika report zake za tarehe 14 mei 2013 iliandika habari hiyo kwa kichwa cha habari "MREMBO;MBUNGE AMENIBAKA" Ambapo mrembo huyo (flora) alieleza alivyochaniwa na kufanyiwa kitendo hicho. alieleza kuwa lema alikuwa amemsindikiza mpaka nyumbani na walipofika LEMA aliomba aonyeshwe sehemu ya kujisaidia haja ndogo ndipo alipomvamia Flora na kumchania nguo na kutekeleza azma yake hiyo ovu.

Flora amekuwa akionekana katika shughuli mbalimbali za kijamii lakini ana wasiwasi kuwa anaweza kufanyiwa unyama na LEMA wakati akiwa Tanzania kwa sababu anasema anamfahamu lema pia kuwa ana asili ya ujambazi.

kiambatisho ni barua ya polisi wa kimataifa interpol kumweleza kuwa uchunguzi wa kesi yake unaendelea.
 
Ha ha ha hata kariakoo wanatengeneza,,,,ukiwa mchumia tumbo ni mbaya sana
 
kama hujui kusoma na kuelewa kiingereza si bora ukatulia tu? yanini kujifedhehesha kiasi hiki majukwaani? Hivi kweli umeisoma na kuielewa barua hiyo? wapi Lema anatajwa kubaka? Nyambafu kabisa!
 
Wacha wamfunge kazidi naye huku mikanda ya Cd ikisambaa kule umebaka.Malipo hapa hapa duniani

Dah, Mkuu, umenikumbusha taarifa hii hapa chini.
Wadau, katika pitapita yangu, nimekutana na mazungumzo ya vijana wa mtaani walioangalia video ikimuonesha Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini akifanya mapenzi kinyume cha maumbile na wanaume wenzake. wamesema kuwa video hiyo ni bonafide genuine na Mkuu Pasco pengine angetusaidia kwa hili kama na yeye ameiona. Hiyo video tayari ipo mikononi mwa Lema na yeye mwenyewe amekanusha na kuiita kuwa ni ya kutengeneza. Pia amekanusha kuwa Video hiyo haijatengenezwa na Nchemba na tayari amewasiliana na uongozi wa bunge uone jinsi utakavyoshughulikia suala hilo. Kwa mtu yeyote aliyefanikiwa kuiona video hiyo naomba atupe ukweli ili sisi wadau ndio tupime. Kama kweli Lema ameshiriki vitendo hivyo, ni aibu kwake, familia yake, chama chake na taifa kwa ujumla



1.jpg

Mbunge wa Arusha mjini Godbles amekanusha na kukemea vikali baadhi ya watu wanaomdhalilisha kwenye mitandao ya kijamii kwa kutengeneza na kusambaza picha chafu ambazo zinaonesha udhalilishaji mkubwa kwa mbunge na hata kwa mtu wa kawaida.

Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake jijini Arusha mbunge Lema amesema picha hizo za aibu zimetengezwa na kusambazwa na mtu ama watu wenye lengo la kumdhalilisha na tayari amekwishaanza hatua ya kuchukua hatua za kufikisha suala hilo kwenye uongozi wa bunge akiwemo Spika Anne Makinda, naibu spika Job Ndugai pamoja na katibu wa bunge.

Amesema ameamua kutoa taarifa hiyo kwenye vyombo vya habari kwa sababu vitu vikishawekwa kwenye mitandao ya kijamii siyo siri tena hivyo anategemea bunge litaona wajibu na ni jinsi gani heshima ya mbunge imeshushwa na kudhalilisha kwa maksudi bila kujali utu na heshima ya mbunge.





Mbunge Lema amefafanua kwamba picha hizo hazijatengenezwa na mbunge wa Iramba Muhigulu Nchemba kama baadhi ya watu walivyomfikishia taarifa kwani akiwa bungeni mjini Dodoma alizungumza na Nchemba na kubaini kwamba alikuwa hajaziona picha hizo hivyo hakuwa anajua lolote juu ya suala hilo.
 
Wacha wamfunge kazidi naye huku mikanda ya Cd ikisambaa kule umebaka.Malipo hapa hapa duniani

Lema ni jambazi, ameua sana watu na kuwapora magari Arusha, Mwenyezimungu analipa hapa hapa duniani!
 
kama hujui kusoma na kuelewa kiingereza si bora ukatulia tu? yanini kujifedhehesha kiasi hiki majukwaani? Hivi kweli umeisoma na kuielewa barua hiyo? wapi Lema anatajwa kubaka? Nyambafu kabisa!

Mkuu, kwani chanzo cha yote hayo ni nini? si kashfa ya kubaka?
 
Kuna nyuzi nyingine kabla hujakomenti unaanza kumfikiria mleta mada ni mtu wa namna gani na kama anatumia ubongo wake vizuri kusoma na kung'amua mambo.
 
Mkuu, kwani chanzo cha yote hayo ni nini? si kashfa ya kubaka?
Na wewe ni mpuuzi kama mleta uzi alivyo! tunajadili barua iliyowekwa hapa jamvini, sasa kama umesoma barua hiyo na kuielewa basi utakubaliana na mimi kwamba kwenye hiyo barua hakuna anapotajwa Lema!
 
hebu tengeneza wewe utuwekee hapa, kibaraka ww

Kingereza chenyewe kibovu mno!Nahisi aliyeiandika ni form 6 tena aliyekosa selection ya kwenda UDOM!Mwingereza gani aandike madudu kama haya ya no grammar wala verb agreement?

Toa up u uzi wako hapa!
 
Katika hali ya kutapatapa na kuua raia wema wanaohudhuria katika mikutano ya chadema kama iramba,morogoro,iringa na arusha, ccm sasa imeamua kuchafua wana chadema kama hii barua iliyowekwa na Joyce Lyimo humu JF!!!huyu member ametendwa vibaya sana mpaka amevurugukiwa akili hivyo tumpuuze
 
Kuna nyuzi nyingine kabla hujakomenti unaanza kumfikiria mleta mada ni mtu wa namna gani na kama anatumia ubongo wake vizuri kusoma na kung'amua mambo.

jibu hoja umsaidie lema acha uzuzu
 
Wacha wamfunge kazidi naye huku mikanda ya Cd ikisambaa kule umebaka.Malipo hapa hapa duniani

Mpaka uchaguzi ufike wengine mtakuwa mmeliwa boga kabisaaa na hao mabwana zenu
 
Back
Top Bottom