Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo.

Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza.

Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania ndio siku ambayo nilishambuliwa na marisasi mwili mzima, nilikata katu kuwa mnafiki wa taifa langu nitasema ukweli na kusimamia ukweli.

Hata mke wangu alinishanga kusema narudi Tanzania pia watoto wangu hivyo hivyo wao kutokana na hofu jinsi walivyo nishuhudia nusu marehemu hawakuwa na hamu kubaki Tanzania waliathiriwa pakuwa na tukio hilo hata nilipowaambia narudi Tanzania sikuwalaumu maana walijua narudi kuja kujitoa kafara upya, ila moyoni mwangu nilisema ukweli umweka mtu huru, bado nalipenda na nitaendelea kulipigania taifa langu la Tanzania

Siku natamka kwa habari ya No, Reforms No Election haikuwa kosa,
Siku nasema hadi "kieleweke" haikuwa kosa, ni hadi pale niliposema "WANAIBA NA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE AMBAYO KWA MIAKA YOTE HAKUNA MTANZANIA KAFAIDIKA NAYO KWA MIAKA 100 WATU WA ENEO HILO WAMEKUWA MASKINI ILA WAMEKALIA MAKAA YA MAWE AMBAYO KILA DAKIKA MAGARI KWA MALORI YANASAFIRISHA NJE YA MPAKA WA TANZANIA " Kumbe nilikuwa navuruga Ugali wa mapapa wa taifa hili " hao mapapa wa taifa hili, hao wahuni wa taifa hili" sasa nimefunguliwa mashitaka ya kutaka kupindua nchi " mikononi mwangu sina bunduki wala sina mafunzo ya jeshi cha kushangaza zaidi, mtu mmoja tena ambaya sina hata jeshi wala sina kikundi cha ulinzi hata mgambo nimepewa kesi ya uhaini _

Watanzania nimepitia mazito nikiwa huku, nimewekwa mahali ambapo kuna maji taka hata kuchanganywa na wafungwa wa kunyongwa kiafya ya akili inaumiza namna gani, ? hata kudhuria ibada au kunyoosha hata mwili kwa ajiri ya kesho yangu vyote nimebanwa na yote haya napitia sababu ya kuwasemea watanzania katika ile kweli ambayo siku zote humweka mtu huru.

Sitaandika mengi,
Watanzania wawe mahakimu kama wameruhusu niendelee kuteseka hivi hivi na kuumizwa hivi hivi kisa wao acha kikombe hiki nikinywe ila kama sio watanzania wanaonishitaki na kesi hii (public prosecutions) basi dua zenu, maombi yenu, ujasiri wenu na hekima zenu zitaniepusha na kikombe hiki cha mimi kunyogwa kisa kusimamia ile KWELI, Msikubali kuyumbishwa kwa dhana yoyote ile NO, REFORMS NO ELECTION.

DR WILLIAM ASANTE KWA KUNIFIKISHIA UJUMBE WANGU KWA WATANZANIA ! WACHA WAO NDIO WAMUE, MWISHO.

Dhuluma, Uovu na Uhalifu vinaposhamiri na kuzidi katika jamii, hofu ya kifo huondoka na Watu wataamua kutumia njia yoyote ile watakayoona inafaa ili kudai na kupigania HAKI zao zinazodhulumiwa. Hili suala la Tundu Lissu na masuala mengine ya kishetani kama vile Utekaji, Utesaji na Mauaji ya Watu yanayoendelea hapa nchini hivi Sasa yanatukera Sana sisi Wananchi raia wema na Wapenda Haki, naona kama imefikia hatua Sasa hayavumiliki tena. Wananchi kwa Sasa naona kama tunalazimishwa kwa nguvu kubwa sana na Watawala wadhalimu waliopo kwamba tunapaswa kuchukua maamuzi magumu Sana ili kukomesha kabisa udhalimu huu unaofanywa na hao Watu.
Muda utaongea, actions speak louder than words!
Siku siyo nyingi, haya Mambo yatabakia kuwa ni historia itakayokuwa inasomwa kwenye vitabu au itakuwa ni masimulizi ya stori za kwenye vijiwe vya kahawa huko mjini.
Muda ndio Mwalimu Mkuu! Let us wait and see!
 
Sad 😢
BUT TRUTH MUST BE HONEST
===================
Angeachana na huo ukombozi huyo Nae , hao Watanzania anao wapigania hakuna hata mwenye Akili timamu wakisha Kula ugari maharage wanajiona Tayari wapo heaven, so aangalie maisha yake na family yake Watanzania wapo katika idadi kubwa sana ya Ujinga kumuhubiria Haki mtanzania ni sawa na kumvisha dhahabu nguruwe it's a wasting of a time ,

Kama kweli Watanzania wangelikuwa wanahitaji ukombozi mpaka Sasa kitendo Cha kuwekwa kwake Lumande tu kisingeifanya nchi isikalike Kwa amani , nenda tu hapo Kenya serikali ya Rutto haiwezi kuthubutu kumfanyia hivyo Raila odinga maana wanajua kuwa nchi haitokalika watu hawatokula Kwa Raha Wala kulala Kwa Raha , lakini serikali ya tz inafanya hivyo Kwa maana inajua kwamba Ina Wananchi misukule Hawato fanya lolote ,

So lissu angejikeep busy na mambo yake tu , It's enough for now ,

Watanzania Hawa hawa wanafki ndio unao wapigania then utegemee kwamba watakusaidia kupata mabadiliko !? My foot🤔😢

Kwanza hao Watanzania hakuna hata Mmoja ambaye sio mnafiki maana wamekuwa wakijifunza unafki Toka Kwa hao hao viongozi wa vyama vya siasa mfano mdogo ni huu === kama mtu kama mbowe waliye muamini Kwa muda wa takriban miaka 20s now wamekuja kumbaini kuwa ni mnafki and the likes Hammuoni kuwa hiyo inachangia kushusha morality ya Wanachama na mashabiki wa chama husika

Maana mwisho wa siku watu wanakuwa wanajiuliza WHO ARE WE SUPPOSED TO TRUST THEM !?

Unakuta watu wanaogopa kuendelea kuunga Juhudi za Wana siasa halafu mwisho wa siku wakaja kujikuta kumbe walikuwa wanatumika maana siasa imechangia kupotea Kwa watu /kufa Kwa watu / baadhi ya watu kuwa vilema , kufilisika and the likes kwaajili ya kuwaamini watu wapumbavu na wanafki waliokuwa wanajifanya kuwa ni wakombozi wa Watanzania kumbe ni vibaraka ,

Honestly lissu anapitia wakati Mgumu sana cause amekichukua Chama na kukiongoza katika kipindi ambacho Watanzania wengi walikuwa Wana kiunga chama mkono wamekatishwa tamaa na mwenye kiti Aliyekuwa ametangulia hapo Awali so it's hard more than hard kurejesha tena Ile morality and trust ya Watanzania Kwa chadema ,Maana watu wanakuwa na maswali mengi kichwani mwao kuhusu Ukweli na uaminifu wa viongozi wa chama hicho baada ya watu hao hao kujeruhiwa vibaya na waliokuwa viongozi ambao walikuwa Wana waamini Huko nyuma lakini kumbe ni vibiraka ,

Ukija kujumlisha na Ujinga wa Watanzania ndio kabisaaa sioni kama Lissu anaweza kutimiza malengo ya ndoto zake na malengo ya chama chake ,

Watanzania ni wajinga plus ma coward

😄😤 You said it all chief, mimi mpaka huwa najiuliza hivi ni kweli TAL yupo kwaajili ya kuwapigania waTZ kweli?? Like for real?? Hao waTZ ni WA wapi?? 😂😂😂Unawapigania watu ambao wao wenyewe hawajui kama wapo kwenye mapambano, ukiwatoa wale top Elites ambao wapo mstari wa mbele kupinga na kulaani vikali baadhi ya mambo yanayoendela kwenye SOCIALS hivi umeshaenda mtaani huko kwa watanzania wa maisha ya kawaida? Trust me Kuna watu hata hawana habari what's really going on na hii SAGA ya TAL achilia mbali wale wasiojua hata kama jamaa yupo jela, ndio maana nasema unless otherwise kuwe na kitu kingine anakipigania lakini kwakusema anawapigania waTZ hapo nakataa, kuna namna unaona TAL alipaswa kuwa nchi kama Kenya wanaojua Nini maana ya harakati lakini sio sisi waTZ ambao ukitununulia pombe ukatuwekea na mziki na wanawake tunasahau shida zetu zote.
 
Apambane na hali yake kama ana ushahidi aweke ushahidi mahakamani kuwa ndio sababu afungue kesi na aweke ushahidi

Kesi yeyote ruksa kufungua awe Lisu au yeyote ila awe na ushahidi

Mwambieni afungue kesi dhidi ya Rostam Aziz ni haki yake kisheria
Hio ipo wazi kabisa you don't know Vito Corleone and his Gang,
 
Hili ndio tatizo kubwa la CDM fantasy

Wapi duniani umeona kunako chimbwa makaa ya mawe wenyeji wakawa matajiri.

Hakuna bidhaa cheap duniani kama makaa ya mawe.

Huko kusini wananchi waache kutajirika na mazao ya biashara watajirike na makaa ya mawe.

Dangote alikuwa anaagiza makaa ya mawe kutoka S.A kuleta Tanzania kwa sababu logistic ni cheap kuliko kununua huko kusini.

Halafu mtu atakwambia kaona małori ya makaa ya mawe yanakatiza mpaka namanga tele.

Kuna mfanyabiashara gani atapandisha małori kutoka kusini hadi Kenya kwa sababu ya makaa ya mawe si faida yote inaishia kwenye mafuta tu.

Wakati bandari ya Mtwara ina storage na kushusha na kupandisha kila siku makaa ya mawe.

Shida yenu CDM ni unrealistic goals, mbaya zaidi mnajiaminisha huo uongo na kudhani Tanzania nzima sisi sote vichwa panzi.

Ndio maana watu wengine ujiuliza Lissu akishakuwa raisi and then what? Kwa uropokaji wa hovyo hivi ili mradi tu. Makaa ya mawe yana hela gani.
Hii ya Dangote kutoka S.A hadi Mtwara Tanzania ni cheap, kutoka Songea hadi Mtwara ni expensive na pia kutoka Songea hadi Namanga ni expensive.
Naomba unieleweshe vizuri mkuu; hiyo logistics ya kutoka S.A hadi Mtwara imekuaje cheap kuliko kutoa Makaa ya Mawe Ruvuma hadi Mtwara?
 
Pamoja na kuwa na mahaba na nchi yake, namshauri aachane na habari ya kutukomboa sisi kizazi cha laana. Anapoteza muda tu
Yeye anachomesha madili ya Wakubwa na kutufumbua Macho kwamba hawa wangese wanawaibia nyinyi hii Nchi ni yetu msiwaache hawa wanawaibia tu kingesengese
 
Ifikie kipindi JamiiForums mtuwekee emoji za kulia Kuna habari kama hizi zina hisia lakini huna jinsi ya kuzielezea!Btw Lissu atalishinda na hili pia!
images (3) (8).jpeg
 
Afungue kesi au wewe fungua kwa niaba yake kuwa Rostam Aziz ndio sababu ya kesi ya Lisu
Hio ipo wazi haina haja ya kufungua kesi ushanielewa nani ambae hajui hilo unataka nini kingine na kila kitu kipo wazi?
 
Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo.

Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza.

Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania ndio siku ambayo nilishambuliwa na marisasi mwili mzima, nilikata katu kuwa mnafiki wa taifa langu nitasema ukweli na kusimamia ukweli.

Hata mke wangu alinishanga kusema narudi Tanzania pia watoto wangu hivyo hivyo wao kutokana na hofu jinsi walivyo nishuhudia nusu marehemu hawakuwa na hamu kubaki Tanzania waliathiriwa pakuwa na tukio hilo hata nilipowaambia narudi Tanzania sikuwalaumu maana walijua narudi kuja kujitoa kafara upya, ila moyoni mwangu nilisema ukweli umweka mtu huru, bado nalipenda na nitaendelea kulipigania taifa langu la Tanzania

Siku natamka kwa habari ya No, Reforms No Election haikuwa kosa,
Siku nasema hadi "kieleweke" haikuwa kosa, ni hadi pale niliposema "WANAIBA NA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE AMBAYO KWA MIAKA YOTE HAKUNA MTANZANIA KAFAIDIKA NAYO KWA MIAKA 100 WATU WA ENEO HILO WAMEKUWA MASKINI ILA WAMEKALIA MAKAA YA MAWE AMBAYO KILA DAKIKA MAGARI KWA MALORI YANASAFIRISHA NJE YA MPAKA WA TANZANIA " Kumbe nilikuwa navuruga Ugali wa mapapa wa taifa hili " hao mapapa wa taifa hili, hao wahuni wa taifa hili" sasa nimefunguliwa mashitaka ya kutaka kupindua nchi " mikononi mwangu sina bunduki wala sina mafunzo ya jeshi cha kushangaza zaidi, mtu mmoja tena ambaya sina hata jeshi wala sina kikundi cha ulinzi hata mgambo nimepewa kesi ya uhaini _

Watanzania nimepitia mazito nikiwa huku, nimewekwa mahali ambapo kuna maji taka hata kuchanganywa na wafungwa wa kunyongwa kiafya ya akili inaumiza namna gani, ? hata kudhuria ibada au kunyoosha hata mwili kwa ajiri ya kesho yangu vyote nimebanwa na yote haya napitia sababu ya kuwasemea watanzania katika ile kweli ambayo siku zote humweka mtu huru.

Sitaandika mengi,
Watanzania wawe mahakimu kama wameruhusu niendelee kuteseka hivi hivi na kuumizwa hivi hivi kisa wao acha kikombe hiki nikinywe ila kama sio watanzania wanaonishitaki na kesi hii (public prosecutions) basi dua zenu, maombi yenu, ujasiri wenu na hekima zenu zitaniepusha na kikombe hiki cha mimi kunyogwa kisa kusimamia ile KWELI, Msikubali kuyumbishwa kwa dhana yoyote ile NO, REFORMS NO ELECTION.

DR WILLIAM ASANTE KWA KUNIFIKISHIA UJUMBE WANGU KWA WATANZANIA ! WACHA WAO NDIO WAMUE, MWISHO.
Aache kulialia hakuna aliyemtuma kuwasemea hao anaowaita watanzania. Ni jambo la ajabu kuwa anawapenda zaidi watanzania kuliko anavyojipenda. Nna wasiwasi km kwl ni yeye ndio kaandika hii barua maana kuna watu wanataka watumie kila njia kuleta uchochezi, nia ya huyu mwandishi ni kuwachochea watanzania labda waingie barabarani wamtoe kwa nguvu, hii ni aina ya uasi, serikali iwe makini na uchafu km huu. Hao watu wamesoma historia vizuri wanajaribu kila mbinu zilizotumika zama zile ili watu waiasi serikali iliyoko madarakani. Na JF mara nyingi imekuwa sehemu ya kusupport upuuzi km huu vinginevyo wangeshaufuta huu uzi. Ni threads nyingi nimeandika wamezifuta na zingine haaakurusha kabisa, ila ninyi JF muelewe hakuna nchi nyingine ya kuishi labda km Mello Maxence siyo raia km ambavyo nna wasiwasi
 
Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo.

Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza.

Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania ndio siku ambayo nilishambuliwa na marisasi mwili mzima, nilikata katu kuwa mnafiki wa taifa langu nitasema ukweli na kusimamia ukweli.

Hata mke wangu alinishanga kusema narudi Tanzania pia watoto wangu hivyo hivyo wao kutokana na hofu jinsi walivyo nishuhudia nusu marehemu hawakuwa na hamu kubaki Tanzania waliathiriwa pakuwa na tukio hilo hata nilipowaambia narudi Tanzania sikuwalaumu maana walijua narudi kuja kujitoa kafara upya, ila moyoni mwangu nilisema ukweli umweka mtu huru, bado nalipenda na nitaendelea kulipigania taifa langu la Tanzania

Siku natamka kwa habari ya No, Reforms No Election haikuwa kosa,
Siku nasema hadi "kieleweke" haikuwa kosa, ni hadi pale niliposema "WANAIBA NA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE AMBAYO KWA MIAKA YOTE HAKUNA MTANZANIA KAFAIDIKA NAYO KWA MIAKA 100 WATU WA ENEO HILO WAMEKUWA MASKINI ILA WAMEKALIA MAKAA YA MAWE AMBAYO KILA DAKIKA MAGARI KWA MALORI YANASAFIRISHA NJE YA MPAKA WA TANZANIA " Kumbe nilikuwa navuruga Ugali wa mapapa wa taifa hili " hao mapapa wa taifa hili, hao wahuni wa taifa hili" sasa nimefunguliwa mashitaka ya kutaka kupindua nchi " mikononi mwangu sina bunduki wala sina mafunzo ya jeshi cha kushangaza zaidi, mtu mmoja tena ambaya sina hata jeshi wala sina kikundi cha ulinzi hata mgambo nimepewa kesi ya uhaini _

Watanzania nimepitia mazito nikiwa huku, nimewekwa mahali ambapo kuna maji taka hata kuchanganywa na wafungwa wa kunyongwa kiafya ya akili inaumiza namna gani, ? hata kudhuria ibada au kunyoosha hata mwili kwa ajiri ya kesho yangu vyote nimebanwa na yote haya napitia sababu ya kuwasemea watanzania katika ile kweli ambayo siku zote humweka mtu huru.

Sitaandika mengi,
Watanzania wawe mahakimu kama wameruhusu niendelee kuteseka hivi hivi na kuumizwa hivi hivi kisa wao acha kikombe hiki nikinywe ila kama sio watanzania wanaonishitaki na kesi hii (public prosecutions) basi dua zenu, maombi yenu, ujasiri wenu na hekima zenu zitaniepusha na kikombe hiki cha mimi kunyogwa kisa kusimamia ile KWELI, Msikubali kuyumbishwa kwa dhana yoyote ile NO, REFORMS NO ELECTION.

DR WILLIAM ASANTE KWA KUNIFIKISHIA UJUMBE WANGU KWA WATANZANIA ! WACHA WAO NDIO WAMUE, MWISHO.
Asione watanzania wako kimya wanaumia sana njia anayopitishwa Lisu.Naamini hata baadhi ya wanaccm wanaumia tatizo ni kwamba watanzania hawaongei kwa sauti sijui nani katuloga.Alivyosukumwa pale mahakamani mtu walieshindwa kumuua 2017 ni laana kwa kushindwa kulikemea
 
Sad 😢
BUT TRUTH MUST BE HONEST
===================
Angeachana na huo ukombozi huyo Nae , hao Watanzania anao wapigania hakuna hata mwenye Akili timamu wakisha Kula ugari maharage wanajiona Tayari wapo heaven, so aangalie maisha yake na family yake Watanzania wapo katika idadi kubwa sana ya Ujinga kumuhubiria Haki mtanzania ni sawa na kumvisha dhahabu nguruwe it's a wasting of a time ,

Kama kweli Watanzania wangelikuwa wanahitaji ukombozi mpaka Sasa kitendo Cha kuwekwa kwake Lumande tu kisingeifanya nchi isikalike Kwa amani , nenda tu hapo Kenya serikali ya Rutto haiwezi kuthubutu kumfanyia hivyo Raila odinga maana wanajua kuwa nchi haitokalika watu hawatokula Kwa Raha Wala kulala Kwa Raha , lakini serikali ya tz inafanya hivyo Kwa maana inajua kwamba Ina Wananchi misukule Hawato fanya lolote ,

So lissu angejikeep busy na mambo yake tu , It's enough for now ,

Watanzania Hawa hawa wanafki ndio unao wapigania then utegemee kwamba watakusaidia kupata mabadiliko !? My foot🤔😢

Kwanza hao Watanzania hakuna hata Mmoja ambaye sio mnafiki maana wamekuwa wakijifunza unafki Toka Kwa hao hao viongozi wa vyama vya siasa mfano mdogo ni huu === kama mtu kama mbowe waliye muamini Kwa muda wa takriban miaka 20s now wamekuja kumbaini kuwa ni mnafki and the likes Hammuoni kuwa hiyo inachangia kushusha morality ya Wanachama na mashabiki wa chama husika

Maana mwisho wa siku watu wanakuwa wanajiuliza WHO ARE WE SUPPOSED TO TRUST THEM !?

Unakuta watu wanaogopa kuendelea kuunga Juhudi za Wana siasa halafu mwisho wa siku wakaja kujikuta kumbe walikuwa wanatumika maana siasa imechangia kupotea Kwa watu /kufa Kwa watu / baadhi ya watu kuwa vilema , kufilisika and the likes kwaajili ya kuwaamini watu wapumbavu na wanafki waliokuwa wanajifanya kuwa ni wakombozi wa Watanzania kumbe ni vibaraka ,

Honestly lissu anapitia wakati Mgumu sana cause amekichukua Chama na kukiongoza katika kipindi ambacho Watanzania wengi walikuwa Wana kiunga chama mkono wamekatishwa tamaa na mwenye kiti Aliyekuwa ametangulia hapo Awali so it's hard more than hard kurejesha tena Ile morality and trust ya Watanzania Kwa chadema ,Maana watu wanakuwa na maswali mengi kichwani mwao kuhusu Ukweli na uaminifu wa viongozi wa chama hicho baada ya watu hao hao kujeruhiwa vibaya na waliokuwa viongozi ambao walikuwa Wana waamini Huko nyuma lakini kumbe ni vibiraka ,

Ukija kujumlisha na Ujinga wa Watanzania ndio kabisaaa sioni kama Lissu anaweza kutimiza malengo ya ndoto zake na malengo ya chama chake ,

Watanzania ni wajinga plus ma coward
Maelezo yako hayana nia ya kweli. Haya maelezo hutumiwa na wale ambao ni pro regime
 
Back
Top Bottom