hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,389
Watanzania ni changamoto Mzee tena nzitoWATANZANIA ndio tatizo
Watanzania, Watanzania… Watanganyika ndio tatizo la nchi hii. Sioni kwa nini anaendelea kujihangaisha na watu hawa. Waache tu, kila kitu kishindikane kabisa mpaka turudi sifuri, kisha tuanze upya, iwe ni kwa kizazi chetu au kizazi kingine kabisa.