Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
17,562
Reaction score
27,633
Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo.

Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza.

Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania ndio siku ambayo nilishambuliwa na marisasi mwili mzima, nilikata katu kuwa mnafiki wa taifa langu nitasema ukweli na kusimamia ukweli.

Hata mke wangu alinishanga kusema narudi Tanzania pia watoto wangu hivyo hivyo wao kutokana na hofu jinsi walivyo nishuhudia nusu marehemu hawakuwa na hamu kubaki Tanzania waliathiriwa pakuwa na tukio hilo hata nilipowaambia narudi Tanzania sikuwalaumu maana walijua narudi kuja kujitoa kafara upya, ila moyoni mwangu nilisema ukweli umweka mtu huru, bado nalipenda na nitaendelea kulipigania taifa langu la Tanzania

Siku natamka kwa habari ya No, Reforms No Election haikuwa kosa,
Siku nasema hadi "kieleweke" haikuwa kosa, ni hadi pale niliposema "WANAIBA NA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE AMBAYO KWA MIAKA YOTE HAKUNA MTANZANIA KAFAIDIKA NAYO KWA MIAKA 100 WATU WA ENEO HILO WAMEKUWA MASKINI ILA WAMEKALIA MAKAA YA MAWE AMBAYO KILA DAKIKA MAGARI KWA MALORI YANASAFIRISHA NJE YA MPAKA WA TANZANIA " Kumbe nilikuwa navuruga Ugali wa mapapa wa taifa hili " hao mapapa wa taifa hili, hao wahuni wa taifa hili" sasa nimefunguliwa mashitaka ya kutaka kupindua nchi " mikononi mwangu sina bunduki wala sina mafunzo ya jeshi cha kushangaza zaidi, mtu mmoja tena ambaya sina hata jeshi wala sina kikundi cha ulinzi hata mgambo nimepewa kesi ya uhaini _

Watanzania nimepitia mazito nikiwa huku, nimewekwa mahali ambapo kuna maji taka hata kuchanganywa na wafungwa wa kunyongwa kiafya ya akili inaumiza namna gani, ? hata kudhuria ibada au kunyoosha hata mwili kwa ajiri ya kesho yangu vyote nimebanwa na yote haya napitia sababu ya kuwasemea watanzania katika ile kweli ambayo siku zote humweka mtu huru.

Sitaandika mengi,
Watanzania wawe mahakimu kama wameruhusu niendelee kuteseka hivi hivi na kuumizwa hivi hivi kisa wao acha kikombe hiki nikinywe ila kama sio watanzania wanaonishitaki na kesi hii (public prosecutions) basi dua zenu, maombi yenu, ujasiri wenu na hekima zenu zitaniepusha na kikombe hiki cha mimi kunyogwa kisa kusimamia ile KWELI, Msikubali kuyumbishwa kwa dhana yoyote ile NO, REFORMS NO ELECTION.

DR WILLIAM ASANTE KWA KUNIFIKISHIA UJUMBE WANGU KWA WATANZANIA ! WACHA WAO NDIO WAMUE, MWISHO.
 
Inapatikana kwenye akaunti ya
Screenshot_20250815_143727_Parallel Space Lite.jpg
 
Sad 😢
BUT TRUTH MUST BE HONEST
===================
Angeachana na huo ukombozi huyo Nae , hao Watanzania anao wapigania hakuna hata mwenye Akili timamu wakisha Kula ugari maharage wanajiona Tayari wapo heaven, so aangalie maisha yake na family yake Watanzania wapo katika idadi kubwa sana ya Ujinga kumuhubiria Haki mtanzania ni sawa na kumvisha dhahabu nguruwe it's a wasting of a time ,

Kama kweli Watanzania wangelikuwa wanahitaji ukombozi mpaka Sasa kitendo Cha kuwekwa kwake Lumande tu kisingeifanya nchi isikalike Kwa amani , nenda tu hapo Kenya serikali ya Rutto haiwezi kuthubutu kumfanyia hivyo Raila odinga maana wanajua kuwa nchi haitokalika watu hawatokula Kwa Raha Wala kulala Kwa Raha , lakini serikali ya tz inafanya hivyo Kwa maana inajua kwamba Ina Wananchi misukule Hawato fanya lolote ,

So lissu angejikeep busy na mambo yake tu , It's enough for now ,

Watanzania Hawa hawa wanafki ndio unao wapigania then utegemee kwamba watakusaidia kupata mabadiliko !? My foot🤔😢

Kwanza hao Watanzania hakuna hata Mmoja ambaye sio mnafiki maana wamekuwa wakijifunza unafki Toka Kwa hao hao viongozi wa vyama vya siasa mfano mdogo ni huu === kama mtu kama mbowe waliye muamini Kwa muda wa takriban miaka 20s now wamekuja kumbaini kuwa ni mnafki and the likes Hammuoni kuwa hiyo inachangia kushusha morality ya Wanachama na mashabiki wa chama husika

Maana mwisho wa siku watu wanakuwa wanajiuliza WHO ARE WE SUPPOSED TO TRUST THEM !?

Unakuta watu wanaogopa kuendelea kuunga Juhudi za Wana siasa halafu mwisho wa siku wakaja kujikuta kumbe walikuwa wanatumika maana siasa imechangia kupotea Kwa watu /kufa Kwa watu / baadhi ya watu kuwa vilema , kufilisika and the likes kwaajili ya kuwaamini watu wapumbavu na wanafki waliokuwa wanajifanya kuwa ni wakombozi wa Watanzania kumbe ni vibaraka ,

Honestly lissu anapitia wakati Mgumu sana cause amekichukua Chama na kukiongoza katika kipindi ambacho Watanzania wengi walikuwa Wana kiunga chama mkono wamekatishwa tamaa na mwenye kiti Aliyekuwa ametangulia hapo Awali so it's hard more than hard kurejesha tena Ile morality and trust ya Watanzania Kwa chadema ,Maana watu wanakuwa na maswali mengi kichwani mwao kuhusu Ukweli na uaminifu wa viongozi wa chama hicho baada ya watu hao hao kujeruhiwa vibaya na waliokuwa viongozi ambao walikuwa Wana waamini Huko nyuma lakini kumbe ni vibiraka ,

Ukija kujumlisha na Ujinga wa Watanzania ndio kabisaaa sioni kama Lissu anaweza kutimiza malengo ya ndoto zake na malengo ya chama chake ,

Watanzania ni wajinga plus ma coward
 
Very sad,

Watanzania nimepitia mazito nikiwa huku, nimewekwa mahali ambapo kuna maji taka hata kuchanganywa na wafungwa wa kunyongwa kiafya ya akili inaumiza namna gani, ? hata kudhuria ibada au kunyoosha hata mwili kwa ajiri ya kesho yangu vyote nimebanwa na yote haya napitia sababu ya kuwasemea watanzania katika ile kweli ambayo siku zote humweka mtu huru.
 
Mimi nasema kila siku sina tatizo na TAL, shida ni hawa watanzania wanaopiganiwa, laiti hata sekunde moja Lissu angejua aina ya watu anaowapigania basi ama kwa hakika angelia mno.

Waone hawana hata habari masikini 😤
 
Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    64.1 KB · Views: 23
  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    65.3 KB · Views: 26
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    48 KB · Views: 21
Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo.

Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza.

Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania ndio siku ambayo nilishambuliwa na marisasi mwili mzima, nilikata katu kuwa mnafiki wa taifa langu nitasema ukweli na kusimamia ukweli.

Hata mke wangu alinishanga kusema narudi Tanzania pia watoto wangu hivyo hivyo wao kutokana na hofu jinsi walivyo nishuhudia nusu marehemu hawakuwa na hamu kubaki Tanzania waliathiriwa pakuwa na tukio hilo hata nilipowaambia narudi Tanzania sikuwalaumu maana walijua narudi kuja kujitoa kafara upya, ila moyoni mwangu nilisema ukweli umweka mtu huru, bado nalipenda na nitaendelea kulipigania taifa langu la Tanzania

Siku natamka kwa habari ya No, Reforms No Election haikuwa kosa,
Siku nasema hadi "kieleweke" haikuwa kosa, ni hadi pale niliposema "WANAIBA NA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE AMBAYO KWA MIAKA YOTE HAKUNA MTANZANIA KAFAIDIKA NAYO KWA MIAKA 100 WATU WA ENEO HILO WAMEKUWA MASKINI ILA WAMEKALIA MAKAA YA MAWE AMBAYO KILA DAKIKA MAGARI KWA MALORI YANASAFIRISHA NJE YA MPAKA WA TANZANIA " Kumbe nilikuwa navuruga Ugali wa mapapa wa taifa hili " hao mapapa wa taifa hili, hao wahuni wa taifa hili" sasa nimefunguliwa mashitaka ya kutaka kupindua nchi " mikononi mwangu sina bunduki wala sina mafunzo ya jeshi cha kushangaza zaidi, mtu mmoja tena ambaya sina hata jeshi wala sina kikundi cha ulinzi hata mgambo nimepewa kesi ya uhaini _

Watanzania nimepitia mazito nikiwa huku, nimewekwa mahali ambapo kuna maji taka hata kuchanganywa na wafungwa wa kunyongwa kiafya ya akili inaumiza namna gani, ? hata kudhuria ibada au kunyoosha hata mwili kwa ajiri ya kesho yangu vyote nimebanwa na yote haya napitia sababu ya kuwasemea watanzania katika ile kweli ambayo siku zote humweka mtu huru.

Sitaandika mengi,
Watanzania wawe mahakimu kama wameruhusu niendelee kuteseka hivi hivi na kuumizwa hivi hivi kisa wao acha kikombe hiki nikinywe ila kama sio watanzania wanaonishitaki na kesi hii (public prosecutions) basi dua zenu, maombi yenu, ujasiri wenu na hekima zenu zitaniepusha na kikombe hiki cha mimi kunyogwa kisa kusimamia ile KWELI, Msikubali kuyumbishwa kwa dhana yoyote ile NO, REFORMS NO ELECTION.

DR WILLIAM ASANTE KWA KUNIFIKISHIA UJUMBE WANGU KWA WATANZANIA ! WACHA WAO NDIO WAMUE, MWISHO.
Dr. William ndiyo nani huyo?
 
Very sad,

Watanzania nimepitia mazito nikiwa huku, nimewekwa mahali ambapo kuna maji taka hata kuchanganywa na wafungwa wa kunyongwa kiafya ya akili inaumiza namna gani, ? hata kudhuria ibada au kunyoosha hata mwili kwa ajiri ya kesho yangu vyote nimebanwa na yote haya napitia sababu ya kuwasemea watanzania katika ile kweli ambayo siku zote humweka mtu huru.
Soo 😭
 
Soo sad
 
Huyu mzanzibar kutoka Oman yeye amebenua miguu tu juu ya sofa ambazo zimenunuliwa kwa kodi ya watanganyika

MUNGU ni mwema

Bahati nzuri bendera iko nusu mlingoti ila ni juu ya habari za ROHO, mda si mrefu itashushwa juu ya habari ya mwili

Hata farao alikuwaga na kiburi kuzidi huyu mama wa kizimkazi lakin alitia nanga

MUNGU anatenda
 
Back
Top Bottom