Barua ya Lema kutoka Gerezani Arusha

Barua ya Lema kutoka Gerezani Arusha

Lema anataka awe kama Mandela na pia kumbuka asiyefunzwa na mama yake dunia itamfunza
Mbona nawe unajichanganya? Kama no issue ya kuwa kama ......kisha hajafunzwa! Wataka kusema wanaharakati na wapigania haki za wanyonge na wote waliopo magerezani hawakufunzwa na mama zao?
Huekeweki na huelewi kuwa mnachojaribu leo cha kuzuia Uhuru wa kuongea mnajifungia wenyewe kwa Siku zijazo.
Mnahalalisha yasiyokuwa na Tina na kuendeleza ubabe usio na posho wala maslahi kwa taifa na ndio maana wajanja wanawapiga pesa kila uchao.
 
Mkuu tuna dikteta uchwara ambaye hupindisha sheria za nchi vile atakavyo yeye kama kuwapa dhamana majangili wauaji wa Tembo zaidi ya 300 lakini wakati huo huo kumnyima Shujaa Kema dhamana kwa kuota ndoto ya yeye kufa.

[HASHTAG]#justiceforlema[/HASHTAG]

Nchi yangu Tanzania! Waliokamatwa na mabunduki 17 kwa uwindaji haramu wa tembo (uhujumu uchumi) wamepata damana ndani ya siku 3 alieota na kusema ameota nini ananyimwa damana!!!......kisa? Kumpendezesha aliewateua!! Katiba katiba katiba......! Ikulu ni mahala patakatifu..msipigane ndani ya ikulu ni mwiko na laana........
 
Mbona nawe unajichanganya? Kama no issue ya kuwa kama ......kisha hajafunzwa! Wataka kusema wanaharakati na wapigania haki za wanyonge na wote waliopo magerezani hawakufunzwa na mama zao?
Huekeweki na huelewi kuwa mnachojaribu leo cha kuzuia Uhuru wa kuongea mnajifungia wenyewe kwa Siku zijazo.
Mnahalalisha yasiyokuwa na Tina na kuendeleza ubabe usio na posho wala maslahi kwa taifa na ndio maana wajanja wanawapiga pesa kila uchao.
Bavicha mchanga wewe rudia kusoma ulichoandika
 
Mkuu tuna dikteta uchwara ambaye hupindisha sheria za nchi vile atakavyo yeye kama kuwapa dhamana majangili wauaji wa Tembo zaidi ya 300 lakini wakati huo huo kumnyima Shujaa Kema dhamana kwa kuota ndoto ya yeye kufa.

[HASHTAG]#justiceforlema[/HASHTAG]
Lema wacha ulimwengu umnyooshe na kumfunza...hana adabu Wala nidhamu
 
AZUSA STREET unakumbuka jinsi chama mfu mlivyokuwa mnaporoka kuhusu wanasheria wa serikali kuwa ni mbumbu?? Mnakumbuka mlivyokuwa mnajigamba kusema ninyi mpo juu ya sheria??? Mnakumbuka nyie chama kilichokufa mlivyokuwa mnapanga mbinu za kumdhuru rais kupitia kauli zenu za kusema hafiki 2020?? Naona jamaa zenu wameenda ulaya ili kujikosha maana ni wahaini wakirudi lazima wadakwe maana ni wauaji
trust me, mimi sio mwana chadema, na sijawahi kuwa mwana cdm. zaidi sana kilichotokea kwa lema si sahihi, na kimeonyesha hakuna independence of judiciary kwasababu kosa analoshitakiwa nalo linadhaminika, nenda kasome kifungu cha 148(5) CPA Utaelewa. pia hakuna material threat yeyote kwa lema au toka kwa lema inayoweza kutokea akiwa nje. zaidi sana huyo ni mbunge wa watu, walimchagua, tukishindwa kumheshimu kama lema tumheshimu kama mbunge wa bunge la jamhuri ya Muungano wa tz, bunge ambalo ni mhimili mmojawapo wa serikali. angelikuwa amefanya kosa lisilodhaminika, tusingesema, lakini holo kosa hakukuwa na umhimu kumnyima dhamana. pia, kuzuia dhamana hakumpi wakili wa serikali au mahakama nafsi ya kujulikana kama ni mbumbumbu au sio mbumbumbu. sheria kuhusu bail ni sheria anazotakiwa kujadili mwanafunzi wa law school kwasababu ziko wazi mno. ninachosema kama mwananchi wa kawaida tena ninayemsapoti magufuli kwenye mambo yake mengi anayofanya,...HAKUNA SABABU YA MSINGI kuendelea kumshikilia, hatutamkomoa, hatutafaidika, na haina tija. zaidi sana tunasambaza chuki kwa wapiga kura wake dhidi ya serikali, tunavunja mshikamano badala ya kujenga. ukitaka watu wakuheshimu na kukuona wewe ni mchapakazi, vitendo vyako viongee, na sio ubabe wako.
 
Inawezekana tu yeye anatumiwa ili wengine tujifunze Hoping nawe umejifunza. Ndio maana huthubutu kusema haya kwa kutumia jina laki halali!
kwahiyo hata haya niliyoyasema ni kosa, sasa hapa tz si itakuwa bora kuishi north korea kama tumenyimwa uhuru hata wa kuongea haya niliyoyasema? duh.
 
trust me, mimi sio mwana chadema, na sijawahi kuwa mwana cdm. zaidi sana kilichotokea kwa lema si sahihi, na kimeonyesha hakuna independence of judiciary kwasababu kosa analoshitakiwa nalo linadhaminika, nenda kasome kifungu cha 148(5) CPA Utaelewa. pia hakuna material threat yeyote kwa lema au toka kwa lema inayoweza kutokea akiwa nje. zaidi sana huyo ni mbunge wa watu, walimchagua, tukishindwa kumheshimu kama lema tumheshimu kama mbunge wa bunge la jamhuri ya Muungano wa tz, bunge ambalo ni mhimili mmojawapo wa serikali. angelikuwa amefanya kosa lisilodhaminika, tusingesema, lakini holo kosa hakukuwa na umhimu kumnyima dhamana. pia, kuzuia dhamana hakumpi wakili wa serikali au mahakama nafsi ya kujulikana kama ni mbumbumbu au sio mbumbumbu. sheria kuhusu bail ni sheria anazotakiwa kujadili mwanafunzi wa law school kwasababu ziko wazi mno. ninachosema kama mwananchi wa kawaida tena ninayemsapoti magufuli kwenye mambo yake mengi anayofanya,...HAKUNA SABABU YA MSINGI kuendelea kumshikilia, hatutamkomoa, hatutafaidika, na haina tija. zaidi sana tunasambaza chuki kwa wapiga kura wake dhidi ya serikali, tunavunja mshikamano badala ya kujenga. ukitaka watu wakuheshimu na kukuona wewe ni mchapakazi, vitendo vyako viongee, na sio ubabe wako.
Hizo ni hisia zako. Kwa ufupi ni kuwa chama mfu chadema walijiapiza usiku na mchana kusema Mh rais hafiki 2020, na ilikuwa wazi wazi. Sasa kauli ya lema kusema hivyo hivyo tena hadharani alimaanisha nini??? Kuna jambo wewe hulijui bora tu unyamaze, muache ashughulikiwe na vyombo vya habari maana ni jizi tu na tapeli.
 
hivi lema, au mbowe, au kidudu mtu yeyote, ana uwezo gani wa kumdhuru rais wa nchi hii kwa ulinzi wote ule, tuseme tu ukweli jamani. pia, pamoja na maisha magumu mtaani, ni mwananchi gani atakubali kuandamana kumng'oa rais? watu tumeshaona yanayotendeka, nchi inanyooka, mafisadi wanapata shida hawalali, kwa akili ya kawaida tu ukisikia mtu anasema rais hafiki 2020, basi wewe mpuuzie tu, jua amepotewa na fahamu tu. sasa na sisimizi kumtishia simba mkuu.
 
Sasa hiyo barua inahusiana vivi na sisi.!

Hao maharusi si wangeweka tuu siri yao...
 
Back
Top Bottom