Barua ya Lema kutoka Gerezani Arusha

Barua ya Lema kutoka Gerezani Arusha

Na aendeelee kurusha ndege hapo kisongo..hamna namna...hatuwezi kuwa na watu wasio na discipline kwa kiwango hicho...haoni mwenzake mnyika yupo kimyaaaaaa......this is te new era..
 
Lema ni mhalifu ndio sababu ana kesi. Hawa wabunge wa kuokota okota wana matatizo. Kiburi chake ndio kimemfikisha hapo. You would expect an MP to be more careful on any move he/she makes.
 
Ni mjinga pekee anayeshangilia [HASHTAG]#lema[/HASHTAG] kuwekwa gerezani kisa ndoto badala ya kujiuliza aliyekamatwa na bunduki 17zinazotumika kihalifu yupo mtaani anakula bata ndo ujue ccm ni zaidi ya ujinga
Angefanya hilo kosa labunduki na yeye angekuwa nje ! badala yake yeye anaota ujinga tu !
 
hapa serikali inajijengea picha mbovu kwa watu wake
 
kwaajili ya ustawi wa amani na mshikamano tza, hakuna sababu yeyote ya msingi kuendelea kumshiklia lema gerezani, ni ubabe na ina hasara zaidi ya faida kwa mustakabadhi wa amani na mshikamano wa watz wote bila kujali vyama. kusema jambo lolote hata kama sio zuri dhidi ya mkuu wa nchi, ni kosa la kawaida, kwasababu rais sio Mungu, na hatakiwi kuabudiwa. katika democrasia wakati mwingine hata kama alichofanya ni kibaya machoni pa Mungu (alichofanya lema), kibinadamu unaacha tu tuvumiliane kama Mungu anavyotuvumilia ili watu wasikae na vinyongo moyoni, na zaid sana isionekana aliyetukatwa ana onekana kama vile anaabudiwa. ni mtu tu huyo. angekuwa marekani si angeshafunga watu nchi nzima? hata trump angekuwa gerezani leo.
AZUSA STREET unakumbuka jinsi chama mfu mlivyokuwa mnaporoka kuhusu wanasheria wa serikali kuwa ni mbumbu?? Mnakumbuka mlivyokuwa mnajigamba kusema ninyi mpo juu ya sheria??? Mnakumbuka nyie chama kilichokufa mlivyokuwa mnapanga mbinu za kumdhuru rais kupitia kauli zenu za kusema hafiki 2020?? Naona jamaa zenu wameenda ulaya ili kujikosha maana ni wahaini wakirudi lazima wadakwe maana ni wauaji
 
Magereza wapo smart sana. Hawakuruhusu Lema kuweka alama yoyote kwenye hiyo barua isipokuwa saini yake ya dole gumba tu
Yes,
Kitendo cha Mkuu wa Gereza kuruhusu hadi Type Writer wa Magereza kuchapa hiyo Barua inaonesha ni jinsi gani alivyo Mtu muelewa na asiye na unafiki.
Usifikiri Askari Magereza wana akili zilizodumaa kama ninyi Nyumbu vijana wa Lumumba ambao kila kitu mnasifia na kupiga Makofi kama kwenye Suala la Dangote.
Mkuu wa Gereza angekuwa na akili zilizodumaa kama zako angeogopa hata kuruhusu hiyo Barua kuchapwa na kutoka hapo Gerezani
 
Lema ana akili sana kuliko wanavyo mdhania. Hakika hii barua mtakuja kushangaa baadae ni moja ya mambo yatakayo tumika kutambulisha harakati za Lema maishani mwake. Hata wakina Mandela barua zao wakiwa jela zimewaongezea umaarufu sana kwenye maisha yao ingawa ni za kawaida tuu.
Kuna tofauti kati ya barua iliyo andikwa na mtu akiwa hospitalini na yule aliyeko jela kwa sababu za kisiasa
Hivi watu kama ninyi mnafikiriaga kwa kutumia akili zenu au za kondoo
 
Haya wazee wa Oparesheni kata funua wenzie wanakata na kufunua Bata kule ng'ambo na mwendo wa kuselfika mbele ya mijengo ya watu na kwny super market za ng'ambo ww endelea kutuandkia barua za kukata na kufunua maono....
Mwache anyee debe mkuu choo cha home kilimchosha,wenzie hata hawana mda nae wanakula bata mbele na wakili yuko honeymoon baada yakufunga ndoa
 
Pole Lema Mungu yupo upande wako.
I am now getting angry tutakaa hadi lini bila mbunge? Ukitoka shugulikia mambo ya maana Kama upatikanaji wa maji shule hospitali barabara viwanja nk jifunze kwa dogo janja Arumeru mashariki
 
Ushahidi wa kindoto haupo,na kutabiri raisi atakufa si mchezo jaman,sheria kama mtoto mdogo!lema aombe Neema za mungu tu nje na hapo atafungwa kimasihara siara!ajifunze tu kusoma alama za nyakat,magufuli ni mpinzani wake lkn yeye ni mbunge magufuli ni rais inakupasa umuheshim kwa kuwa ndo kila kitu!Sasa MTU mpinzani wako bado ni rais wako halafu unaleta habari za utabiri kuwa atakufa,kisheria tumweleweje!?je akifa kweli labda kwa mapenzi ya mungu lema atapona?!tuacheni ushabiki wa kisiasa ifike mahali tuseme LEMA amekosea tusimwonee aibu anachotakiwa ni kumwomba mheahimiwa msamaha basi,lkn kiburi chake kitamgarimu.Kukaa jela kwa muda wowote ni haki yake kutokana na MTU aliyemtabilia kifo.Uwezo wa yeye kuzuiwa na hata kufungwa upo mpaka rais atoke madarakani kwan anaweza kuachiwa akafanya lolote baya kwa rais kwan kwa mujibu wa ndoto zake amesema rais hatomaliza muda wake atakufa!!!haki yake kufungwa kutokana na sheria na mtu aliyemtabilia.
Mkuu vijana wa geto pale ufipa hawataki kukubali kua huyo kibaka kafanya kosa la uhaini,atoe ushahidi mahakamani kama kweli aliota,watu wanafanya mchezo na matishio ya kuangamiza,kule marekani wakat Mashambulizi ya Trade center yanapangwa yalickika maneno ya kawaida yakapuuzwa na yaliyotokea mpaka leo yamekua historia sasa mtu akurupuke kaota Rais atakufa alaf apuuzwe akiuawa mtajibu nini mliopewa dhamana yakumlinda Acheni kulialia anachopata kinamstahili na natamani angekua Rwanda
 
Back
Top Bottom