Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
So what?Magereza wapo smart sana. Hawakuruhusu Lema kuweka alama yoyote kwenye hiyo barua isipokuwa saini yake ya dole gumba tu
So what?Magereza wapo smart sana. Hawakuruhusu Lema kuweka alama yoyote kwenye hiyo barua isipokuwa saini yake ya dole gumba tu
Alikihitaji mwenyewe awe MandelaUkiacha mistari ya kisiasa ya wachangiaji. Barua ina mengi sana kuhusu maisha. Inatufunza kushukuru kila siku. Inatuonyesha, how blessed we are. Analala saa 12 jioni. Hawezi kwenda atakapo. Hayo ndio maisha ya watu wa huko. Kwa wengine yamewakuta kwa bahati mbaya mno. Wamepoteza hata familia na kila kitu chao.
Kwahiyo, at times we should reserve our comments. Maisha ni ya ajabu sana.
Matusi tena!Hakuna kitu kama icho acheni usenge
Majuto ni mjukuuNdiyo atambue kwamba Siasa za namna hiyo hazilipi TZ yetu, ona sasa hakuna hata anayejali kama yuko Jela hata wapiga kura wake wenyewe hawajali mpaka wakumbushiwe kwamba Lema yuko Lupango!
Soma bwtween the lines utaelewa kwa nini Zanzibar wanaita Magereza Vyuo vya Mafunzo!U-smart gani hapo..??
Acha kusifia Ujinga..
Mnamwogopa Lema.
Inawezekana tu yeye anatumiwa ili wengine tujifunze Hoping nawe umejifunza. Ndio maana huthubutu kusema haya kwa kutumia jina laki halali!kwaajili ya ustawi wa amani na mshikamano tza, hakuna sababu yeyote ya msingi kuendelea kumshiklia lema gerezani, ni ubabe na ina hasara zaidi ya faida kwa mustakabadhi wa amani na mshikamano wa watz wote bila kujali vyama. kusema jambo lolote hata kama sio zuri dhidi ya mkuu wa nchi, ni kosa la kawaida, kwasababu rais sio Mungu, na hatakiwi kuabudiwa. katika democrasia wakati mwingine hata kama alichofanya ni kibaya machoni pa Mungu (alichofanya lema), kibinadamu unaacha tu tuvumiliane kama Mungu anavyotuvumilia ili watu wasikae na vinyongo moyoni, na zaid sana isionekana aliyetukatwa ana onekana kama vile anaabudiwa. ni mtu tu huyo. angekuwa marekani si angeshafunga watu nchi nzima? hata trump angekuwa gerezani leo.
Ni sheria tu mkuu!Why Are You So Much Afraid Of Anything that Has Got To Do With Lema,Come on,It is Just A Piece of Paper Called a Letter,for Christ's Sake...!
Kwa taharifa yako ndoto za kijinga za kiongozi ni hatari kuliko bunduki unayoisema hasahasa pale anapoiwasilisha kwa wafuasi wake wanaomwamini ili waamini kuwa ni mkweli, bunduki inawezwa kamatwa, ujinga ukishalishwa kwenye ubongo wa mtu kutoka ni inachukua muda sana na uharibifu wake ni mkubwa kupindukia.Ni mjinga pekee anayeshangilia [HASHTAG]#lema[/HASHTAG] kuwekwa gerezani kisa ndoto badala ya kujiuliza aliyekamatwa na bunduki 17zinazotumika kihalifu yupo mtaani anakula bata ndo ujue ccm ni zaidi ya ujinga