Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,218
- 24,550
Dhamana maana yake kumbe usifanye kosa lingine? Au ni kuwa ukihitajika uwepo kwa uhakika bila kukosa na kuruka dhamana ni kama usipotokea unapohitajika.....kutenda kosa ndani ya kosa kama umefungwa kifungo cha nje...acheni akili za kushikiwa mjiongeze! Hadi sasa kwa kesi zote Lema ni mtuhumiwa hajahukumiwa utasemaje ametenda kosa ndani ya kosa?? Akili ndogo.......!very low IQ
alifanya kosa la uchochezi akiwa nje kwa dhamana, ambapo alikuwa amewekwa sero kwa kosa la uchochezi!.
unampaje mtu dhamana ambaye alishindwa kuheshimu dhamana aliyokuwa nayo akafanya tena kosa la uchochezi??
Ni sawa na mtu uibe, upate dhamana, ukiwa nje kwa dhamana ukaibe tena kabla ya kesi yako kuisha.. unawezaje kupata dhaman tena?? wacha wamfundishe adabu. inauma lakini ndo hali halisi.
hajanyimwa dhamana kwa kosa la kusema eti kaota rais anakufa, amenyimwa dhamana kwa kukiuka masharti ya dhamana aliyokuwa nayo.