Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,157
- 4,456
Aliye hoji PHD ya mwananchi mwenzake katika kipindi hiki cha uhakiki wa Elimu fake, inahofiwa kauawa!!Nchi yangu Tanzania! Waliokamatwa na mabunduki 17 kwa uwindaji haramu wa tembo (uhujumu uchumi) wamepata damana ndani ya siku 3 alieota na kusema ameota nini ananyimwa damana!!!......kisa? Kumpendezesha aliewateua!! Katiba katiba katiba......! Ikulu ni mahala patakatifu..msipigane ndani ya ikulu ni mwiko na laana........