kwaajili ya ustawi wa amani na mshikamano tza, hakuna sababu yeyote ya msingi kuendelea kumshiklia lema gerezani, ni ubabe na ina hasara zaidi ya faida kwa mustakabadhi wa amani na mshikamano wa watz wote bila kujali vyama. kusema jambo lolote hata kama sio zuri dhidi ya mkuu wa nchi, ni kosa la kawaida, kwasababu rais sio Mungu, na hatakiwi kuabudiwa. katika democrasia wakati mwingine hata kama alichofanya ni kibaya machoni pa Mungu (alichofanya lema), kibinadamu unaacha tu tuvumiliane kama Mungu anavyotuvumilia ili watu wasikae na vinyongo moyoni, na zaid sana isionekana aliyetukatwa ana onekana kama vile anaabudiwa. ni mtu tu huyo. angekuwa marekani si angeshafunga watu nchi nzima? hata trump angekuwa gerezani leo.