Nawe ni mbumbumbu kama mwanzilishi wa magreza? Hebu nipe faida moja mnayoipta kwa kumweka mahabusu huyo Lema. Kisha uniongeze na hasara moja tu nchi itapata kama huyo Lema akiwa uraiani.Akitoka humo itakuwa amejifunza kuandika vitabu Badala ya kutukana. Kweli magereza ni shule
Badala ya kumshawishi alale tena ili aote ndoto za namna ya kuuinua uchumi wetu uliokonda kuliko miaka miwili iliyopita mnamfungia! Watu wa ajabu Sana ninyi na huenda ndio maana ya rangi ya sare zenu kuwa za kijani. Fikirini na hangaikieni uchumi acheni siasa za kukomoana na visasi kwani Hazina mwisho mzuri.