Barua ya Lema kutoka Gerezani Arusha

Barua ya Lema kutoka Gerezani Arusha

kwaajili ya ustawi wa amani na mshikamano tza, hakuna sababu yeyote ya msingi kuendelea kumshiklia lema gerezani, ni ubabe na ina hasara zaidi ya faida kwa mustakabadhi wa amani na mshikamano wa watz wote bila kujali vyama. kusema jambo lolote hata kama sio zuri dhidi ya mkuu wa nchi, ni kosa la kawaida, kwasababu rais sio Mungu, na hatakiwi kuabudiwa. katika democrasia wakati mwingine hata kama alichofanya ni kibaya machoni pa Mungu (alichofanya lema), kibinadamu unaacha tu tuvumiliane kama Mungu anavyotuvumilia ili watu wasikae na vinyongo moyoni, na zaid sana isionekana aliyetukatwa ana onekana kama vile anaabudiwa. ni mtu tu huyo. angekuwa marekani si angeshafunga watu nchi nzima? hata trump angekuwa gerezani leo.
Kwa hiyo unataka wakasulihishe kifamilia?? Mambo ya nchi unataka yaende kidhaifu namna mpate la kusema
 
Yaani mambo binafsi ya mtu mnaleta huku..mi nilidhami ame address kitaifa..pelekeni jukwaa lingine
 
Hahahahahah wakati uholanzi wanafunga magereza kwa kykosa wafungwa.... Tz hatuwez funga kwa ajili ya vyamitusi kama hawa kina lema.... Mwacheni akapumzike huko akitoka me naamini atakua na adabu
Hebu andika hilo tusi alilotukana.
 
kwaajili ya ustawi wa amani na mshikamano tza, hakuna sababu yeyote ya msingi kuendelea kumshiklia lema gerezani, ni ubabe na ina hasara zaidi ya faida kwa mustakabadhi wa amani na mshikamano wa watz wote bila kujali vyama. kusema jambo lolote hata kama sio zuri dhidi ya mkuu wa nchi, ni kosa la kawaida, kwasababu rais sio Mungu, na hatakiwi kuabudiwa. katika democrasia wakati mwingine hata kama alichofanya ni kibaya machoni pa Mungu (alichofanya lema), kibinadamu unaacha tu tuvumiliane kama Mungu anavyotuvumilia ili watu wasikae na vinyongo moyoni, na zaid sana isionekana aliyetukatwa ana onekana kama vile anaabudiwa. ni mtu tu huyo. angekuwa marekani si angeshafunga watu nchi nzima? hata trump angekuwa gerezani leo.
Ipo siku amuabudue Mungu wa Kweli atajulikana.
 
Nchi yangu Tanzania! Waliokamatwa na mabunduki 17 kwa uwindaji haramu wa tembo (uhujumu uchumi) wamepata damana ndani ya siku 3 alieota na kusema ameota nini ananyimwa damana!!!......kisa? Kumpendezesha aliewateua!! Katiba katiba katiba......! Ikulu ni mahala patakatifu..msipigane ndani ya ikulu ni mwiko na laana........
Inabidi akitoka na yeye abadilike, achunge kauli kuhusu Rais, usalama wake na Taifa kwa ujumla, mbona Sugu hayuko hivyo. Abadilike sio zama za JK
 
Hebu andika hilo tusi alilotukana.
Ni mjinga pekee anayeshangilia [HASHTAG]#lema[/HASHTAG] kuwekwa gerezani kisa ndoto badala ya kujiuliza aliyekamatwa na bunduki 17zinazotumika kihalifu yupo mtaani anakula bata ndo ujue ccm ni zaidi ya ujinga
 
kwaajili ya ustawi wa amani na mshikamano tza, hakuna sababu yeyote ya msingi kuendelea kumshiklia lema gerezani, ni ubabe na ina hasara zaidi ya faida kwa mustakabadhi wa amani na mshikamano wa watz wote bila kujali vyama. kusema jambo lolote hata kama sio zuri dhidi ya mkuu wa nchi, ni kosa la kawaida, kwasababu rais sio Mungu, na hatakiwi kuabudiwa. katika democrasia wakati mwingine hata kama alichofanya ni kibaya machoni pa Mungu (alichofanya lema), kibinadamu unaacha tu tuvumiliane kama Mungu anavyotuvumilia ili watu wasikae na vinyongo moyoni, na zaid sana isionekana aliyetukatwa ana onekana kama vile anaabudiwa. ni mtu tu huyo. angekuwa marekani si angeshafunga watu nchi nzima? hata trump angekuwa gerezani leo.
Ndoto zake kufariki Rais akiwa madarakani ndio zinamponza, ni jambo kubwa na hatari sana. Anatakiwa ajifunze sasa
 
Nchi yangu Tanzania! Waliokamatwa na mabunduki 17 kwa uwindaji haramu wa tembo (uhujumu uchumi) wamepata damana ndani ya siku 3 alieota na kusema ameota nini ananyimwa damana!!!......kisa? Kumpendezesha aliewateua!! Katiba katiba katiba......! Ikulu ni mahala patakatifu..msipigane ndani ya ikulu ni mwiko na laana........
Ikulu inaingiaje hapo. Lema yupo maabusu tena arusha ikulu ipo dar. Kuna uhusiano gani hapo
 
Ni mjinga pekee anayeshangilia [HASHTAG]#lema[/HASHTAG] kuwekwa gerezani kisa ndoto badala ya kujiuliza aliyekamatwa na bunduki 17zinazotumika kihalifu yupo mtaani anakula bata ndo ujue ccm ni zaidi ya ujinga
Wewe mwenye akili nikuulize Maswali
1. Wewe una ushahidi kuwa hizo bunduki zilitumika kihalifu? Lema tumemsikia wote
2. Una uhakika upi kama aliyosema Lema ni maono kutoka kwa Mungu?
Yametoka wapi. Unafikiri kutamka kuwa Rais atakufa akiwa Madarakani ni jambo jepesi sio? Na asipojierekebisha mtasikia wenyewe
 
Pole lema , tupo pamoja mkuu Hata wakuweke huko mpaka 2020 wewe ni mbunge wa milele arusha
 
Wrong people are in jail and the wrong
people are out of jail.
 
Lema ana akili sana kuliko wanavyo mdhania. Hakika hii barua mtakuja kushangaa baadae ni moja ya mambo yatakayo tumika kutambulisha harakati za Lema maishani mwake. Hata wakina Mandela barua zao wakiwa jela zimewaongezea umaarufu sana kwenye maisha yao ingawa ni za kawaida tuu.
Kuna tofauti kati ya barua iliyo andikwa na mtu akiwa hospitalini na yule aliyeko jela kwa sababu za kisiasa
 
Haya wazee wa Oparesheni kata funua wenzie wanakata na kufunua Bata kule ng'ambo na mwendo wa kuselfika mbele ya mijengo ya watu na kwny super market za ng'ambo ww endelea kutuandkia barua za kukata na kufunua maono....
 
Back
Top Bottom