zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,101
- 28,785
Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!!
Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo barua. Vile vile Salim bimanii anayesemakana kuandaa barua hiyo nayo hajaiweka popote kama press release.
Leo kada wao maarufu Petro ndolezi amekanusha kwamba barua hiyo sio ya ACT.
Nachojiuliza inakuaje Jamiiforums waache uzushi utamalaki ilihali Wana platform ya jamii check!! Huu uzembe unazidi kuonyesha weakness za media zetu kwenye kutoa habari za kuaminika.