Chabruma ni Makonda. Lakini katika wanaokuombea mimi nisiwe mnafiki ninaomba uzidiwe japo najua maombi yangu hayatasikilizwa na Mungu. Sababu ni moja tu wakati wewe unatibiwa tezidume USA na ujumbe mzito kitu ambacho kingefanyika pale mhimbili au hata Temeke hosp sisi tunakufa kwa kukosa panadol. Nakuombea uzidiwe kwa sababu wewe ndiye uliasisi IPTL ukiwa waziri wa nishati na ndie unailinda mpaka leo. Wewe ndie chanzo cha matatizo yote kwakuendekeza urafiki na kutowajibika kwa watendaji. Wewe ni chanzo maana umeteua wezi wenzako ili msaidiane kulitafuna taifa mwisho wa siku mkaishi pepo ya duniani wakati mimi na wenzangu tunaogelea kwenye shida. Nina grievance nyingi sana kukuhusu ila niishie hapa kwa leo. I real hate you Mr Presida