Barua Kwa Jakaya Kikwete

Barua Kwa Jakaya Kikwete

Ocampo umetisha sana
Mara zote ocampo akija anakuja na vitu adimu........kwa kweli natamani sana kumjua huyu jamaa ni nani?........ Baba while you are away mauhaji makubwa yametokea kiteto
 
Tatizo katika barua hii umechanganya na utumbo . Watanzania siyo wajinga ukiwaambia eti Makonda alimpiga mzee Warioba wakati picha n'a Yeye mwenyewe hajasema Kama kapigwa. Mtu akigawa pesa zake kuna ubaya gani. Mbona wewe ukigawia michwpuko yako husemi.
 
Tatizo katika barua hii umechanganya na utumbo . Watanzania siyo wajinga ukiwaambia eti Makonda alimpiga mzee Warioba wakati picha n'a Yeye mwenyewe hajasema Kama kapigwa. Mtu akigawa pesa zake kuna ubaya gani. Mbona wewe ukigawia michwpuko yako husemi.
Unaongea kama mke wa Ayubu ambaye alimwambia kuwa unaongea kama mwanamke mpumbavu, hizo fedha anazogawa Rugemalila siyo za umma au umejitoa akili........unabisha Makonda hakumpiga Warioba wakati Warioba na Butiku wanasema wazi wazi kuhusu hilo.......
 
Baba, Pinda Must Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Baba, Werema Must Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Baba, Maswi Must GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Baba, Muhongo Must Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Baba, Membe Must Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Baba, Ndulu Must Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Baba, Likwalile Must Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Baba, Tibaijuka Must Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Baba, Regemalila Must Go in jail.............................................................................
Baba, Joseph Makandege Must Gooo in Jail.................................................................
 
Kumbe Aunt Ezekiel ndiyo ileeeeee tayari kitu.....mtoto ataitwa Lion (jina la mnyama) manake baba yake sii ni waziri wa maliasili basi lazima tumpe jina la kimaliasili....

Tumwite mtoto Tarangire au Selous ambako kuna Tembo wengi kwavile mshua anapiga dili za uPocha hadi Leo
 
Leo Ocampo four naomba nikuandikie barua Baba yetu Jakaya Mrisho Kikwete.......Kwanza kabisa pole sana na ugua pole.......Baba yetu Kikwete, naomba nikupe taarifa/ripoti katika kipindi hiki unapoendelea na matibabu

Baba While you are away, serikali yako inaelekea kuanguka

Baba while you are away, mzimu wa ESCROW umeibuka

Baba while you are away, waziri mkuu wako kafumbia macho swala la ESCROW

Baba while you are away, Waziri mkuu wako kazomewa na wabunge wote

Baba while you are away, waziri mkuu wako kaungana na mahakama kunyima uhuru bunge letu tukufu

Baba while you are away, Rugamalila anagawa fedha kama njugu

Baba while you are away, Diallo kapewa fedha za ESCROW na kununua helcopter kwa ajili ya kumpigia Membe kampeni

Baba while you are away, tender ya kuingiza sukari PM kampa Janeth Masaburi bila kufata utaratibu

Baba huyo Janeth ndiyo mke wa kampeni meneja wa Pinda, bwana Didas Masaburi

Baba while you are away, Makonda alimpiga mzee Warioba na juzi juzi tena alimpiga mjumbe wa UVCCM Dodoma

Baba while you are away, fedha ambazo alipewa waziri wako kutoka Libya zimeanza kumtokea puani

Baba while you are away Werema, Maswi, Muhongo, Membe, Ndulu na Tibaijuka hutawakuta madarakani

Baba while you are away, fedha za ESCROW zilimwagwa Maisha Club na vibaraka wa PM e.g Mbogo, Hapi na Sara Msafiri

Baba while you are away, baraza la UVCCM lilimkataa Pinda kuwa Naibu Kamanda

Baba while you are away, kuna watu wameacha biashara ya nyuki na kuingia katika kupiga dili za mjini

Baba while you are away, waziri wako kapokea billion moja kutoka kwa rafiki, ni bahati ilioje baba

Baba while you are away, magazeti ya ulaya wamegundua ya kwamba makazi ya wamasai limeuzwa kwa mwarabu na mhusika mkubwa ni waziri wako wa Maliasili bwana Nyalandu

Baba while you are away, imegundulika tena waziri wako Membe ndiye anayetoa siri za baraza la mawaziri, na ndiye aliyekuwa anatoa siri na kuwapa wapinzani, je uaminivu wa kiapo chake kiko wapi?

Baba while you are away, yule msanii aliyeenda Marekani na waziri wako imegundulika ana ujauzito wa miezi 2

Baba while you are away, wahisani inasemekana wametishia kukata misaada

Na mwisho.................................
Baba while you were away TWAWEZA wametoa utafiti uliowapa matumaini makubwa wananchi

Mwisho kabisa, Baba nikupe taarifa tu kwamba watanzania wote tuko na wewe katika maombi ili uweze kupona haraka baba na kurudi nchini.......

Asante Baba kwa kunisikiliza
Ocampo four....
UMEJITAHIDI Yote hayo jk anajua mwanzo, mwisho! Aksante kwa kumkumbusha!
 
Tafadhalini sana msiweke picha ya Wassira humu, wengine tunaandika huku watoto wako pembeni, they wont sleep tonight
Wasira masaa 24 yuko JF........moyoni najua anafurahia hili swala la ESCROW
 
Tatizo katika barua hii umechanganya na utumbo . Watanzania siyo wajinga ukiwaambia eti Makonda alimpiga mzee Warioba wakati picha n'a Yeye mwenyewe hajasema Kama kapigwa. Mtu akigawa pesa zake kuna ubaya gani. Mbona wewe ukigawia michwpuko yako husemi.

usijitoe ufahamu, mwambie Rugemalila aonyeshe kiasi cha capital gain tax aliyolipa TRA badala ya kulipa kodi kagawa kwa marafiki na maaskofu.
 
usijitoe ufahamu, mwambie Rugemalila aonyeshe kiasi cha capital gain tax aliyolipa TRA badala ya kulipa kodi kagawa kwa marafiki na maaskofu.
Mkuu hao wakina SAIZI YANGU ndiyo watakuwa wamelamba fedha za ESCROW, umemuuliza maswali ya msingi sana sana.....na bila shaka ni ID ya Rugemalila
 
twende mapumziko sasa

Baba while you were away manywele intensively used the money he acquired from Richmonduli to bride TWAWEZA so that he can apparently appear to be leading the 2015 race for presidential aspirants in CCM
 
10382456_10202140199666826_6298921930817343271_n.jpg
 
Back
Top Bottom