Barua Kwa Jakaya Kikwete

Barua Kwa Jakaya Kikwete

Lakini kweli SAIZI YANGU kasema ukweli. Barua ni nzuri ila kwakua mlengwa wa barua hii anajua facts nyingi atakushangaa. Issue ya serikali kuanguka nadhani hujui maana yake na mlengwa atqkushangaa. Issue ya Makonda hakuna asiejua kuwa ilikuwa ni uzushi. Na masuala m engine mengi tu yamekaa kikipasho zaidi.
 
Kweli na huwa hajibu wala kuchukua hatua kwa masuala ya mipasho. QUOTE=WAPOMA;11196002]UMEJITAHIDI Yote hayo jk anajua mwanzo, mwisho! Aksante kwa kumkumbusha![/QUOTE]
 
Nyalandu hafai katika taifa hili, hana maadili kabisa.......na ile issue yake ya Charles Dunken hivi ni kweli? anatoa 07133333

Ktk cabinet ya jk wapo wa3 wanaotoa 0713
 
Lakini kweli SAIZI YANGU kasema ukweli. Barua ni nzuri ila kwakua mlengwa wa barua hii anajua facts nyingi atakushangaa. Issue ya serikali kuanguka nadhani hujui maana yake na mlengwa atqkushangaa. Issue ya Makonda hakuna asiejua kuwa ilikuwa ni uzushi. Na masuala m engine mengi tu yamekaa kikipasho zaidi.
Issue ya Makonda ni kweli wakuu, yeye ndiyo alimpiga Warioba na hata Warioba anasema hilo.....acheni upotoshaji wakati ukweli ndio huo alihusika kumpiga
 
Lakini kweli SAIZI YANGU kasema ukweli. Barua ni nzuri ila kwakua mlengwa wa barua hii anajua facts nyingi atakushangaa. Issue ya serikali kuanguka nadhani hujui maana yake na mlengwa atqkushangaa. Issue ya Makonda hakuna asiejua kuwa ilikuwa ni uzushi. Na masuala m engine mengi tu yamekaa kikipasho zaidi.

La! Mkuu nilipoona tu ID yako nikakumbuka M23!
 
Pinda Bring Back Our Moneyyyyyyyyyyy........Pinda Must Gooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Leo Ocampo four naomba nikuandikie barua Baba yetu Jakaya Mrisho Kikwete.......Kwanza kabisa pole sana na ugua pole.......Baba yetu Kikwete, naomba nikupe taarifa/ripoti katika kipindi hiki unapoendelea na matibabu

Baba While you are away, serikali yako inaelekea kuanguka

Baba while you are away, mzimu wa ESCROW umeibuka

Baba while you are away, waziri mkuu wako kafumbia macho swala la ESCROW

Baba while you are away, Waziri mkuu wako kazomewa na wabunge wote

Baba while you are away, waziri mkuu wako kaungana na mahakama kunyima uhuru bunge letu tukufu

Baba while you are away, Rugamalila anagawa fedha kama njugu

Baba while you are away, Diallo kapewa fedha za ESCROW na kununua helcopter kwa ajili ya kumpigia Membe kampeni

Baba while you are away, tender ya kuingiza sukari PM kampa Janeth Masaburi bila kufata utaratibu

Baba huyo Janeth ndiyo mke wa kampeni meneja wa Pinda, bwana Didas Masaburi

Baba while you are away, Makonda alimpiga mzee Warioba na juzi juzi tena alimpiga mjumbe wa UVCCM Dodoma

Baba while you are away, fedha ambazo alipewa waziri wako kutoka Libya zimeanza kumtokea puani

Baba while you are away Werema, Maswi, Muhongo, Membe, Ndulu na Tibaijuka hutawakuta madarakani

Baba while you are away, fedha za ESCROW zilimwagwa Maisha Club na vibaraka wa PM e.g Mbogo, Hapi na Sara Msafiri

Baba while you are away, baraza la UVCCM lilimkataa Pinda kuwa Naibu Kamanda

Baba while you are away, kuna watu wameacha biashara ya nyuki na kuingia katika kupiga dili za mjini

Baba while you are away, waziri wako kapokea billion moja kutoka kwa rafiki, ni bahati ilioje baba

Baba while you are away, magazeti ya ulaya wamegundua ya kwamba makazi ya wamasai limeuzwa kwa mwarabu na mhusika mkubwa ni waziri wako wa Maliasili bwana Nyalandu

Baba while you are away, imegundulika tena waziri wako Membe ndiye anayetoa siri za baraza la mawaziri, na ndiye aliyekuwa anatoa siri na kuwapa wapinzani, je uaminivu wa kiapo chake kiko wapi?

Baba while you are away, yule msanii aliyeenda Marekani na waziri wako imegundulika ana ujauzito wa miezi 2

Baba while you are away, wahisani inasemekana wametishia kukata misaada

Na mwisho.................................
Baba while you were away TWAWEZA wametoa utafiti uliowapa matumaini makubwa wananchi

Mwisho kabisa, Baba nikupe taarifa tu kwamba watanzania wote tuko na wewe katika maombi ili uweze kupona haraka baba na kurudi nchini.......

Asante Baba kwa kunisikiliza
Ocampo four....
Kwa kweli leo bwana Ocampo umenifuraisha sana sana, hapa nilipo hotel ya Kebbys napiga bia ya nne kwa furaha uliyonipa mkuu
 
Baba while you were away manywele intensively used the money he acquired from Richmonduli to bride TWAWEZA so that he can apparently appear to be leading the 2015 race for presidential aspirants in CCM

Manywele? Usituchafulie pls
 
RUGEMALILA huyu ndio yule boss wa redio mbao mawingu???
 
Baba while you were away manywele intensively used the money he acquired from Richmonduli to bride TWAWEZA so that he can apparently appear to be leading the 2015 race for presidential aspirants in CCM

Baba this is a lie the survey reflected the opinion of the kind of leader they will vote for in 2015.
 
Back
Top Bottom