OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
- Thread starter
- #101
Mkulu kafuraia ofa hiyo kichizi....Hivi si nimesikia rais Obama katoa vibali kwa wote walioko Marekani na wangependa kubakia huko, inawahusu wote au!?
Mkulu kafuraia ofa hiyo kichizi....Hivi si nimesikia rais Obama katoa vibali kwa wote walioko Marekani na wangependa kubakia huko, inawahusu wote au!?
teheeeeeeee, mi napita tuuuuuuu jamaniHii barua akiiona profesa lazima ajitoneshe wallah!!
Mkuu Mbukwini hizo midoli unamaanisha nini?:sad::A S-rap:
Huyo Baba hawezi kutafakari hata kidogo......anavyopenda kula maisha baba hawezi kujitafakari mkuuBaba while you away tumia wakati huu kutafakari juu ya mwenendo wako