Barua Kwa Jakaya Kikwete

Barua Kwa Jakaya Kikwete

Leo Ocampo four naomba nikuandikie barua Baba yetu Jakaya Mrisho Kikwete.......Kwanza kabisa pole sana na ugua pole.......Baba yetu Kikwete, naomba nikupe taarifa/ripoti katika kipindi hiki unapoendelea na matibabu

Baba While you are away, serikali yako inaelekea kuanguka

Baba while you are away, mzimu wa ESCROW umeibuka

Baba while you are away, waziri mkuu wako kafumbia macho swala la ESCROW

Baba while you are away, Waziri mkuu wako kazomewa na wabunge wote

Baba while you are away, waziri mkuu wako kaungana na mahakama kunyima uhuru bunge letu tukufu

Baba while you are away, Rugamalila anagawa fedha kama njugu

Baba while you are away, Diallo kapewa fedha za ESCROW na kununua helcopter kwa ajili ya kumpigia Membe kampeni

Baba while you are away, tender ya kuingiza sukari PM kampa Janeth Masaburi bila kufata utaratibu

Baba huyo Janeth ndiyo mke wa kampeni meneja wa Pinda, bwana Didas Masaburi

Baba while you are away, Makonda alimpiga mzee Warioba na juzi juzi tena alimpiga mjumbe wa UVCCM Dodoma

Baba while you are away, fedha ambazo alipewa waziri wako kutoka Libya zimeanza kumtokea puani

Baba while you are away Werema, Maswi, Muhongo, Membe, Ndulu na Tibaijuka hutawakuta madarakani

Baba while you are away, fedha za ESCROW zilimwagwa Maisha Club na vibaraka wa PM e.g Mbogo, Hapi na Sara Msafiri

Baba while you are away, baraza la UVCCM lilimkataa Pinda kuwa Naibu Kamanda

Baba while you are away, kuna watu wameacha biashara ya nyuki na kuingia katika kupiga dili za mjini

Baba while you are away, waziri wako kapokea billion moja kutoka kwa rafiki, ni bahati ilioje baba

Baba while you are away, magazeti ya ulaya wamegundua ya kwamba makazi ya wamasai limeuzwa kwa mwarabu na mhusika mkubwa ni waziri wako wa Maliasili bwana Nyalandu

Baba while you are away, imegundulika tena waziri wako Membe ndiye anayetoa siri za baraza la mawaziri, na ndiye aliyekuwa anatoa siri na kuwapa wapinzani, je uaminivu wa kiapo chake kiko wapi?

Baba while you are away, yule msanii aliyeenda Marekani na waziri wako imegundulika ana ujauzito wa miezi 2

Baba while you are away, wahisani inasemekana wametishia kukata misaada

Na mwisho.................................
Baba while you were away TWAWEZA wametoa utafiti uliowapa matumaini makubwa wananchi

Mwisho kabisa, Baba nikupe taarifa tu kwamba watanzania wote tuko na wewe katika maombi ili uweze kupona haraka baba na kurudi nchini.......

Asante Baba kwa kunisikiliza
Ocampo four....
Ocampo four you must be a brilliant person the msg is simple but well delivered. In fact how did you know that some guys are incapable of keeping confidential issues of cabinet meetings. This piece work reflects the kind of a unique brain in this forum.
 
Ocampo four you must be a brilliant person the msg is simple but well delivered. In fact how did you know that some guys are incapable of keeping confidential issues of cabinet meetings. This piece work reflects the kind of a unique brain in this forum.

Hata mimi mkuu among the people ninaowakubali humu ndani, ocampo is one of them....ana stlye yake ya uandishi ambayo ni unique kabisa....
 
Hii barua imeshazagaa whatsaap tayari. Big up Ocampo four.
 
Baba while you are away, Maaskofu wako wamelamba fedha za ESCROW
 
Ocampo four you must be a brilliant person the msg is simple but well delivered. In fact how did you know that some guys are incapable of keeping confidential issues of cabinet meetings. This piece work reflects the kind of a unique brain in this forum.

Ocampo four, always is great....huyu jamaa naweza kusema ni mkali wa propoganda strategy......na mimi naomba nipige moja; Baba while you are away wamefanya jaribio la kumuuwa Mkono
 
Mkuu unamchokoza Ocampo. Je,vipi kuhusu Chabruma na Mohamed Mwaupete huwaga na akili lini?
Chabruma hana akili, alikuwa anavizia magari yanaoingia kwa Mwangonda ndiyo anakuja kuripoti hapa, the man is not creative hata kidogo......
 
Tatizo katika barua hii umechanganya na utumbo . Watanzania siyo wajinga ukiwaambia eti Makonda alimpiga mzee Warioba wakati picha n'a Yeye mwenyewe hajasema Kama kapigwa. Mtu akigawa pesa zake kuna ubaya gani. Mbona wewe ukigawia michwpuko yako husemi.

Wewe jifanye mpambe tu, utakimbia nchi
 
Mkuu huyo jamaa anayejiita SAIZI YANGU hana lolote, ni kibaraka mkubwa Rizone....Na Rizone ndiyo anamuweka hapa mjini....
Vijana wote wa Riz one wamekimbilia kwa Pinda, saizi kabaki na Cyprian Msiba na Kasesela.....bila shaka huyo atakuwa kasesela
 
Back
Top Bottom