barua kwa @farkhina na wana chit-chat wote.

mtz one

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
4,272
1,210
ndugu mwenyekiti wa jukwaa hili ndugu Arushaone naomba kupitia kwako na wajumbe wote kutamka kwamba nampenda sana sana madam farkhina mpaka nakosa raha katika maisha yangu haya ya taabu.

dear farkhina salaam nyingi zikufikie hapo ulipo dhumuni la barua hii ni kukuambia kwamba i love you nakupenda sana sana naomba uwe wangu wa maisha katika taabu na raha sio siri sura yako tabia zako na mwenendo wako humu jamvini vimenivutia sana
lengo la barua hii ndefu ni kukwambia moyo wangu umekuangukia kama embe dodo la uwanjani kwetu ambalo huanguka kwa kishindo kiasi cha kuishtua wote wa mtaani kwetu.


farkhina i love you so much naomba tuwe wote maishani itikia wito wangu unitoe kwenye lindi hili la upweke.

samahani kwa kuwapotezea muda ila matesso nipatayo kwa kumuwaza huyu kiumbe mzuri kama mawanda ya saudari yanifanya kuwachukulia muda wenu kwa kuwaandikia BARUA NDEFU KAMA HII

,,,Aione: Arusha one,,,,,, Erickb52 ... farkhina
 
Last edited by a moderator:
farkhina nshakukataza kuzoeana na vijana wa kijiweni... nikikukuta tena unamsikiliza huyu anajiita mwungwana nawacharaza wote kwanza. kama anakupenda kweli aje tumfahamu sio porojo porojo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom