Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

tutoe pongezi kwa awamu hii kuweza kupambana kulinda maslai ya watanzania.kusema kweli ule mziki wa makinikia kama mtu legelege lazima uteme biskuti ila Jpm alikomaa sana.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Upinzani gani huu.. wakati wewe na wenzako munafaidika na haya.. kwa kweli ile futi sita kamwe hamutoki.. [emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]

2020 kama kawa JPM [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Ah cocochanel mshepu
Kwemaaaa

Ova
 
Wewe umeandika kivipi!!!!
Hongera kwa kutoka Chadrama.. sasa ukuje [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169].. [emoji28][emoji28][emoji28] pole bora umejitambua..

Ni raha tupu..
Usibishane na hawa watoto wa sugu aliozaa na wasanii wa maigizo huwa hawana malezi bora
 
Ya buku 7 tena!!!.. kama unazikula wewe mbona hausemi?..[emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi mwananchi.. ukweli tu kwa kwenda mbele.. sipo muongo kama ninyi.. watungaji kila kukicha

N.b. usisahau kuacha uvivu
CCM haiuziki tena watanzania tumeichoka mmebaki kulazimisha nyie wachache mnaokula keki ya Taifa.
 
Raha sana kusoma habari hizi nzuri za nchini hapa.. yaani raha sana kuwa mwananchi wa nchi hii Tanzania yetu[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172].. furaha tupu kwa kweli..

JPM 2020[emoji817]
Mimi nalia na mshepu wako tu
Mambo ya uchaguzi siasa sipo
Nambie kwema bibie

Ova
 
Mlisema mnashinda saa 12asubuhi leo mnageuka tena
Tunajua mnategemea tume ya uchaguzi iwabebe lakini safari hii kitaeleweka.mwisho wa wizi wa kura ni mwaka huu.
 
Malipo ya msokoto wa bangi hapo arusha kwa lema yanakutoa akili
CCM haiuziki tena watanzania tumeichoka mmebaki kulazimisha nyie wachache mnaokula keki ya Taifa.
 
Teh teh jf mtifuano tu
Endeeleni kutoana meno humu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Kaa chini na andika vizuri kama kweli una lengo la kuhabarisha watu humu... Sio unakurupuka tu kishabiki una copy vitu huko unakuja kupest huku! Ballick ndio nini? Hakuna kampuni Tanzania inaitwa Ballick wala Barick...
.....Aliko copy ni wajinga tu na kama umeandika wewe mwenyewe basi sina shaka pia sabu unajulikana ni mamluki wa Lumumba akili zenu zinafanana...
Akili zako zipo chooni pesa ilipwe serkali wewe ulete ujinga
 
Kwa hili, ushindi wake unaongezeka mara dufu, tafiti zinaonyesha JPM kushinda Kwa 82%

Kwa hili la gawio, litamfanya JPM awe na ushindi wa 92%

Pengine Lisu atapinga!!!😂
 
Wanaogopa nguvu ya wananchi kwa sasa wamejua uongo wao
Ya buku 7 tena!!!.. kama unazikula wewe mbona hausemi?..[emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi mwananchi.. ukweli tu kwa kwenda mbele.. sipo muongo kama ninyi.. watungaji kila kukicha

N.b. usisahau kuacha uvivu
 
Mlisema mnashinda saa 12asubuhi leo mnageuka tena
Tunageuka nini? Dunia nzima inajua CCM inabebwa na tume ya uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi ambao ni makada wa ccm.au hulijui hilo?
 
Barick Gold Mining kumkabidhi rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serkali jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serkali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii


USSR
Hapo tunapata Noah ngapi mkuu
 
Ujinga mtupu!Mmesaini nao mikataba ya siri kinyume na sheria mliotunga wenyewe, alafu mnatulaghai na hiyo hela mbuzi!
Hatuwezi kuruhusu madini yetu muweke dhamana,
Labda mjiweke ninyi.wenyewe
 
Back
Top Bottom