cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,949
- 79,064
Kuna habari nzuri tu chini jpm habari za kututia moyo wa uzalendo
Sana sanaaa
Kwa kweli raha tupuuuuuu
Kuna habari nzuri tu chini jpm habari za kututia moyo wa uzalendo
Mamako atakwenda kutibiwa hapo zahanati baada ya serkali kutumia pesa hizi kujengea
Mabeberu wanawasaidia majike...
Sawa binti tumekusikiaBarick Gold Mining kumkabidhi rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serkali jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania
Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serkali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali
Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .
Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii
USSR
Barick Gold Mining kumkabidhi rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serkali jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania
Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serkali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali
Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .
Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii
USSR
Ah cocochanel mshepu
Kwemaaaa
Ova
Majike yanayoondoka huko kwenu kwenye ubunge sio 😅😅😅
Ila ruzuku nazo mbona hamumudai mkuu wenu.. nasikia mabeberu nao wanachoka kuombwa ombwa.. huku hamna jipya la kubutia.. bado mupo kwa futi sita tu..
Mwaka huu.. shaaaaaa.. hizi kwenu nyingi tu💉💉💉💉
CCM haiuziki tena watanzania tumeichoka mmebaki kulazimisha nyie wachache mnaokula keki ya Taifa.
Wataandika hundi bandia waoneshe kwenye maTV halafu ndo inakuwa imetoka hiyo. Wanatu-beep hawa ccm, tarehe 28/10/2020 tutawapigia.Haya mambo ni ya kilaghai.....ujanja ujanja tu
Mamako pia. Au mamako anakwenda kwa miti shamba na kujifukizia? Pesa zetu Watanzania. Siyo za Magufuli hizo. Usitufanye sisi sote wajinga. Tupo Watanzania wenye akili zetu. Ni wajibu wa serikali kujenga hospitali. Ndiyo ilivyo duniani kote - Marekani, Kenya, Malawi, Zambia.. you name it. Magufuli is doing nobody a favour. Kamwambie hivyo. Hata Rungwe akiingia Ikulu atakusanya kodi na kujenga miundombinu pia. Fullstop. Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete walifanya pia. Usimsujudie mwanadamu hata akijiita malaika. He is just a sinful human being.
Muulize mama yakoBallick ndo nn