Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

Barick Gold Mining kumkabidhi rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serkali jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serkali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii

USSR
Mkuu,
Pesa hii ipo kwenye jumuisho la Noah zetu??

Kama ni ndio basi nitafurahi Sana.. Nangojea Noah yangu kwa hamu
 
Watajuta mwaka huu
Ha ha haaaaaaaa.. pale munaona utalio wenu unakaribia kuisha.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
Kwani ruzuku zile munakula.. ninyi mnatengeneza mapesa!!!.. pole huna la jipya.. leta lingine..
 
Asante Rais Magufuli kwa kwa kututetea Watanzania tunafaidi raslimali zetu

Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu waendelee kutuibia rasmali zetu
Mkuu,

Kwahyo Noah zetu vp?????
 
Raha sana kusoma habari hizi nzuri za nchini hapa.. yaani raha sana kuwa mwananchi wa nchi hii Tanzania yetu💚💛💚💛💚.. furaha tupu kwa kweli..

JPM 2020💯
 
Barick Gold Mining kumkabidhi rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serkali jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serkali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii

USSR
Hizo si pesa kutoka kwazMabeberu! Naona CCM mumegeuga mbuzi joke sas
 
Swali lenye akili unajibu kiccm nyie magamba vipi?

Wewe umeandika kivipi!!!!
Hongera kwa kutoka Chadrama.. sasa ukuje 💛💚💛💚💛.. 😅😅😅 pole bora umejitambua..

Ni raha tupu..
 
Bila shaka hizo ni pesa za Watanzania akiwemo Lissu, mimi na wewe.
Barick Gold Mining kumkabidhi rais magufuli tsh100billion kama gawio kwa serkali jumanne 13/10/2020 .mbele ya wanahabari na watanzania

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu aalipinga hili sasa serkali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speeds kali

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanachadema,mwanacuf,ACT wananufaika kwa kazi nzuri za jpm na ccm yake .

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii

USSR
 
Wewe umeandika kivipi!!!!
Hongera kwa kutoka Chadrama.. sasa ukuje [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169].. [emoji28][emoji28][emoji28] pole bora umejitambua..

Ni raha tupu..
Malipo ya buku 7 kwasiku hapo lumumba yanawafanya mazuzu.
 
Raha sana kusoma habari hizi nzuri za nchini hapa.. yaani raha sana kuwa mwananchi wa nchi hii Tanzania yetu[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172].. furaha tupu kwa kweli..

JPM 2020[emoji817]
Kuna habari nzuri tu chini jpm habari za kututia moyo wa uzalendo
 
Uwe unasoma vizuri billion 100 babako anazo
Kaa chini na andika vizuri kama kweli una lengo la kuhabarisha watu humu... Sio unakurupuka tu kishabiki una copy vitu huko unakuja kupest huku! Ballick ndio nini? Hakuna kampuni Tanzania inaitwa Ballick wala Barick...
.....Uliko copy ni wajinga tu na kama umeandika wewe mwenyewe basi sina shaka pia sabu unajulikana ni mamluki wa Lumumba akili zenu zinafanana...
 
Malipo ya buku 7 kwasiku hapo lumumba yanawafanya mazuzu.

Ya buku 7 tena!!!.. kama unazikula wewe mbona hausemi?..😅😅😅
Mimi mwananchi.. ukweli tu kwa kwenda mbele.. sipo muongo kama ninyi.. watungaji kila kukicha

N.b. usisahau kuacha uvivu
 
Back
Top Bottom