Leo kila Mtanzania anayejua tulikotoka na tunakotaka kwenda, anajua, mikataba 9 ya utekelezaji iliyosainiwa leo, ina maana gani kwa nchi hii.
Sasa kwa kifupi, wale wazee wa MIGA, povu ruksa, akina Shangazi ambao walikuwa na mikataba na Acacia ya kupiga hela, Acacia kazikwa, leo povu ruksa.
Akina machunusi waliokuwa wanapiga hela na Acacia na Barrick ya zamani, povu ruksa na kwa wote watakaoumia na hili povu ruksa.
Kwa wapenda amani na maendeleo furahini, kuleni bata. Sawa???
Sent from my iPhone using JamiiForums