Barrick deal: Tusubiri povu sasa

blix22

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
213
645
Leo kila Mtanzania anayejua tulikotoka na tunakotaka kwenda, anajua, mikataba 9 ya utekelezaji iliyosainiwa leo, ina maana gani kwa nchi hii.

Sasa kwa kifupi, wale wazee wa MIGA, povu ruksa, akina Shangazi ambao walikuwa na mikataba na Acacia ya kupiga hela, Acacia kazikwa, leo povu ruksa.

Akina machunusi waliokuwa wanapiga hela na Acacia na Barrick ya zamani, povu ruksa na kwa wote watakaoumia na hili povu ruksa.

Kwa wapenda amani na maendeleo furahini, kuleni bata. Sawa???

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mleta mada kua makini dada yako asiachike pia mheshimu mchimbua shimo la hyo ndugu yako!

Kiufupi ata ukiambiwa utaje kilichosainiwa huwezi yaan umefika tu seblen umekutana na remote kuwasha ukakutana na kitu cha starswahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo kila Mtanzania anayejua tulikotoka na tunakotaka kwenda, anajua, mikataba 9 ya utekelezaji iliyosainiwa leo, ina maana gani kwa nchi hii.

Sasa kwa kifupi, wale wazee wa MIGA, povu ruksa, akina Shangazi ambao walikuwa na mikataba na Acacia ya kupiga hela, Acacia kazikwa, leo povu ruksa.

Akina machunusi waliokuwa wanapiga hela na Acacia na Barrick ya zamani, povu ruksa na kwa wote watakaoumia na hili povu ruksa.

Kwa wapenda amani na maendeleo furahini, kuleni bata. Sawa???

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wengine kufanya vitu vingi kwa wakati moja hatuwezi

Tunauliza waziri anaweza kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya rais na kusaini mkataba wa zaidi ya trilioni 1 ya Tanzania?
 
Leo kila Mtanzania anayejua tulikotoka na tunakotaka kwenda, anajua, mikataba 9 ya utekelezaji iliyosainiwa leo, ina maana gani kwa nchi hii.

Sasa kwa kifupi, wale wazee wa MIGA, povu ruksa, akina Shangazi ambao walikuwa na mikataba na Acacia ya kupiga hela, Acacia kazikwa, leo povu ruksa.

Akina machunusi waliokuwa wanapiga hela na Acacia na Barrick ya zamani, povu ruksa na kwa wote watakaoumia na hili povu ruksa.

Kwa wapenda amani na maendeleo furahini, kuleni bata. Sawa???

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu hebu tuwekee hapa makubaliano yalisainiwa hapa.

dodge
 
Mkuu, mambo 'ndivyo sivyo'.
Niliamini wanasiasa na wanasheria waliobashiri kuwa Acacia wataishitaki TZ kwa kukiuka mikataba na kuzuia makinikia. Wengine wakatoa ushauri, Acacia waruhusiwe kuchukua makinikia kwakuwa TZ hatuna uwezo wa kuyachenjua.
Wahenga walisema, kwenye ukweli uongo hujitenga. WaTZ yetu macho, tutakutana kwenye sanduku la kura

Watakuja na tenzi mpya za kutaka kuonesha nao waliwahi kuyataka haya #MagufuliChaguoLetu #T2020JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, mambo 'ndivyo sivyo'.
Niliamini wanasiasa na wanasheria waliobashiri kuwa Acacia wataishitaki TZ kwa kukiuka mikataba na kuzuia makinikia. Wengine wakatoa ushauri, Acacia waruhusiwe kuchukua makinikia kwakuwa TZ hatuna uwezo wa kuyachenjua.
Wahenga walisema, kwenye ukweli uongo hujitenga. WaTZ yetu macho, tutakutana kwenye sanduku la kura

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye sanduku la kura #MagufuliChaguoLetu #T2020JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom