Elections 2010 Baraza La Mawaziri La Dr. W.P. Slaa Hili Hapa

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
WanaJF;

Si vibaya tukaanza kutoa maoni na mapendekezo yetu hata kuota ni nani ambao wanaweza kufanya team nzuri katika Baraza la Mawaziri la Serikali ya Mh. W.P. Slaa endapo atashinda uchaguzi mkuu.

Napenda nianze kutoa mapendekezo hayo:

Rais: Mh. Wilbroad P. Slaa

Makamu wa Rais: Said Mzee Said

Waziri Mkuu: Mh. Freeman Mbowe

Mwanasheria Mkuu: Mabere Marando

Waziri Wa Sheria na Katiba: Tundu Lisu

Waziri wa Fedha; Mipango na Uchumi: Mh. Ndesamburo

Waziri wa Miundombinu: Mh. Zitto Kabwe

Waziri wa Ajira; Vijana; Michezo na Utamadubi: Mh. Halima Mdee

Waziri wa Afya; Ustawi wa Jamii, Wanawake na Watoto:

Wizara ya Ulinzi; Mambo ya Ndani; JKT na Usalama wa Taifa:

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi:

Wizara ya Kilimo; Chakula; Ushirika; Mifugo; Maji na Umwagiliaji

Wizara ya Ardhi; Makazi; Misitu; Mazingira na Utalii

Wizara ya Mambo ya Nje; Biashara na Masoko:

. . . . .

Naomba sasa wadau muendelee . . . .
 
Siwezi kuendelea mimi labda kama ni la muda! maana Dr Slaa keshasema anabadili katiba na atachagua mawaziri wasio wabunge. Anyway, napenda kuona Nishat na Madini Mh Zitto Kabwe.
 
Siwezi kuendelea mimi labda kama ni la muda! maana Dr Slaa keshasema anabadili katiba na atachagua mawaziri wasio wabunge. Anyway, napenda kuona Nishat na Madini Mh Zitto Kabwe.

Oooh! You are right Mkuu!

In 100 days . . . . ngoja tuendelee kuota tu!

Basi, Mipango, Fedha na Uchumi namweka: Professor Ibrahimu Lipumba . . . .
 
Kwanza atakuwa na mawaziri wangapi?..Lisemwalo lipo... Hadi nasisimka manake sura mpya zote lazima mabadiliko yaoneekane.
 
Day dreaming, only your wishful thought, be real SM. Hatuna nafasi ya kufanya majaribio kwenye nchi hii iliyojaa ufukara.
 
Kwanza atakuwa na mawaziri wangapi?..Lisemwalo lipo... Hadi nasisimka manake sura mpya zote lazima mabadiliko yaoneekane.

Mkuu;

Wewe toa mapendekezo yako hapa. Dr. Slaa huwa anasoma na kuzingatia baaadhi ya maoni . . . . Si umeona hata Wizara nilivyozichanganya?
 
wanajf;

si vibaya tukaanza kutoa maoni na mapendekezo yetu hata kuota ni nani ambao wanaweza kufanya team nzuri katika baraza la mawaziri la serikali ya mh. W.p. Slaa endapo atashinda uchaguzi mkuu.

Napenda nianze kutoa mapendekezo hayo:

Rais: Mh. Wilbroad p. Slaa

makamu wa rais: Said mzee said

waziri mkuu: Mh. Freeman mbowe

mwanasheria mkuu: Mabere marando

waziri wa sheria na katiba: Tundu lisu

waziri wa fedha; mipango na uchumi: Mh. Ndesamburo

waziri wa miundombinu: Mh. Zitto kabwe

waziri wa ajira; vijana; michezo na utamadubi: Mh. Halima mdee

waziri wa afya; ustawi wa jamii, wanawake na watoto:

Wizara ya ulinzi; mambo ya ndani; jkt na usalama wa taifa:

Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi:

Wizara ya kilimo; chakula; ushirika; mifugo; maji na umwagiliaji

wizara ya ardhi; makazi; misitu; mazingira na utalii

wizara ya mambo ya nje; biashara na masoko:

. . . . .

Naomba sasa wadau muendelee . . . .

i thought you are proposing baraza la mawaziri la serikali ya chadema instead you telling us about baraza la mawaziri la mgombea urais.
 
Day dreaming, only your wishful thought, be real SM. Hatuna nafasi ya kufanya majaribio kwenye nchi hii iliyojaa ufukara.

Yatakapokuja Mabadiliko ya katiba, unalojukumu la kutoa maoni kama mdau in case atashinda kweli. So, this could be dream come true kama maoni yatakuwa na mwelekeo mzuri.

If not names, unaweza ukasuggest hata Wizara . . .
 
Kuna viongozi wengi ambao ni makatibu wakuu wa wizara za serikali ambao watachukuwa nafasi ya Uwaziri kukata ukiritimba, hivyo inabidi mtazame pia wakurugenzi ambao ni wachapa kazi na sio kutazama sura mnazozifahamu tu...
 
Day dreaming, only your wishful thought, be real SM. Hatuna nafasi ya kufanya majaribio kwenye nchi hii iliyojaa ufukara.

Na huo ufukara si imeletwa na hao ambao unadhani wanajua kuongoza?
 
i thought you are proposing baraza la mawaziri la serikali ya chadema instead you telling us about baraza la mawaziri la mgombea urais.

Du!

Sasa hivi Baraza la mawaziri ni la CCM au la Rais aliyepo madarakani?

Nadhani katiba ya sasa inampa uwezo atakayeshinda ateue mawaziri, unless kama katiba itabadilishwa kuwa Rais asiteue Mawaziri bali vyama.
 
naona mmesahau kuwa kwa mujibu wa katiba iliopo Rais wa Jamuhuri ya Tanzania anahaki ya kuteua wabunge Kumi kama ataona inafaa, kama ataona anakosa watu makini na wajuzi wakuendesha serikali anauwezo wakumteua yoyote awe Mbunge, yeye sio Kikwete anaetumia nafasi kumi za Ubunge kuwapa wapuuzi nafasi za uongozi wa kitaifa....rejea Uteuzi wa Kingunge kisha leta hoja yoyote aliyowahi kuijenga Bungeni kwa miaka 5.
 
Na huo ufukara si imeletwa na hao ambao unadhani wanajua kuongoza?

Hao ninaodhani wanajua kuongoza sijawataja, wewe uliowataja ndio wanaweza kuongoza? If wishes were horses...... unapenda kuishi kwa ndoto ndoto, kujenga maghorofa kichwa SuperMan. Be real Superman.
 
Kuna viongozi wengi ambao ni makatibu wakuu wa wizara za serikali ambao watachukuwa nafasi ya Uwaziri kukata ukiritimba, hivyo inabidi mtazame pia wakurugenzi ambao ni wachapa kazi na sio kutazama sura mnazozifahamu tu...

Mkuu; wazo jema sana.

Unayo mapendekezo yoyote?
 
naona mmesahau kuwa kwa mujibu wa katiba iliopo Rais wa Jamuhuri ya Tanzania anahaki ya kuteua wabunge Kumi kama ataona inafaa, kama ataona anakosa watu makini na wajuzi wakuendesha serikali anauwezo wakumteua yoyote awe Mbunge, yeye sio Kikwete anaetumia nafasi kumi za Ubunge kuwapa wapuuzi nafasi za uongozi wa kitaifa....rejea Uteuzi wa Kingunge kisha leta hoja yoyote aliyowahi kuijenga Bungeni kwa miaka 5.

Katika hizo 10: moja ampe Lipumba nyingine Magufuli.

Hapo vipi?
 
Hao ninaodhani wanajua kuongoza sijawataja, wewe uliowataja ndio wanaweza kuongoza? If wishes were horses...... unapenda kuishi kwa ndoto ndoto, kujenga maghorofa kichwa SuperMan. Be real Superman.

Mkuu; mbona unachanganya watu wanaokujibu?

Kuwa makini kidogo . . . angalia aliyejibu post yako ni nani . . .
 
Back
Top Bottom