<br />J.K amewathibitishia waislam kwamba mahakama ya kadhi ipo mbioni kuundwa.Lakini J.K ameeleza kwamba serikali haitohusika na uendeshaji wa mahakama hizo.Pia Rais kikwete amesema kwamba mahakama hiyo haitahusika na kesi za madai na jinai.Akieleza zaidi amesema kwamba mahakama hii hairuhusiwi kutoa adhabu ya kumvunja mtu mkono wala kumpiga mawe hadi kufa yule aliyefumaniwa.Mipaka ya mahakama hii ni kuhusika na kesi za Ndoa,Talaka na Mirathi tu.