Baraza la Iddi: Mahakama ya Kadhi ni suala la Waislamu wenyewe - Kikwete

ni kuhusu Mahakama ya kadhi ambayo imeegemea zaidi kwenye imani,
Hapo nimemkubali.
 
Kichangani....mmeona picha?

DSC05854.JPG


GO9G3237.JPG
GO9G3272.JPG
 
Wakuu, habari za siku. Kitambo sasa sijaingia jamvini. Nilipanga mada yangu ya kwanza ambayo wanajamvi tungeijadili kwa mazingira ya hapa kwetu ni namna nilivyoshuhudia laivu maandamano makubwa yaliyoitikisa vibaya sana serikali ya India ya Waziri Mkuu, Manmohan Sigh. Nimemshuhudia yule mwanaharakati Anna Hazare. Yapo mengi tunaweza kujifunza kwake na hasa kutoka kwa watu 'makini' wa India walioinuka kila mahali kusema NO dhidi ya rushwa, wakimuunga mkono mwanaharakati Hazare kupambana na ufisadi wa wakubwa, (kama wa hapa kwetu na CCM ya Magamba ya JK na wenzake), kumpigania 'commoner'.

Lakini nimeamua kuingia na topic hii, imetokea bahati nzuri leo, nikaamua kusikiliza hotuba ya JK, long time sana sijafanya kitu kama hicho aisee, lakini kusema ukweli, pamoja ya kwamba jamaa sijawahi kumuunga mkono wala kumuamini, tangu mwaka 2008, kuwa anaweza kuwa kiongozi mahiri kutuongoza katika kupambana na kero zinazotukabili kama taifa, leo kwenye baraza la Eid, Dodoma, KATOA hotuba nzuri. He was bold on very serious issues, like Mahakama ya Kadhi, kurejesha shule zilizokuwa za mashirika ya dini, MOU ya Serikali na Makanisa, ushiriki wa dini katika mijadala ya kaiba mpya, dhana ya udini hapa nchini.

BENEFIT OF THE DOUDT; Jamaa huwa haeleweki kutokana na kutokuwa na hulka ya msimamo, so I reserve...kama kweli hii hotuba/ maneno yataendana sawa na matendo. It would be one of the great speech he ever made, since 2005 in National Assembly. Leo kahutubia kama rais. LAITI ANGEFANYA HIVYO KATIKA VITA DHIDI YA UFISADI NA MAFISADI NA MFUMO UNAOLITAFUNA TAIFA, TUNGETOKA BROTHERS. Tujadili. Kama kuna mtu haukusikiliza tutaweka hapa dondoo wale tuliosikiliza. Asanteni
 
J.K amewathibitishia waislam kwamba mahakama ya kadhi ipo mbioni kuundwa.Lakini J.K ameeleza kwamba serikali haitohusika na uendeshaji wa mahakama hizo.Pia Rais kikwete amesema kwamba mahakama hiyo haitahusika na kesi za madai na jinai.Akieleza zaidi amesema kwamba mahakama hii hairuhusiwi kutoa adhabu ya kumvunja mtu mkono wala kumpiga mawe hadi kufa yule aliyefumaniwa.Mipaka ya mahakama hii ni kuhusika na kesi za Ndoa,Talaka na Mirathi tu.
mkuu sidhani haya uliyoyaandika ilikuwa ni ajenda ya mahakama ya kadhi. angalia kokote duniani kama mahakama ya kadhi inahusika na jinai. kama kukata mikono na mengine. lakini kubwa kabisa hukumuelewa Jk jinsialivyoaddress haya masuala.
 
wana jf, leo mh jakaya mrisho kikwete alikuwa mgeni rasmi ktk mskiti wa gaddaf na ameonesha uwezo na uadilifu mkubwa ktk dakika 65 alizopewa kujibu risala ya waislam katika mskiti wa gaddaf pale mjini dodom...jk amewapasha waislam bila kuelemea upande wa dini yake kuwa waislam kama wanataka kuanzisha mahakama ya kadhi waanzishe lakn isiingilie mipaka ya serikali, bali ishughulikie maswala ya uislam peke yake lakn mambo yanayo gusa watu wote yatashughulikiwa kitaifa yani serikali, pia swala la madawa ya kulevya
 
1. Dodoma Secondary
2. Kizunguzi Secondary
3. Kondoa Secondary
4. Kwamire Girls
5. Hijra Secondary
6. Takwa Secondary
7. Jabal Hila Secondary
 
Alipoanza kuzungumzia swala la mahakama ya kadhi alianza kwa kusema kuwa waziri mkuu anaelishughulikia. Na kwamba vikao vya bunge vimeisha PM atalizungumzia... Baada ya hapo akazungumzia ushauri uliotolewa na Profesa Ibrahimu kwamba jambo hili waachiwe waislam washughulikie wao wenyewe...
Ilani ya ccm inasemaje kuhusu swala la mahakama ya kadhi?
 
Me namwona ni mnafiki tu huyo. Hata hvyo, wakati umefika sasa waislam waamke, wajifunze kupitia kwa wenzao wakristo, kwani wao waweze wana nn na cc tushindwe tuna nn. Vinginevyo tunapokalia lawama ndiyo tunavyozidi kuchelewa, Huyo Kikwete ni mnafiki na tusimwamini hata kidogo.
 
iti is very clear sasa kila mtu atajua watu wa hapa JF na chadema ni watu waaina gani.
ndo maana nilisema na narudia kusema kuwa uongozi wa JK umechukiwa kwa sababu ya hii mahakama ya kadhi, kujiunga na OIC na muafaka wa zenji. Sio hizi sababu zinazotolewa.
kabla ya hapo hamna hata mmoja anayeweza kunithibitishia kinyume chake. ona leo mlivyofurahi. Sitaki kuwa bias, bias kwangu mwiko.
Hapa kuna mchanganyiko wa vyama mbalimbali ndugu, usiwe na mawazo ya kijinga kwamba JF ni ya CDM!

JK alichaguliwa mwaka 2005 kwa zaidi ya 80% wakati mambo ya kadhi yakiwa ndani ya Ilani iliyomwingiza madarakani, usijedhani kwamba yalianza mwaka 2010! JK anachukiwa kwa general poor performance katika awamu yake! Aliwaaminisha watu mno kuhusu kile alichokiita "maisha bora kwa kila Mtanzania!" Matokeo yake amefanya kinyume kabisa na matarajio ya wengi wakati mzee Ben alimwachia nchi pazuri sana pa kuanzia!

Huyu JK badala ya ku-admit failure yake amekimbilia kujifunika blanketi la "udini" na akawaaminisha Waislamu wenzake eti kwamba "anaonewa!" JK kuwa muwazi kwamba kibarua kimekushinda, mwachie Dr wa ukweli akusaidie kazi!
 
kuna jamaa yangu alikuwepo pale anasema waislam wamechukia na hwakutegemea kusikia hayo hasa aliposema kuwa wakristu huwa wanamba na waislam hawaombi ila wanalalamika toka mwaka 1992 hadi leo..........
 
mkuu sidhani haya uliyoyaandika ilikuwa ni ajenda ya mahakama ya kadhi. angalia kokote duniani kama mahakama ya kadhi inahusika na jinai. kama kukata mikono na mengine. lakini kubwa kabisa hukumuelewa Jk jinsialivyoaddress haya masuala.
We Ngwendu usitufanye kwamba hatuna macho ya kuona na masikio ya kusikia! Watu hudundwa mawe kila siku na Al Shabaab kwa sababu ya "adultery" ambalo ni suala la ndoa! Kwa ujumla Mahakama ya Kadhi na OIC ni mpango uliopangwa "kuisilimisha nchi" jambo ambalo ni la hatari sana kwa usalama, mshikamano na amani ya nchi yetu! It is far better Waislamu wakafanya mambo yao bila kuingiliwa na Serikali na bila kuvunja Sheria za nchi yetu!
 
BENEFIT OF THE DOUDT; Jamaa huwa haeleweki kutokana na kutokuwa na hulka ya msimamo, so I reserve...kama kweli hii hotuba/ maneno yataendana sawa na matendo. It would be one of the great speech he ever made, since 2005 in National Assembly. Leo kahutubia kama rais. LAITI ANGEFANYA HIVYO KATIKA VITA DHIDI YA UFISADI NA MAFISADI NA MFUMO UNAOLITAFUNA TAIFA, TUNGETOKA BROTHERS. Tujadili. Kama kuna mtu haukusikiliza tutaweka hapa dondoo wale tuliosikiliza. Asanteni

Give the devil his right. Safari hii sijui katoa wapi ujasiri huo! Japo ninasikiliza na kutoka lakini naona amejitahidi hata kwa kusema.

Umesema kweli kuwa haeleweki! Mimi bado na mwona mwongo kuwadanganya waislamu kwa miiaka yote iliyopita kwa kuwapa matumaini hewa. Anaujasiri kwa sababu hawana la kumfanya leo, na hana la kupoteza, ifike 2015 anaondoka na leo anaamini hagusiki. Muungwana husema anayoamini siku zote, iwe kabla , wakati au baada ya uchaguzi. Hivyo kwa mazingara ya leo ninaona hii ni coward speech.
 
haya jamani nafikiri mmeona wenyewe jinsi rais alivyojaaliwa khekima tunaomba kura zenu ili ccm iendelee kutawala 2015 ili kuimarisha misingi hiyo aliyoieleza rais kwenye baraza la idd leo mjini dodoma.

mm ninawasiwasi kama tutawapa nchi hii chadema 2015; misingi hii itavunjika na tanzania hapatakuwa tena mahali pazuri pakuishi!! ccm oyee!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom