Baraza la Iddi: Mahakama ya Kadhi ni suala la Waislamu wenyewe - Kikwete

1. UTAWAJUA TU MAKAFIRI....MBELE YA UKAFIRI WAO WANAWEKA TOFAUTI ZAO ZA KISIASA PEMBENI.....LEO HATA CHADEMA ANASHANGILIA! SI NDIO HAWA HAWA WANAOMPINGA NA KUMKASHIFU RAISI KILA SIKU? LEO HII KAWA MUADILIFU?

2. KWA WAISLAM, NCHI HII WAISLAM WENGI NI MAJINA NA NJAA TU! WAKO TAYARI WAKISHAPEWA FULANA ZA SH ELF MBILI NA DOTI YA KHANGA...AU WAKISHAFUTARISHWA TU BASI VIMBELMBELE KWENDA KUPIGA KURA! NJAA TU! MATUMBO YENU YATALISHWA KAA ZA MOTO!

3. KAMA TUENDESHE WENYEWE MAHAKAMA YA KADHI NI VYEMA, BASI TUVUNJE BAKWATA! KWANI BAKWATA SI LIMEUNDWA NA SERIKALI YA NYERERE? NA KWANI SI WANAPATA RUZUKU? MBONA HAPO HAMSEMI? TUVUNJE BAKWATA WAISLAM TUCHAGUE BARAZA LETU NA TULIENDESHE WENYEWE LISIWE NA MKONO WA SERIKALI WALA MAKADA WA CCM.

4. WAISLAM NI WAKATI WA KUZINDUKA...HAO BAKWATA WAPO TU HAWAWEZI KUPELEKA MAENDELEO YA WAISLAM WA NCHI HII MBELE...KAZI YAO NI KUANGALIA MWEZI! KUPOKEA NYAMA ZA SAUDIA NA TIKETI ZA HIJJA NA KUTIA KWENYE MATUMBO YAO......TURUDI KWENYE AMRI YA KWANZA ALOPEWA MTUME 'IQRA' NDO TONGO ZA UPUMBAVU NA UJINGA ZATAONDOKA!

Never will the Jews or the Christians be satisfied with thee unless thou follow their form of religion.2:120

Kwa kusoma mchango wako nimejirisha kuwa wewe ni mpumbavu kama siyo basi ni mjinga.

Naomba kama kuna mtu yeyote au jamii forum wenyewe wana video ya hotuba ya Rais Kikwete wakati wa sikukuu ya Iddi watuwekee mtandaoni ili tuweze kuidownload. Hii ni moja kati ya hotuba kuu alizopata kuzitoa mh. Rais. Ni vema mkahakikisha watanzania wanaipata.

Back
Top Bottom