Baraza Kuu la CHADEMA lakutana Mlimani City

Haki itendeke

Vijana wa Mbowe wasije wakanajisi boksi la kura
Unataka haki itendeke CDM??

Mbona huko kwenu CCM mliuchafua uchaguzi wa serikali za mitaa na kulazimisha wagombea wenu wawe wamepita kibabe na kuwa wameshinda kwa asilimia 100%??
 
Tunataka tusomewe mapato na matumizi

Watawala hawatoagi mahesabu ya taasisi kuna kampuni maalumu za accounting ndizo zinafanya kazi hizi na ofisi ya mkaguzi mkuu ndiyo anakagua mahesabu ambayo yamefanywa kwa utaratibu wa sheria. Sijui kama hujui haya au ni uzushi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…