Siasa ni mchezo mchafu kweli.Chama cha Demokrasia na Maendeleo ndio Matumaini yetu Watanzania
Tukiunge mkono kwa hali na mali tuwe tayari kujitoa muhanga
Siasa ni mchezo mchafu kweli.
Nakumbuka nilipoteza hadi kibarua kwa kuwa kibarua kwa wanasiasa mwaka 2015.
Mzee wa monduli alisepa na kijiji sitokaa nisahau.
Pili vyama vya upinzani vinatuumiza sisi watu wao
Nakumbuka, kabla mzee wa monduli kuhamia chadema alisemwa sana kuwa sio mwanidifu na fisadi lakini viongozi hao hao walimpokea na kumkaribisha chumbani,,,Hiki kitendo kiliniumiza sana maana ng'ombe zinagombana sisi nyasi ndio tunaumia.
tokea hapo ndipo nilijiona mkiwa kwenye chama changu nilichokuwa nakiamini more than 100%.
Leo hii mzee karudi nyumbani hata bila kujali maumivu waliyopata watu wakihangaika kisa yeye.
Kwa mwenye akili timamu atakuwa amenielewa.
kama UKAWA walishindwa kuchukua dola 2015 kipindi ambacho lumumba fc walikuwa na migogoro ya ndani wao kwa wao na mvunjiko mkubwa Sioni ukombozi tena labda vyama vyote vifutwe kibaki CHADWAZECUF tu.
Vijana tujiepushe kuwa vibaraka wa wanasiasa. Maisha yako hayabadilishwi na mwanasiasa bali hubadilishwa na juhudi yako mwenyewe na kufanya kazi kwa nguvu.
Kwenye siasa wanaoumia ni watu wa chini (wafuasi) lakini viongozi wa juu hawaexperiences maumivu tuyapatayo ndiyo maana wanatuyumbisha kama bendera fuata upepo, kaka zangu na ndevu zao huwa kama watoto aisee siasa ameloga akili za vijana wengi walai nawaambieni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi kama Chadema tumeshajifunza kutokana na makosa yetuSiasa ni mchezo mchafu kweli.

LABDA CDM Ni matumaini yako wewe pekee na familia yako, usijivike usemaji wa wananchi wote wa Tz.Chama cha Demokrasia na Maendeleo ndio Matumaini yetu Watanzania
Tukiunge mkono kwa hali na mali tuwe tayari kujitoa muhanga
Hiyo ID yako tu inajionyesha wewe ni mtu wa aina ganiLABDA CDM Ni matumaini yako wewe pekee na familia yako, usijivike usemaji wa wananchi wote wa Tz.
Ukitazama hii picha je wote wana nia ya dhati!?
Hakuna hata sura moja inatofautiana na zingine?View attachment 1295391
Bashite bwana imhope aka kawe alumniHayo Mambo ya kujitoa muhanga sisi wana chadema hatuyataki
Wewe utakuwa sio Mtanzania
Uzuri ushaonekana chz humuSisi Wananchi tuliwapigia kura, Mbona sasa mnatumbua ruzuku peke yenu
mkuu naomba namimi uniunganishe niwe kama wewe hapa jukwaaniSisi Wananchi tuliwapigia kura, Mbona sasa mnatumbua ruzuku peke yenu