Dah Uniform zimwi a zikaivika wapi nitapata moja
Wewe Huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Ila CDM kwa Pamba tu hakuna mfano nchi hii,kwa kupangilia mambo ni wako vizuri,ukumbi umependezaaaa.View attachment 1295091
View attachment 1295084
View attachment 1295092
View attachment 1295094
Akifungua Mkutano wa Baraza hilo leo tarehe 17 / 12/2019 Mh Mbowe amesema , njama za Awamu ya 5 za kuua Chadema zimesababisha mfumuko wa wanachama na viongozi wapya nchi nzima , jambo lililopelekea chama kuimarika zaidi
😆😆😆
Sare ya Chadema kawashonea nani?Umeona design yake?Haichoshi kutazama halafu unaona kabisa sura ya mtu.Sisi Wananchi tuliwapigia kura, Mbona sasa mnatumbua ruzuku peke yenu
We jamaa unaongeaga pumba balaa,hiyo ruzuku iliyotumbuliwa umeona wapi!?alafu ww ni gamba mambo ya chadema hayakuhusu.Sisi Wananchi tuliwapigia kura, Mbona sasa mnatumbua ruzuku peke yenu
Ndoto za mjingaWakati ndiyo kinaelekea mwisho wake. Sasa hakina kiongozi kwenye vijiji, mitaa wala vitongozi mwaka keso 2020 hakitakuwa na Rais, Mbunge wala Diwani labda ACT Wazalendo kama nacho kitaacha usaliti.
Haki itendeke
Vijana wa Mbowe wasije wakanajisi boksi la kura