Baraza Kuu la CHADEMA lakutana Mlimani City

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,441
215,235
FB_IMG_1576586533854.jpg

Mkisubiri chadema ife mtaumiav,tupo imara. ...kikao cha Baraza Kuu Taifa. ..Mlim ( 640 X 640 ).jpg

Chama DUME ... Bado tupo IMARA ... Mlimani City BARAZA KUU ni _fire__fire__boom__boom_- JONGWE...jpg

Hili ni vazi mpya la Chadema, ni vazi maalumu la Mkutano wa Baraza Kuu 2019. Wal ( 580 X 640 ).jpg


Akifungua Mkutano wa Baraza hilo leo tarehe 17 / 12/2019 Mh Mbowe amesema , njama za Awamu ya 5 za kuua Chadema zimesababisha mfumuko wa wanachama na viongozi wapya nchi nzima , jambo lililopelekea chama kuimarika zaidi
 
Haki itendeke

Vijana wa Mbowe wasije wakanajisi boksi la kura
Unataka haki itendeke CDM??

Mbona huko kwenu CCM mliuchafua uchaguzi wa serikali za mitaa na kulazimisha wagombea wenu wawe wamepita kibabe na kuwa wameshinda kwa asilimia 100%??
 
Tunataka tusomewe mapato na matumizi

Watawala hawatoagi mahesabu ya taasisi kuna kampuni maalumu za accounting ndizo zinafanya kazi hizi na ofisi ya mkaguzi mkuu ndiyo anakagua mahesabu ambayo yamefanywa kwa utaratibu wa sheria. Sijui kama hujui haya au ni uzushi tu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom