Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,716
- 2,003
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shoga yangu ukishasomewa mapato na matumizi itakusaidia chochote wewe binafsi? Au utataka chenji inayobaki ununue taulo ya kike?Tunataka tusomewe mapato na matumizi
Sisi Wananchi tuliwapigia kura, Mbona sasa mnatumbua ruzuku peke yenu
Ndio maana hatulali kuhakikisha chadema kinakufa.
Huwa unalipwa shilingi ngapi kwa kudharau na kutukana wapinzani?Sisi Wananchi tuliwapigia kura, Mbona sasa mnatumbua ruzuku peke yenu
Chama cha Demikrasia na Maendeleo ndio Matumaini yetu Watanzania
Tukiunge mkono kwa hali na mali tuwe tayari kujitoa muhanga
Chama cha Demikrasia na Maendeleo ndio Matumaini yetu Watanzania
Tukiunge mkono kwa hali na mali tuwe tayari kujitoa muhanga
Hayo Mambo ya kujitoa muhanga sisi wana chadema hatuyataki
Wewe utakuwa sio Mtanzania