Baraza Kuu la CHADEMA lakutana Mlimani City

Kinawauma mnoooo
Wakati jiji la dsm likiendelea kuwa kwenye tishio la kumezwa na maji tayari viongozi wa cdm wapo kwenye kikao kizito kwa ajili ya kuipanga safu ya uongozi makini utakao tafuta muarobaini wa tatizo la mafuriko hapa jijini dsm mara tutakapo ingia madarakani baada ya uchaguzi wa 2020.

Hii nchi inahitaji kufanyiwa overhaul kuanzia kwenye mipango miji.
View attachment 1295139View attachment 1295140View attachment 1295141

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1576488464028.jpeg

Jr
 
Ofisi ya Chama chetu kikuu Cha upinzani mtajenga lini ili tuwe na ukumbi wetu wa mikutano? Au mnatumbua ruzuku wenyewe na kugawana vyeo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom