mwana siasa
Senior Member
- Aug 28, 2007
- 119
- 6
jamani nimeona kuna mtu anasema kuwa baraza linatangazwa chamwino, lakini cha ajabu waandishi wa habari wameshafika hapa tamisemi na hivi tunavyoongea niko nyuma ya tamisemi kwenye sheli ya gapco najaza mafuta naona loli kubwaaa sana la tvt limepaki huku jamaa wakiwa wanatengeneza mitambo yao. kazii kwelikweli