hivi huyu kapuya ndio nani hasa nchi hii..? yaani kabaki....?
haya twende tu ..tutafika
Kilimo sio Msolla?
*MAJI IMEUNGANISHWA NA KILIMO ILI WIZARA HII ISHUGHULIKE NA MIUNDOMBINU YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI.
16. WIZARA YA MAJI PROFESA MARK MWANDOSYA NAIBU CHIZA
17. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA MATHAYO DAVID MATHAYO

22. William Ngeleja Naibu Adam Malima?????????
CHENGE? really? And who is Nkya, Ananilea Nkya? JK can not be serious!
Mkuu Roya,
Soma vizuri. kilimo ni Mathayo David Mathayo.
*MAJI IMEUNGANISHWA NA KILIMO ILI WIZARA HII ISHUGHULIKE NA MIUNDOMBINU YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI.
16. WIZARA YA MAJI PROFESA MARK MWANDOSYA NAIBU CHIZA
17. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA MATHAYO DAVID MATHAYO
Hawa Ghasia bado anajidai!! Mathayo waziri!!!! Hivi inakuwaje wizara kubwa na muhimu kama Kilimo na Chakula haina naibu. Katika pitiapitia yangu sijaona wizara ya mipango, kulikoni!! Hivi wizara ya sheria, does that mean mwanasheria mkuu katupwa nje????
Nafikiri baraza bado lina mapungu mengi tu!!!

Msolwa Yupo, Waziri kamili wa Kilimo na chakula