Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

There are currently 1794 users browsing this thread. (416 members and 1378 guests)

Hi guests, UR welcome to JOIN & be MEMBERS!

Cheers...

By the way, can't see much in the Cabinet, but watch out for the Doctors in Ministry of Works (Dr Magufuli & Dr Mwakyembe).
They are not JK's favourites in terms of 'ushkaji', but Dr Magufuli usually performs wonderfully.
Km za barabara elfu........ zimwekamilika
 
it is a challenge to tibaijuka maana katoka un habitat, sasa aonyeshe kweli un hawa kufanya makosa, labda donors wamemtaka awepo hapo kusimamia makazi bora.
 
katiba na sheria Kombani anafanya nini? Naona walau hata Sitta angetufaa na walau kungekuwa na mabadiliko! its non sense hamna lolote jipya uchakachuaji unaendelea tu expect nothing at all...:redfaces:
 
Inaelekea ulikuwa na haraka ya kutafuta sifa ya kuwa the 1st to post, jamani wizara ya makamu wa Rais, na wizara ya waziri mkuu?????? Hapana hizo hazipo na wala kikwete hajazitangaza. Samia ni waziri wa nchi, ofisi ya makamu wa rais, muungano, Na Lukuvi ni waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anaeshughulikia masuala ya Bunge.

wewe ungeweza?? acha upuuzi and grow up!
Umesubiri mwenzako amepost unajidai kujifanya proof reader.
 
does it mean Mwakyembe na Pombe Magufuli ndio possible candidates 2015....!!!!!!!

Possible candidate 2015 ni Shamsi Vuai Nahodha. Mara mbili mfululizo Raisi wa Jamhuri ametoka Bara sasa ni zamu ya Zanzibar ili kuendelea kudumisha Muungano
 
Tatizo la Ema ni kuwa ni muumini wa kundi la mafisadi,hana maslahi na wapiga kura wake bali akina nonino
Kama hana maslai na wapiga kura wake ni kwa nini wamemchagua kuwa mbunge na wewe unayajua maslai ya wapiga kura wake?
 
mwanakijiji vipi hizi wizara umeandika mwenyewe au umeandikiwa mbona binafsi sizielewi au ndo umfupisha? weka cleal
 
Magufuli na Mwakyembe wamepewa RUNGU moja ili watwangane then mafisadi wapate chance ya kuwanyooshea kidole
 

Wanabodi,

Hatimaye Baraza jipya la Mawaziri ndio lianza kutangazwa sasa live kupitia TBC!
Endelea kufuatilia...

UPDATES:

  • Wizara ya maji imeunganishwa na Kilimo - Itakuwa Wizara ya Kilimo na umwagiliaji!
  • Kazi ajira na vijana - kitengo cha vijana kimehamishiwa michezo na utamaduni
  • Uwezeshaji wa wananchi (Baraza la uwezeshaji) - Ilikuwa wizara ya fedha, imebidi kuipunguzia Hazina mzigo huu na kulielekeza Ofisi ya Waziri Mkuu
  • Waziri wa TAMISEMI atakuwa na manaibu wawili
  • Wizara ya Miundo Mbinu imepunguzwa, imegawanyika kuwa na Wizara ya Ujenzi (barabara na viwanja vya ndege) & Wizara ya Uchukuzi - Reli, bandari na usafiri wa majini
  • Magufuli atachukua wizara ya Ujenzi na msaidizi wake ni Mwakyembe
  • Sitta atakuwa waziri wa Wizara ya ushirikiano wa Afrika Mashariki
  • Membe ataendelea kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje
  • Ngeleja ataendelea kubaki wizara ya Nishati na Madini
  • Wizara ya Mambo ya Ndani atakuwepo Nahodha akishirikiana na Kagasheki
  • Anna Tibaijuka atakuwa waziri wa Wizara ya Ardhi na Makazi
  • Hakuna jina la Januari Makamba wala Lowassa kama wengi walivyokuwa wakishuku
WIZARA NA MAWAZIRI WAKE:
) Wizara ya ofisi ya utawala bora chikala
2) Wizara ya Mahusiano wassira
3) Wizara ya manegement – hawa ghasia
4) Wizara ya makamu wa rais – samia suluhu hassan
5) Wizara ya mazingira - therezia
6) Wizara ya waziri mkuu – william lukuvi
7) Wizara ya uwezeshaji nagu
8) Wizara ya tawala za mkoa mkuchika
9) Wizara ya fedha mkula, teu, amisilima
10) Wizara ya mambo ya ndani nahoza, kagasheki
11) Wizara ya katiba na sheria Kombani
12) Wizara ya nje membe
13) Wizara ya ulizi mwingi
14) Wizara ya mifugo mathayo d. Athayo
15) Wizara ya mawasiliano science makame, kitwanga(mawe matatu)
16) Wizara ya ardhi prof. Tibaijuka
17) Wizara ya maliasili maige
18) Wizara ya nishati ngeleja, malima
19) Wizara ya ujenzi Magufuli, Mwakyembe
20) Wizara ya uchukuzi Omary N
21) Wizara ya Viwanda na Biashara Chami-
22) Wizara ya Elimu Dk Kawambwa
23) Wizara ya Afya Hadji H Mpanda
24) Wizara ya Kazi Ajira Kabaka, Mahanga
25) Wizara ya Maendeleo ya jamii Sophia SImba
26) Wizara ya Elimu habari vijana na michezo Nchimbi
27) Wizara ya Ushirikiano EAC Sitta
28) Wizara ya Kilimo Magheme, Chiiza
29) Wizara ya Maji Prof Mwandozya


Mbona elimu iko mara mbili mzeeee
 
Last edited by a moderator:
There are currently 2097 users browsing this thread. (433 members and 1664 guests)

hii imevunja record!..........
viva JF
 
where is Kapuya?

wizara ya mifugo ilikuwa punishment tu kwa magufuli 2005?
 
Back
Top Bottom