Hii nimeipenda sana1) Wizara ya ofisi ya utawala bora chikala
2) Wizara ya Mahusiano wassira
3) Wizara ya manegement – hawa ghasia
4) Wizara ya makamu wa rais – samia suluhu hassan
5) Wizara ya mazingira - therezia
6) Wizara ya waziri mkuu – william lukuvi
7) Wizara ya uwezeshaji nagu
8) Wizara ya tawala za mkoa mkuchika
9) Wizara ya fedha mkula, teu, amisilima
10) Wizara ya mambo ya ndani nahoza, kagasheki
11) Wizara ya katiba na sheria Kombani
12) Wizara ya nje membe
13) Wizara ya ulizi mwingi
14) Wizara ya mifugo mathayo d. Athayo
15) Wizara ya mawasiliano science makame, kitwanga(mawe matatu)
16) Wizara ya ardhi prof. Tibaijuka
17) Wizara ya maliasili maige
18) Wizara ya nishati ngeleja, malima
19) Wizara ya ujenzi Magufuli, Mwakyembe
20) Wizara ya uchukuzi Omary N
21) Wizara ya Viwanda na Biashara Chami-
22) Wizara ya Elimu Dk Kawambwa
23) Wizara ya Afya Hadji H Mpanda
24) Wizara ya Kazi Ajira Kabaka, Mahanga
25) Wizara ya Maendeleo ya jamii Sophia SImba
26) Wizara ya Elimu habari vijana na michezo Nchimbi
27) Wizara ya Ushirikiano EAC Sitta
28) Wizara ya Kilimo Magheme, Chiiza
29) Wizara ya Maji Prof Mwandozya
Tupe taarifa timilifu
Mwankyembe hapo wamemziba mdomo....km inakubalika hangetema tu huo unaibu,aendelee kutema chehe bungeni.
Hapa naunga mkono kwa Kikwete kwa asilimia 1000,angalau mkono wa mafisadi naona umekatwa1) Wizara ya ofisi ya utawala bora chikala
2) Wizara ya Mahusiano wassira
3) Wizara ya manegement – hawa ghasia
4) Wizara ya makamu wa rais – samia suluhu hassan
5) Wizara ya mazingira - therezia
6) Wizara ya waziri mkuu – william lukuvi
7) Wizara ya uwezeshaji nagu
8) Wizara ya tawala za mkoa mkuchika
9) Wizara ya fedha mkula, teu, amisilima
10) Wizara ya mambo ya ndani nahoza, kagasheki
11) Wizara ya katiba na sheria Kombani
12) Wizara ya nje membe
13) Wizara ya ulizi mwingi
14) Wizara ya mifugo mathayo d. Athayo
15) Wizara ya mawasiliano science makame, kitwanga(mawe matatu)
16) Wizara ya ardhi prof. Tibaijuka
17) Wizara ya maliasili maige
18) Wizara ya nishati ngeleja, malima
19) Wizara ya ujenzi Magufuli, Mwakyembe
20) Wizara ya uchukuzi Omary N
21) Wizara ya Viwanda na Biashara Chami-
22) Wizara ya Elimu Dk Kawambwa
23) Wizara ya Afya Hadji H Mpanda
24) Wizara ya Kazi Ajira Kabaka, Mahanga
25) Wizara ya Maendeleo ya jamii Sophia SImba
26) Wizara ya Elimu habari vijana na michezo Nchimbi
27) Wizara ya Ushirikiano EAC Sitta
28) Wizara ya Kilimo Magheme, Chiiza
29) Wizara ya Maji Prof Mwandozya
Jabulani ili ndio baraza la mawaziri... Mbona kubwa sana!?
- Jabulani
- Fikra pevu
- St. RR
- Oluoch
- Renegade
- JoJiPoJi
- kanyagio
- Chakaza
- Jmpambije
- Jamco_Za
- tandala
- Gaijin
- ChiefmTz
- Kinyambiss
- Gurta
- mwalu
- Sir John
- Froida
- Msaranga
- mabel
- LAT
- MwanajamiiOne
- kapotolo
- Chezo
- Chizi Fureshi
- Magobe T
- Nyandaigobeko
- Asilia
- dazenp
- Mathias Byabato
- Kimey
- kin
- VoiceOfReason
- Endaku's
- Nacho cha Ruwa
- Hey
- kazidi
- kabila01
- Gottee
- mimimkuu
- Solent
- hashycool
- General
- think BIG
- Typical
- alsaidy
- mama kubwa
- Kunda
- Semilong
- nickname
- Wanzagi
- mtaratibuuuuuu
- posh
- Kishongo
- kilemi
- maega
- jcb
- jacobae
- PgSoft2008
- Lubaluka
- Mtu wa Pwani
- jackbauer
- Liz Senior
- Ng'wanangwa
- Baba_Enock
- Power to the People
- Njilembera
- mwandupe
- Makanyaga
- mtuwawatu
- paulss
- Maimbe
- Madela Wa- Madilu
- mkurugenzi1
- Interested Observer
- len
- Mkosoaji
- Lucy Damas
- Kituko
- mariavictima
- Misterdennis
- Elli
- Sally
- Mkubwa Dawa
- kwamtoro
- Awo
- Nicazius
- LUSAJO L.M.
- X-PASTER
- Msharika
- Nahayo
- TzPride
- kings09
- Gurudumu
- magafu
- Haki.tupu
- kamalaika
- Brooklyn
- mose
- Bigirita
- Mokoyo
- akilinyingi
- Shukuru
- msaragambo
- Lukolo
- Sina pa kwenda
- bwegebwege
- sbilingi
- charger
- Kagemro
- Mimibaba
- Mutensa
- Jobjob2
- Emanuel Makofia
- epau
- Ndibalema
- Scientist
- Mr. Zero
- kim jong ii
- Rugas
- Kaduguda
- nkosiyamakosini
- Zakumi
- Ngambo Ngali
- Questt
- Ngereja
- M-mbabe
- Kamakabuzi
- Mtumpole
- Al Zagawi
- Kiraka
- Companero
- King of Kings
- The Finest
- Chimunguru
- Yetu Macho
- LoyalTzCitizen
- abdalah
- Manda
- Akili Unazo!
- Lady
- Smiles
- YgJunior
- Brandon
- Mzizi
- Gagnija
- jjj2be
- Kipepe
- ngoko
- Kisendi
- Vakwavwe
- Mburahati
- kiraia
- Bourgeoisie
- Kamende
- KiparaDar
- manyusi
- hardtalk
- Mdau Mkuu
- abdu
- methodman
- ozzie77
- Utamaduni
- Safari_ni_Safari
- Malunde-Malundi
- Pasco_jr_ngumi
- birungi
- T 726 AQB
- mpuguso
- Nandoa
- Mwanamayu
- Kicheruka
- yegella
- giraffe
- Vincent Augustino
- Genuine
- FAISALSANYA
- Tofty
- zaratustra
- Kiby
- Marunda
- mtemiwao
- Nyamizi
- Bobby
- Buchanan
- GAGAGIGIKOKO
- seniorgeek
- ladha91
- chamajani
- Kitila Mkumbo
- rito
- Freddy81
- jamifo
- Shadow
- Kimambo
- dmaujanja1
- Nyunyu
- Msanii
- Watu
- El Toro
- FuturePresident
- rolemodel
- Che Kalizozele
- nahavache
- nassdadon
- Ponda
- Chona
- Mfwatiliaji
- Mabagala
- kinya
- Chibidu
- Henge
- furahi
- MISHI
- Reena
- Makirikiri
- aine
- Mswati
- Mwanyiro
- CalvinPower
- Maamuma
- Relief
- coby
- Kagwina
- Zanaki
- realtz7
- Paddy
- VSM
- Peaches
- kachumbari
- andrewk
- Mwalo
- PJ
- MAJANI YA KUNDE
- mzeewadriver
- chapa
- Matarese
- tumsam
- Mama Jack
- Ngalikihinja
- Dedii
- Bondia
- Kadogoo
- Mwikimbi
- saidomr
- Ngonini
- rweiki
- Dash
- Mwanamalundi
- Viva
- genekai
- Mgalanjuka
- Shaycas
- tunalazimika
- Mtumwa
- KOMBESANA
- tom odera
- kaka mtu
- kagumyamuheto
- Kinyamana
- lebabu11
- Chupaku
- sizinga
- PPM
- tototundu
- Anaruditena
- Yetuwote
- Matonange
- Malaria Sugu
- Butola
- Paul Kijoka
- Paka mweusi
- Bally B
- FirstLady1
- M-bongotz
- Gerad2008
- Chonya
- PhD
- TanzActive
- Sabasaba
- Kiponya
- BABA JUNJO
- Shalom
Mbona baraza la mawaziri ni kubwa sana, kweli tunahitaji baraza kubwa kama hili, mimi sidhani kama ndiyo tunabana matumizi hapa.
Hii nimeipenda sana
Wanabodi,
Hatimaye Baraza jipya la Mawaziri ndio lianza kutangazwa sasa live kupitia TBC!
Endelea kufuatilia...
UPDATES:
WIZARA NA MAWAZIRI WAKE:
- Wizara ya maji imeunganishwa na Kilimo - Itakuwa Wizara ya Kilimo na umwagiliaji!
- Kazi ajira na vijana - kitengo cha vijana kimehamishiwa michezo na utamaduni
- Uwezeshaji wa wananchi (Baraza la uwezeshaji) - Ilikuwa wizara ya fedha, imebidi kuipunguzia Hazina mzigo huu na kulielekeza Ofisi ya Waziri Mkuu
- Waziri wa TAMISEMI atakuwa na manaibu wawili
- Wizara ya Miundo Mbinu imepunguzwa, imegawanyika kuwa na Wizara ya Ujenzi (barabara na viwanja vya ndege) & Wizara ya Uchukuzi - Reli, bandari na usafiri wa majini
- Magufuli atachukua wizara ya Ujenzi na msaidizi wake ni Mwakyembe
- Sitta atakuwa waziri wa Wizara ya ushirikiano wa Afrika Mashariki
- Membe ataendelea kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje
- Ngeleja ataendelea kubaki wizara ya Nishati na Madini
- Wizara ya Mambo ya Ndani atakuwepo Nahodha akishirikiana na Kagasheki
- Anna Tibaijuka atakuwa waziri wa Wizara ya Ardhi na Makazi
- Hakuna jina la Januari Makamba wala Lowassa kama wengi walivyokuwa wakishuku
Mimi nimefurah sana kwa kumpa uwazir wa barabara mheshimiwa Magufuli na Mwakyembe
hongera JK.
wiliam lukuvi naye nyota yake imeng'aa bunge na sera!!!!!
Lau-Masha nae katupwa, sasa ile dili ya vitambulisho hata sijui itakuaje? dah!!!