Unajua maana yake lakiniSasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
Unajua maana yake lakiniSasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
Eti unasemaje? Bila nani EAC isingekuwepo?
EAC ilianza baada ya huyo uliyemtaja kuwepo madarakani?
Tunalijua hilo na akalazimisha barabara iishie Tengeru badala ya HoliliAnjua kila kitu. Na baada ya kuingia madarakani aliizuia isiendelee kwa madai kwamba hakupewa kura na mikoa ambayo inge nufaika na hiyo barabara..
Jpm huwa ana dhani watu wote ni wajinga..
Kuna ki
pindi nilikutana na injinia aliyeshiriki kufanya michoro ya hiyo barabara akiwa mwajiriwa wa EAC. aliniambia hii barabara inatakiwa ifike Holili na siyo Tengeru. Kwa ufupi design ilifanyika kabla hata Mrisho Gambo hajawa DC kule Korogwe. Kwa hiyo mh. ajitahidi asiwe kama Trump. Wafadhili ni African Development Bank (AfDB) kupitia EAC na siyo Arusha regional commissioner Office. Principal engineer wa EAC analijua hili vizuri sana kuwa hakuna mkono wa Gambo kwenye Hizi barabara mbili za Namanga Tengeru wala arusha Bypass
Ww kabrasha kabisa. Kwa hiyo Magufuli akifa RAC inakufa?Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
NotedTAARIFA KUTOKA KWA MAAFISA VIPENYO WIZARA YA FEDHA NI KUWA BARABARA HII ILITAKIWA KUWA DOUBLE ROAD TOKA ARUSHA HADI HIMO THEN SINGLE WIDE HADI HOLILI AMBAKO INAKUWA TENA DOUBLE KWA KILOMETA CHACHE ..NI PESA YA EAC ...LAKINI KUNA MTU KWA ROHO YAKE MBAYA KAZUIA ISIJENGWE KWAKUA HAKUPEWA KURA .....NA KUACHA TU IKABIMILIKE HADI TENGERU NA ILE YA BYPASS KWAKUA ILISHAANZA TOKA KIPENDI CHA KIKWETE ...UKISIKIA JOKA LA MDIMU NDIO HILO LINAKUUMA USICHUME NDIMU HATA KAMA HALI NDIMU .....HII BARABARA PESA HATOI YEYE LAKINI KAZUIA TU
ANASEMA WAKIPATA DOUBLE ROAD NDEFU KULIKO ZOTE TANZANIA WATARINGA
ukitaka kuamini maneno haya na alivyokua hana kifua Karopoka mwenyewe hapo chini
just imagine angezuiaje barabara ikiyopangwa na EAC kuboresha makao makuu ya jumuia ; by pass inapita Mahakama Dunia arusha ya uhalifu ni barabara ya mikakati ; ya kuunganisha Arusha na nairobi na mombasa kupitia Holili alitamani iende chato
Wakati inaanza Rais alikuwa Kikwete na yeye akiwa waziri na Kakoko walisimamia ubomoaji ianze leo a nafikiri watu hawana kumbukumbu na kutudaanganya eti aliyeomba ni gambo
“"Gambo amewatetea mambo mengi hata Barabara ya KM 14 ya njia 4, Barabara ambayo hakuna Mtu aliyetegemea itajengwa Arusha kwa Watu ambao walininyima kura, ingeweza hata tukaipeleka Mkoa mwingine, hata ile Diversion ya Barabara hii tumemwaga zaidi ya Bil 164"- JPM
Arusha 23 october 2020
Ukiwa na wivu Sana mwishowe unajitundika
Na baada Tu ya 28 October, mtaanza kusema yaleyale ya Mbowe,Aachie ngazi
Sijui Watanzania ni waoga Sana
JPM Sjui dikiteta
Sijui Kwa nini police wametuzuia maandamano
Sababu kibaaao hakuna hata la maana
Watu wajinga walishaisha siku nyingi. Jazba hazikubebi kwenye ukweli.Yako wapi hayo maandiko? Au unawashwa kupigwa katerero.
Rudi darasani wewe au ni mtoto wa jana au ni mvivu wa kusoma. hapa tunajadili facts siyo ushabiki wa kisiasa. Tunazo data ambazo hata 0.00000001 huna.Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
Kwa haya maneno umedhibitisha kwamba Barabara ya Tengeru - Namanga ni kelele za Gambo?!Ukiwa na wivu Sana mwishowe unajitundika
Na baada Tu ya 28 October, mtaanza kusema yaleyale ya Mbowe,Aachie ngazi
Sijui Watanzania ni waoga Sana
JPM Sjui dikiteta
Sijui Kwa nini police wametuzuia maandamano
Sababu kibaaao hakuna hata la maana
uwezo wako wa kufikiri unaishia katikati ya miguu yakoSasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
Mradi wa barabara ya east Africa unajua umeanza mwaka gani? Na je hilo barabara ya Namanga to Tengeru imeanza kujengwa mwaka gani? Na kama hujui je huoni wewe ni MPUMBAVU juu ya huo mradi na haitakiwi uongee zaidi.Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
Hapana haiko hivyo. Total cost ya project ni 173.86 Million USD. Kenya wametoa kwa ajili ya barabara upande wa Kenya 85.32 Million USD ambapo 75.0 Million USD ni mkopo kutoka (African Development Fund) ADF. Tanzania Wametoa kwa ajili ya barabara upande wa Tanzania 88.05 Million USD ambapo 79.9 Million USD ni mkopo kutoka ADF. Wakat EAC wametoa 0.49 Million USD.Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda Hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.
Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?
Wapiga kura kazi mnayo
Magufuli ameikuta EAC, wahi Milembe ukapate matibabu.Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
Kama SGR hiyo barabara ni Mradi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na ile ya Arusha By-pass na ile toka Tengeru mpaka Holili/Voi, Kenya lakini haijaanza kujengwa ingawa Jiwe la Msingi limekwisha wekwa pale Tengeru na Rais Magufuli na Uhuru Kenyatta. Kutoka Holili mpakani mpaka Voi itajengwa na Kenya kuunganisha na barabara ya Mombasa - Nairobi na Mombasa - Arusha kupitia Moshi. Miradi ya Magufuli huwa haikamiliki!Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda Hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.
Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?
Wapiga kura kazi mnayo
Magu ni TABULA RASAWewe ni mgeni kwa wanasiasa ?
Takes Credit for everything good, and blames everyone else for something bad...
Magufuli Yuko very much over rated, EAC imekuwepo kabla ya Magufuli, na baada ya Magufuli kushika nchi amedororesha sana jumuiya hii.Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
Bwana Donald trump bin king Jong un,Huyu jame lowassa ananguliza ushabiki kwa ccm huku akili akiwa kaiacha nyuma.sijawahi ona kaongea jambo la maana ukitolea mbali maswala ya chama tu haya ndo yanayokuja kupewa ulaji wa viti maalumu wakat kuna raia huko wana akili timamu wapo wanateseka